korosho

  1. F

    Unawaibia na kuwadhulumu watu korosho zao unaenda kujenga kwenu

    Naandika huu uzi kwa hasira na ghazab ya aina yake. Unawaibia na kuwadhulumu watu korosho zao tena kwa MAKSUDI na KIBURI na NYODO unaenda kujenga kwenu. Na kusema kwani kwetu siyo Tanzania? Je na hao uliowaibia na kuwadhulumu korosho kwao ni wapi? Kilimo na Biashara ya korosho kilikuwa...
  2. J

    Gunia 1,515 za Korosho zenye thamani ya Tsh Milioni 160 zaibwa mkoani Mtwara

    Mkuu wa mkoa wa Mtwara amesema korosho yenye thamani ya sh milioni 160 imeibwa katika ghala la kampuni moja mkoani humo katika mazingira yaliyojaa utata. Upelelezi wa kina unaendelea. Chanzo: ITV habari! ====== Jeshi la Polisi mkoani Mtwara linawashikilia watuhumiwa 14 kwa makosa mawili...
  3. Mkogoti

    Hivi hii korosho ni mimi ndo naiyona tu peke angu au ni kichwa changu kinanidanganya

    naona kama inafoka huku nyenzake pembeni zinamuangalia, naona kama naifananisha .... lakini naishia kunyamaza,
  4. Mparee2

    Kwanini Serikali isiweke utaratibu wa soko la ndani kununua korosho?

    Wandugu, Nimekuwa nasikia kuwa soko la Korosho huko Duniani sio nzuri hali iliyopelekea wakulima wetu kubaki na korosho zao. Mtazamo wangu: Kwa kuwa mikoa ambayo haizalishi Korosho ambayo ndio mingi bei yake ipo juu sana (kuanzia shs 20,000 kwa kilo iliyo banguliwa); hii bei ni ya juu sana...
  5. Me too

    Wanaume Mungu anawaona

  6. CUF Habari

    Uchaguzi 2020 Prof. Lipumba akiwa Tandahimba: korosho ndio maisha ha yao, wanasomesha watoto kupitia korosho, nichagueni Oktoba 28 niboreshe bei ya korosho

    TANDAHIMBA Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CUF, Prof. Ibrahim Haruna Lipumba amesema endapo atachaguliwa kuwa Rais, atahakikisha anaboresha bei ya korosho na wananchi wa Tandahimba na Mtwara wananufaika na kilimo cha korosho Pia, Prof. Lipumba amesema kwamba...
  7. CUF Habari

    Prof. Lipumba Masasi-Mtwara: Jeshi kazi yake ni kulinda mipaka ya nchi na sio kubeba korosho, nichagueni oktoba 28, niboreshe bei ya korosho

    JESHI KAZI YAKE NI KULINDA MIPAKA YA NCHI NA SIO KUBEBA KOROSHO, NICHAGUENI OKTOBA 28, NIBORESHE BEI YA KOROSHO"PROF. LIPUMBA" MASASI-MTWARA Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CUF, Prof. Ibrahim Haruna Lipumba amesema endapo atachaguliwa kuwa rais atahakikisha...
  8. Dam55

    Uchaguzi 2020 Siasa za Zitto: Serikali imegawa dawa ya Salfa ili kuua zao la korosho

    Anaandika mhe Zitto Kabwe mbobevu wa siasa za Tanzania na mtetezi wa watanzania. Mwaka huu Serikali ya CCM imeamua kuua kabisa zao la Korosho kwa kugawa dawa ya Salfa ambayo inakausha mikorosho. Wanasema wanawakopesha Wakulima Mfuko shs 32K kwa Ruzuku wakati Mfuko sokoni ni shs 35K. CCM wanatoa...
  9. Roving Journalist

    Mtwara: TAKUKURU yarejesha Milioni 600 za Korosho za Mwaka 2018. 2019 kutoka kwa Wabadhirifu

    TAKUKURU MKOA WA MTWARA YACHUNGUZA UBADHIRIFU WA FEDHA ZA MALIPO YA KOROSHO ZA MSIMU WA 2018/2019: YAFANIKIWA KUREJESHA SHILINGI MILIONI 600 KUTOKA KWA WATUHUMIWA Ndugu Waandishi wa Habari, Nimewaita kwa mara nyingine tena ili kupitia kwenu, tuujulishe umma kazi ya uchunguzi iliyofanywa na...
  10. Erythrocyte

    Uchaguzi 2020 Lissu aifuta CCM Mtwara, Ajenda ya korosho yawa kaa la moto kwa CCM mkoani humo

    Hii ndio taarifa inayozunguka kwa sasa kila mahali, kwamba leo yule Rais mtarajiwa wa awamu ya 6 ambaye ameteuliwa na Mungu mwenyewe baada ya kuzuia kifo chake atakuwa Mtwara katika kinachoitwa Uzinduzi wa Kampeni za uchaguzi 2020 kanda ya kusini. Taarifa zaidi zinaonyesha kwamba Shughuli...
  11. Mackanackyyy

