Korona Kielce, Polish pronunciation: [kɔˈrɔna ˈkʲɛltsɛ], (Korona – Crown – symbol of club and city, Kielce – name of city where club is based) is a Polish football club, currently playing in the Ekstraklasa. In the years 2002–08 Club belonged to Polish holding company Kolporter Holding and achieved its greatest success – in 2005, winning promotion to the first division (Ekstraklasa). Since then Korona has spent 5 seasons in Polish soccer top level. In 2006–07 season Korona played in the final of the Polish Cup. As a result of alleged corruption after 2007–08 season Club was relegated to I liga. After a one-year banishment Korona returned to the Ekstraklasa.
Tumerudi kutoka Madagascar jana usiku ila hatujaja na dawa ya kuanza kugawa leo, tumekuja na dawa za kuanza utafiti na uchambuzi maabara, nimepokea simu nyingi, meseji WhatsApp Watu wanataka niwagaie, jamani sina dawa, sijaja na chupa za dawa”- Waziri Kabudi
“Chupa tumepewa mbili tu (control)...
Gavana wa kaunti ya Mombasa Joho al-maarufu kama 001 ametangaza amri ya kupima korona nyumba kwa nyumba na wote wanaopatikana na maambukizi wanapelekwa karantini ambapo watajihudumia wenyewe malipo ya ksh2000 ambayo ni sawa na shilingi za kitanzania 42000 kwa siku.
Wakizungumza kwa nyakati...
Wote mnaoshabikia ujinga wa Madagaska, mnajidanganya na kupoteza muda, hamna tofauti na Kinjekitile na Vita ya maji maji tulishatoka huko, isitoshe kama haumini Sayansi iliyopo basi fungeni Vyuo vyote, unawezaje kuamini Dawa ambayo hata anayeitengeza hajui Virus ni nini? Anatibu vipi kama hajui...
Wanabodi,
Kwa mujibu wa Rais Magufuli wametuma sample za mimea na wanyama kwa kuzipa majina ya binadamu kwenye maabara kuu ya Taifa Dar es Salaam kwa siri bila wapimaji kufahamu baada ya kupimwa zimetest positive yaani zina corona
Hapa ndipo Magufuli ameprove uwana-science wake.
Je? Tatizo ni...
Serikali ya CCM chini ya Rais Magufuli kwa miaka minne imekuwa ikiwadanganya wafanyakazi juu ya kuwaongeza mishahara Yao.
Wakati wanapiga kampeni CCM na Rais Magufuli waliwaahidi wafanyakazi kwamba watawaongeza mishahara Yao lakini kila mwaka Rais Magufuliakialikwa kwenye sherehe za meimosi...
Nchi huwa inasimama kwa nguzo za vitu vingi.Taasisi za kidini zikiwemo.
Taasisi nyingi za kidini zina uchumi mkubwa sana.Kutokana na sadaka zinazotolewa na waamini,wafadhili wa taasisi lakini pia Taasisi nyingi zina vitega uchumi vinavyotunisha akaunti katika akaunt za mabenki za Taasisi...
Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro, Dkt Anna Mghwira ametangaza kukutwa na maambukizi ya virusi vya Corona baada ya kufanyiwa vipimo siku tatu zilizopita.
Mama Mghwira anasema kuwa hajui amepata wapi na lini maambukizi hayo. Lakini amesema kuwa hana dalili zozote na aliamua tu kupima kujua afya yake.
--
Wakili wa Kijitegemea, Alberti Msando ametoa msaada wa barakoa 100 pamoja na vitakasa mikono 100 kwa waandishi wa habari Mkoa wa Arusha ili kujikinga na maambukizi ya Covid-19 kutokana na kazi yao kuwa na mwingiliano wa watu.
Akikabidhi msaada huo leo kwenye Ofisi za Chama cha Waandishi wa...
Naamini sana katika uwepo na uwezo wa Mungu kama mtu anaweza kufanya mawasiliano sahihi na Muumba huwa anajibu maombi na kutoa msaada. Ila wengi wetu hatujui namna ya kuwasiliana ili kupata majibu. Sio nia yangu kuzungumzia hili kwa sasa ila natoa tahadhari/angalizo:
Ulimwengu wa giza hutumia...
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Ametangaza Ongezeko la Wagonjwa Wapya wa Corona Nchini 196. Tanzania Bara Wagonjwa 174 na Zanzibar 22. Amesema kuwa visa vya maambukizi ya Virusi vya Corona nchini Tanzania vimeongezeka na kufikia 480.
Vifo vingine 6 vya wagonjwa COVID-19 vimeongezeka na kufanya...
Nchi yetu sasa inaanza kupitia kipindi kigumu sana kama ilivyotabiriwa na wale tulioitwa waleta taharuki. Hakika ni kipindi cha buriani. Kwa tuliofuatilia kwa kina tabia za gonjwa la korona tunajua masaa 24-48 ni mengi mno na hayatabiriki kabisa.
Hivyo, hiki ndicho kipindi kigumu cha kupeana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.