Yule rafiki yangu injinia kutokea Japan ameshangazwa na taifa kubwa kama Tanzania lenye watu zaidi ya milioni 50 kushindwa kubangua korosho.
Mjapani ameniambia kuwa nguvu wanayoitumia wanasiasa kuongea kwa mdomo wangeishusha kwenye mikono yao taifa hili lingepiga hatua kubwa.
Yaani unauza...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli katika kikao cha viongozi wa Wizara, Mikoa, Wilaya na Taasisi za Serikali zinazohusika na mazao ya Korosho na Ufuta alipokutana nao Ikulu jijini Dar es salaam leo Novemba 1, 2019.
Chanzo: Umoja Tv
Nimeona tweet ya Naibu Waziri wa Kilimo Mheshimiwa Bashe akisema wakulima wa korosho wa mwaka jana ambao serikali ilichukua korosho zao bado wanaendelea kulipwa, nimeshangaa siyo kidogo.
Mwaka mzima serikali inalipa nini? Hayo malipo yasiyoisha ni malipo ya namna gani? Mtu aliuza korosho zake...
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni akisalimiana na Wajumbe wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya ya Newala baada ya kuwasili kwa ziara ya kikazi. Kushoto ni Mkuu wa Wilaya hiyo Aziza Mangosongo.
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni...
Serikali imeufuta mkataba huo uliowahi kutajwa kuwa na thamani ya Shilingi za Kitanzania Bilioni 400
Mwezi Februari mwaka huu Serikali iliweka wazi kuwa imeingia mkataba na Kampuni ya kutoka nchini Kenya ya Indo Power Solutions Ltd iliyojinasibu kuwa na uwezo wa kununua Korosho tani 100,000...
Unapoambia fundi seremala kawa mpishi wa Serena Hotel, mtu unaweza tilia mashaka chakula atakachopika.
Nimejaribu sana ku Gogle hiyo kampuni iliyonunua korosho na huyo kiongozi wao aliyetia saini na naibu Waziri, kidogo nimeingiwa na wasiwasi.
1. Kenya kuna kiwanda kimoja tuu cha kubangua...
LEO NIMEELEWA KWANINI WAHENGA WALITUMIA NENO "ROHO YA KOROSHO" WAKIMAANISHA ROHO MBAYA:-
Korosho INA roho mbaya sana imemuondoa waziri wa kilimo, utafikiri yeye ndiye mkulima wake. Wenzie mahindi na mbaazi wako kimya japo nao soko limedoda, imemwondoa waziri wa viwanda na BIASHARA kwa kushindwa...
Ni hivi:
Siyo Membe aliyesababisha biashara ya Korosho kudorora huko kusini. Ni maamuzi ya kukurupuka ndiyo yametufikisha hapa.
Ni sawasawa na walivyozuia wanunuaji wa Kahawa kutoka kwa madalali na matokeo yake kujikuta hawawezi kumtosheleza mkulima kwa soko bora na bei nzuri.
Jamani Mkapa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.