    Uchaguzi 2020 Zitto: Ilani ya Uchaguzi ya CCM inafanana sana na Thesis ya PhD ya Mafuta ya Korosho

    Inawezekana Mwandishi ni mmoja..
  12. Replica

    Uchaguzi 2020 Yaliyojiri katika Ufunguzi wa Kampeni za Chama cha Mapinduzi (CCM) - Uwanja wa Jamhuri, Dodoma (Agosti 29, 2020)

    Leo chama tawala (CCM) kinafungua kampeni zake uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma kuomba ridhaa ya wananchi kurejea kwenye utawala baada ya ngwe ya kwanza ya miaka mitano ya serikali ya awamu ya tano kuisha. Dkt. John Magufuli Rais anayemaliza awamu yake ya kwanza amepewa ridhaa ya chama hicho...
  13. Analogia Malenga

    Korosho kuanza kuuzwa Septemba Mosi

    Waziri wa Kilimo Japhet Hasunga ametangaza kuwa msimu wa mauzo ya korosho ghafi kwa mwaka 2020 na 2021 unatarajiwa kuanza Septemba Mosi mwaka huu. Amesema, makadirio ya msimu wa uzalishaji kwa mwaka 2020/2021 yanatarajiwa kuongezeka kutoka tani 232,000 za msimu 2019/2020 hadi tani 300,000...
  14. Steph Curry

    DULUMA: TMX kulazimisha kujiingiza kwenye zao la Korosho

    Habarini wanajukwaa, Mambo ni mengi muda mchache, poleni na mihangaiko ya kutia nia, mapigo ya wajumbe na sasa kusubiria mchakato wa mwisho wa kutangazwa na kampeni kuanza. Kwa miaka hii mitano ya Mh. Magufuli wakulima wa Korosho wamekutana na kitu kinaitwa "mixed feelings" Yani hawaelewi kama...
  15. Miss Zomboko

    Serikali yatoa siku 14 kwa Bodi ya Nafaka kukamilisha malipo ya Wakulima wa Korosho

    Waziri wa Kilimo Japhet Hasunga ametoa siku 14 kwa Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Nafaka na Mazao mchanganyiko Dkt Anslem Moshi kukamilisha malipo ya wakulima wote waliouza korosho msimu wa mwaka 2018/2019. Waziri Hasunga ametoa agizo hilo wakati alipotembelea na kukagua shughuli za utendaji kazi...
  16. ndanda masasi

    Serikali imetoa Tsh. Bil. 20 kulipa madeni ya wakulima, Wasafirishaji, wapuliziaji dawa na waendesha maghala ya korosho

    Waziri Mkuu Majaliwa amesema Serikali imetoa Tsh. Bil 20 kulipa madeni ya wakulima, Wasafirishaji, wapuliziaji dawa na waendesha maghala ya korosho“JPM ametoa hizi fedha kwa ajili ya Tandahimba, Masasi, Mtwara & Kibiti kwa waliolipwa nusu, kiasi na wasiolipwa, zitaanza kulipwa kesho” -----...
  17. T

    Siasa ya chikichi vs korosho mkoani Kigoma

    Wasalamu bandugu. Naomba Leo niongee kidogo kuhusu zao la chikichi mkoani kigoma. Watanzania wote tunafahamu kuwa Chikichi inastawi zaidi kigoma na mikoa ya pembezoni mwake. Ukweli ni kwamba zao hili halijaleta tija/maendeleo makubwa kama linavyovuma, hii inatokana na sababu nying ambazo sio...
  18. Timtim

    Fahamu mambo mbalimbali kuhusu Kilimo cha Korosho

    Naomba niwasilishe kutaka kuelezwa zaidi juu ya kilimo cha Korosho kwa Mkoa wa Pwani. Naomba mwenye kuelewa atufahamishe mimi na wengine gharama toka awali za kupanda mikorosho katika shamba la ekari 20. Gharama na takwimu hadi kuvuna na kiasi cha mavuno kwa mwaka. Natanguliza shukrani zangu...
  19. Nancyjoa13

    Maziwa yanayotokana na korosho kutoka Taasisi ya Utafiti wa Kilimo, Naliendele

    Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama maziwa yanayotokana na korosho wakati alipotembelea Taasisi ya Utafiti wa Kilimo, Naliendele, Mtwara, Julai 7, 2020. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Gelasius Byakanwa. WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali ya Awamu ya Tano inayoongozwa na...
  20. M-mbabe

    Sakata la Kuvurugwa Soko la Korosho: Zitto Kabwe aibua maswali mazito dhidi ya serikali.. Adai mahesabu yanagoma!

    Leo katika uchambuzi wake wa hotuba ya bajeti ya serekali iliyowasilishwa juzi bungeni, Mh Zitto Kabwe ameibua maswali vigongo ambayo yanahitaji majawabu ya uhakika kutoka serekalini. Zitto amesema mahesabu yanakataa. Hata mimi naafikiana naye.... mahesabu yanagoma kabisa! Pitia presentation...
Back
Top Bottom