Nahisi kama konyagi zinaanza kunishinda au siku hizi zinachakachuliwa

Acha pombe, boresha mwili wako.
 
Mpo poa?

Kikawaida zamani nilikua na uwezo wa kupiga visichana viwili vya konyagi kwa kuchanganyia na tonic soda bila shida yoyote.

Sasa recently nashindwa kuelewa nikipiga visichana viwili aisee vinanichukua mapema yani nazima mapema sana kitu ambacho sio kawaida yangu, halafu asubuhi nikiamka nakua mchovu. Nimefuatilia kwa wadau wangu fulani na wao wana changamoto kama hii.

So hapa nashindwa kuelewa ni konyagi zimenishinda au zinachakachuliwa siku hizi?
Kafanye check up,umeshaua figo hizo zishaanza kufeli
 
Mpo poa?

Kikawaida zamani nilikua na uwezo wa kupiga visichana viwili vya konyagi kwa kuchanganyia na tonic soda bila shida yoyote.

Sasa recently nashindwa kuelewa nikipiga visichana viwili aisee vinanichukua mapema yani nazima mapema sana kitu ambacho sio kawaida yangu, halafu asubuhi nikiamka nakua mchovu. Nimefuatilia kwa wadau wangu fulani na wao wana changamoto kama hii.

So hapa nashindwa kuelewa ni konyagi zimenishinda au zinachakachuliwa siku hizi?
Mimi valuu zimenishinda kabisa, tumbo lazima lifanye reaction kama pilipili. In fact industry ya vilevi imevamiwa
 
Walevi huwa tunavijimaneno ya kujifariji sana 😁😁
Hua ni wabishi!...
Kuna mwenzake huku ananyooka alishauriwa kitambo aachane na hayo Mambo akawa analeta ujuaji,sasa figo zimefeli ana vimba miguu,uso.

Sasa anaanza kusumbua Ndugu na Wachungaji aombewe apone.

Majuto Mjukuu
 
Kunyweni vitu kama hivi
 
Attachments

  • 17487697129484467732991856713832.jpg
    17487697129484467732991856713832.jpg
    274.7 KB · Views: 18
Back
Top Bottom