Siku zote tumesema humu na kurudia mara nyingi sana kwamba , HAKUNA MAHALI POPOTE KATIKA DUNIA HII AMBAPO SHETANI ALIWAHI KUMSHINDA MUNGU , japo wapagani wametupuuza mara zote lakini ukweli huu hauwezi kupingwa .
Pamoja na RC wa Mara kumwaga majeshi yote barabarani na mitaani , ikiwa ni pamoja...
Hii ndio taarifa mpya inayosambaa duniani kwa sasa , kwamba Baada ya polisi kutumwa na RC kufanya usafi kwenye ofisi za Chadema , walipofika wakaizingira ofisi hiyo na kuiweka chini ya ulinzi na kuzuia kongamano hilo muhimu kufanyika .
Mungu ibariki Chadema
Hii ndiyo Taarifa waliyoisambaza usiku huu, sasa ni dhahiri Jeshi la polisi linapaswa kuvunjwa na kuunda upya ama IGP afukuzwe kazi.
USA pamoja na Ugaidi wa kweli uliofanyika Kabul bado wanaendelea na kazi waliyoianza , ndio iwe suala la Hamza ?
Hii ndio Taarifa iliyotolewa na waandaaji wa kongamano hilo
Magwiji kadhaa wa Mambo ya katiba watakuwepo na watatoa mada
MUHIMU : Tufuate mwongozo wa WHO wa kujikinga na Corona
Wanakijiji wa Kijiji Cha Pombambili, wamefanya kongamano kupinga kuuzwa kwa Messi kwenda PSG.
Kongamano limefanyika leo kijijini hapo na kuhudhuriwa na mashabiki wengi sana wa Barcelona wakiwa wamevalia jezi zao maridadi.
Kwa kweli wameumizwa sana
MHE MWENDA ASHIRIKI KONGAMANO LA WAKULIMA-SINGIDA
Mkuu wa Wilaya ya Iramba Mkoani Singida Mhe Suleiman Yusuph Mwenda ametembelea Kongamano la wadau wa Alizeti lililofanyika Singida Mjini na kuzungumza masuala mbalimbali ikiwemo kuwaeleza wadau wote kuwashirikisha wakulima wengi zaidi katika...
Kwenda kanisani kufanya Ibada Ni haki ya kikataba ndani ya Jamuhuri ya Muungano ya Tanzania. Wanaotaka katiba wamenyimwa kufanya makongamano, bila kuathiri Hali ya usalama wameamua siku ya ibada wavae t-shirt zao za kutaka katiba mpya. Naamu waumini wameamua kufanya t-shirt za katiba mpya kuwa...
John Mnyika ajitathmini kama Katibu Mkuu wa CHADEMA na kuendeleza mipango ya Kongamano la Katiba Mpya licha ya yaliyotokea ili tujue kama kweli mashitaka ya ugaidi dhidi ya Freeman Mboye yana mashiko. Kama tatizo ni "ugaidi" wa Mbowe tu, basi sioni kwanini CHADEMA isiendelee na ratiba yao ya...
Polisi Tanzania, nadhani kwa sasa ndio Taasisi inayotia aibu zaidi duniani, Walimkamata Mbowe na wenzake kwa kuandaa kongamano la Katiba mpya, mitaa yote ya Mwanza walimwagwa polisi na hotel kulikopangwa kufanyika kongamano hilo ikiwekwa chini ya Ulinzi mkali kuanzia ndani hadi nje na...
RC wa Mwanza jana katangaza kuwa kuanzia leo, mikusanyiko inayoruhusiwa jijini Mwanza ni ile inayouhusiana na ibada na misiba ili kuzuia kusambaa kwa maambukizi ya korona.
Assume yupo sahihi kuwa imekuwa proved scientifically maambukizi ya korona hayawezi kutokea ibadani na misibani.
Sasa...
Usiku majira ya saa tisa, Polisi walivamia Hoteli aliyokuwa amefikia Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa na wageni wengine pamoja na wenyeji wao.
Waliochukuliwa:
1. Freeman Mbowe
2. John Pambalu
3. John Heche
4. Rose Mayemba
5. Masenya(Mwenyekiti BAVICHA Ilemela)
6. Steven Odipo
7. Dr. Rwaitama
8. Seti...
chadema
freeman mbowe
hadhara
katiba mpya
kongamano
kukamatwa
maandamano
mikutano
mikutano ya hadhara
mkuu wa mkoa
mwanza
polisi tanzania
taharuki
viongozi
wananchi
wenzake
Hali ya kusikitisha, kuogofya na kuumiza, RC wa Mwanza amekataza kwa mtazamo wake mikusanyiko yote isipokua Misiba na Ibada tu ili "kupunguza kasi ya maambukizi ya Covid-19"!
Ukumbuke Chadema wamepanga kufanya kongamano la Mjadala wa Katiba Mwanza.
Kwa akili za RC mikusanyiko ya Mazishi na...
Tazama na sikiliza VIDEO No. 1: Msimamamo wa CHADEMA juu ya tozo za miamala ya simu:
VIDEO No. 2: Kauli ya Mwenyekiti kuhusu polisi mkoa wa Mwanza kupitia kwa RPC wao Ngh'anzi kuvuruga kongamano la katiba juzi j'
mosi tarehe 17/7/2021 na kuwaweka kizuizini viongozi, wafuasi na wapenzi wa...
Hii ndio taarifa mpya iliyotolewa na CHADEMA .
Kwa wote watakaohudhuria ni muhimu sana kufuata mwongozo wa WHO wa kujikinga na ugonjwa hatari wa Corona
=====
Maandalizi yote yamekamilika , Viti vimepangwa kwa kufuata maelekezo ya WHO
Kurushwa LIVE !
Mwamba mwenyewe Freeman Mbowe, Mtemi Isike ama Aboubakar Mbowe kama anavyofahamika huko Zanzibar, akiongea na Waandishi wa Habari Jijini Mwanza, ametangaza kuendelea kufanyika Makongamano ya ndani na ya amani ya Katiba mpya nchi nzima, huku lile la Mwanza lililohujumiwa likipangwa kukamilishwa...
Mkakati mpya ambao ni mbadala wa makatazo ya CCM na Polisi kwenye kampeni takusisimua akili za Watanzania juu ya katiba mpya vijana wa vyuo vikuu Mwanza leo wameendesha kampeni ya kutoa elimu kijiweni au maskani lengo likiwa nikuwafikia wananchi bila kuzimwa na akili na fikra za watawala.
Mbinu...
Polisi Mkoa wa Mwanza wamethibitisha kuwashikilia watu 30 waliokusanyika bila kuwa na kibali.
BAVICHA waliandaa mkutano ambao watu walihudhuria lakini hawakuwa na kibali, na hakukuwa na fujo katika kusanyiko hilo.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza amesema wanaruhusu mikusanyiko lakini inapaswa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.