NyagiGang!
Baada ya Ugali mkubwa hapa Nyamilangano, nikahitaji Konyagi, my all time liqour.
Kuna kadada hapa Grocery, keupeee! Maradhi yangu, kakanishawishi kuna Konyagi mpya inaitwa Konyagi Fusion. Kutokana na weupe, nikakosa nguvu ya kukabishia, unajua udhaifu wetu sisi mangosha, imebidi...