Nahisi kama konyagi zinaanza kunishinda au siku hizi zinachakachuliwa

Nahisi kama konyagi zinaanza kunishinda au siku hizi zinachakachuliwa

Mpo poa?
Kikawaida zamani nilikua na uwezo wa kupiga visichana viwili vya konyagi kwa kuchanganyia na tonic soda bila shida yoyote.
Sasa recently nashindwa kuelewa nikipiga visichana viwili aisee vinanichukua mapema yani nazima mapema sana kitu ambacho sio kawaida yangu,afu asubuhi nikiamka nakua mchovu.nimefuatilia kwa wadau wangu flani na wao wana changamoto kama hii.
So hapa nashindwa kuelewa ni konyagi zimenishinda au zinachakachuliwa siku hizi?
Njia nzuri kabisa ya ku-test ni kununua sehemu inayoeleweka, ambayo unajua hawawezi kuchakachua na kutumia kwa muda uone kama kuna tofauti. Ngoja nikuambia kitu kimoja. Kwenye huu utawala wa ''mama'' sasa Tanzania kila mtu anacheza rafu, na kila mtu analipia malipo ya kuachia nchi iongozwe kama danguro. Kama hawa wachina ni hatari kuliko hatari yenyewe, kwa sababu wana technology ya kutengeneza vitu fake na kuingiza kwenye mzunguko kwa urahisi sana.
 
Kwa uzoefu kipindi cha nyuma ulikua unakula vizuri kabla ya kunywa au ulikua unakula chakula cha kutosha mara kwa mara ila kwa sasa mwili wako unaujali kwa pombe kuliko chakula... Nina uzoefu wa miaka 90🤣

Ili kurestore mwili wako kama zamani anza kupunguza pombe huku ukiongeza chakula na maji, ukiweza hii ratiba utafika wakati utakunywa pombe nyingi sana ndipo uisikie
 
Mpo poa?
Kikawaida zamani nilikua na uwezo wa kupiga visichana viwili vya konyagi kwa kuchanganyia na tonic soda bila shida yoyote.
Sasa recently nashindwa kuelewa nikipiga visichana viwili aisee vinanichukua mapema yani nazima mapema sana kitu ambacho sio kawaida yangu,afu asubuhi nikiamka nakua mchovu.nimefuatilia kwa wadau wangu flani na wao wana changamoto kama hii.
So hapa nashindwa kuelewa ni konyagi zimenishinda au zinachakachuliwa siku hizi?
Kwamba hujui fake ni nyingi siku hizi? Chupa zinaokotwa balaa,
 
Back
Top Bottom