Nahisi kama konyagi zinaanza kunishinda au siku hizi zinachakachuliwa

tang'ana

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2015
Posts
12,073
Reaction score
16,638
Mpo poa?

Kikawaida zamani nilikua na uwezo wa kupiga visichana viwili vya konyagi kwa kuchanganyia na tonic soda bila shida yoyote.

Sasa recently nashindwa kuelewa nikipiga visichana viwili aisee vinanichukua mapema yani nazima mapema sana kitu ambacho sio kawaida yangu, halafu asubuhi nikiamka nakua mchovu. Nimefuatilia kwa wadau wangu fulani na wao wana changamoto kama hii.

So hapa nashindwa kuelewa ni konyagi zimenishinda au zinachakachuliwa siku hizi?
 
Mpo poa?
Kikawaida zamani nilikua na uwezo wa kupiga visichana viwili vya konyagi kwa kuchanganyia na tonic soda bila shida yoyote.
Sasa recently nashindwa kuelewa nikipiga visichana viwili aisee vinanichukua mapema yani nazima mapema sana kitu ambacho sio kawaida yangu,afu asubuhi nikiamka nakua mchovu.nimefuatilia kwa wadau wangu flani na wao wana changamoto kama hii.

Hivyo visichana watu wanasema siku hizi vinachakachuliwa mno,so huenda unakunywa gongo bila kujijua mkuu
 
Mpo poa?
Kikawaida zamani nilikua na uwezo wa kupiga visichana viwili vya konyagi kwa kuchanganyia na tonic soda bila shida yoyote.
Sasa recently nashindwa kuelewa nikipiga visichana viwili aisee vinanichukua mapema yani nazima mapema sana kitu ambacho sio kawaida yangu,afu asubuhi nikiamka nakua mchovu.nimefuatilia kwa wadau wangu flani na wao wana changamoto kama hii.
So hapa nashindwa kuelewa ni konyagi zimenishinda au zinachakachuliwa siku hizi?
Unaishi wapi?!
 
Back
Top Bottom