Hii ndiyo Taarifa mpya inayosambaa kila mahali hivi sasa , na kwamba watoa mada ni miongoni mwa wazito kadhaa , idadi yao inatajwa kwamba huenda ikazidi wale waliojitokeza Dar es Salaam
MUHIMU : Wahudhuriaji wanaombwa kuzingatia mwongozo wa WHO wa kujikinga na maambukizi ya ugonjwa wa Corona
Salamu zangu kwenye Kongamano la Katiba Day
01/07/2021.
Ndugu Mgeni Rasmi Mh Freeman Aikael Mbowe Mwenyekiti wa Chadema Taifa.
Mheshimiwa John Mnyika Katibu Mkuu Chadema Taifa
Watoa Mada wakuu Prof Rwaitama na Askofu Emmanuel Mwamakula.
Wageni waalikwa wote na vijana wenzangu, itifaki...
YALIYOJIRI KONGAMANO LA WATUMISHI WA MUNGU KUMWOMBA NA KUMSHUKURU MUNGU KWA SIKU 100 ZA MHESHIMIWA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN KUWA MADARAKANI KUONGOZA NCHI YA TANZANIA
Kongamano lilianzia kwa maneno ya salamu za viongozi mbalimbali wa dini sawa na kusudi la kongamanona sambamba na...
Rais Samia amefungua kongamanano la wafanyabiashara nchini Kenya ambalo limehusisha pia wafanyabiashara kutoka Tanzania.
Rostam Aziz ametaka uwepo wa uwiano mzuri wa kibiashara kati ya Kenya na Tanzania badala ya nchi moja kuwa msambazaji wa mali ghafi na mwingine akiwa muuzaji wa finished...
Kongamano hilo muhimu kuadhisha miaka 57 ya Muungano litafanyika Aprili 26, 2021 kuanzia saa 3 asubuhi Ukumbi wa Chimwaga Dodoma
https://www.jamiiforums.com/threads/chato-rais-magufuli-atoa-salamu-za-maadhimisho-ya-miaka-56-ya-muungano-asamehe-wafungwa-3-973.1719702/
Wadau,
Recalling back to Kongamano lililoandaliwa na viongozi wa dini zote (wakristu/wakristo na waislamu), Kongamano ambalo pamoja na mada na jumbe mbali mbali zilizowasilishwa, lakini pia ilikuwa na mada moja kuu ambalo ilikuwa ni Kumshukuru Mungu kwa ajili ya maisha ya Hayati Dr. John Pombe...
Ukumbi wa Chimwaga umesheheni viongozi mbalimbali kutoka dini na madhehebu yote.
Kadhalika viongozi mbalimbali wa serikali na vyama vya siasa wamo ukumbini.
Local channels zote zitakuwa mubashara kurusha tukio hili muhimu la kitaifa.
Updates:
Askofu Malasusa ndiye amidi ( MC) wa shughuli...
Kongamano hilo kubwa la Viongozi wa Dini litafanyika Aprili 18, 2021 katika Ukumbi wa Chimwaga Dodoma.
Mheshimiwa Rais wa Tanzania Mama Samia pamoja na Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Mwinyi watahudhuria wakiwa wageni rasmi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.