Inside10
Platinum Member
- May 20, 2011
- 34,776
- 42,933
Njoo nikununulie pombe hapa sinza kutambaa kauntaTanzania
Njoo nikununulie pombe hapa sinza kutambaa kauntaTanzania
Kwa hiyo unaandika wewe?!Ushazima wewe
Njoo unywe beer dogo acha wengeZinaandika konyagi
Ndo maana ikaitwa Pombe na maji yakaitwa maji, kwamb ni vitu viwili tofauti na mwanadamu inabidi uvipate vyote kwa ustawi wa mwili wakoAcha pombe, kunywa maji safi na salama
[emoji23][emoji23]Kuna pombe inaitwa master iko mbeya huku,hii pombe ni gongo aisee.watu kibao wamekata moto sababu yake
Pigia mstari neno "too much"Nisipokunywa hapaumi na mkojo wangu ni mweupe that means figo ziko ok only when I drink too much ndio hiyo Hali hutokea.
Pombe na dini ni vitu pekee duniani vinavyofanya maisha yawe na amani na furaha duniani... Vingnevyo...!Saa 8 usiku uko na pombe mkuu?
Tatizo nini?
too muchPigia mstari neno "too much"
Umepanic 🤣Acha ungese
Sidhani kama alichosema ni kweli kwani nisipokunywa Wala sisikii hayo maumivuUmepanic 🤣
Nilishakuwa meneja mauzi wake kiwanda kipo kigamboni pia master MKuna pombe inaitwa master iko mbeya huku,hii pombe ni gongo aisee.watu kibao wamekata moto sababu yake
Ni kwamba, hapo ulipotaja, kushoto na kulia ndipo figo zilipo, ni hayo tu.Sidhani kama alichosema ni kweli kwani nisipokunywa Wala sisikii hayo maumivu