7 health benefits of raw organic cashews:
1. Cancer Prevention cashews can reduce your colon cancer risk. (Zinakinga Maradhi ya Saratani Haswa kwenye matumbo mapana)
2. Heart Health (Korosho zinasaidia Afya ya moyo kufanya kazi vizuri).
3. Hair and Skin Health (Korosho zinasaidia...
SERIKALI YAJA NA MPANGO MKAKATI WA KUMLINDA MKULIMA WA KOROSHO NCHINI.
Serikali kwa kushirikiana na Sekta binafsi imeendelea na jitihada za kuimarisha bei ya korosho nchini kwa kufufua viwanda vya kubangua korosho pamoja na kuanzisha viwanda vipya sambamba na kuanzisha kongani la viwanda...
Yaani ndio tungelikuwa na tunamtaa wetu wenye roho Mbaya utawaona tu.
Nimewauliza pasaka lini hadi Leo hawajanijibu, eti nqkutanq nayo hii hii lfaji r.
Wengine ttumekesha wote jf usiku wa manane.
Wakina Kalamu Yangu Window7 Galamtogela Extrovert Mashimba Son Massimba Jr
Unawapa kitafunwa gani wageni wako?
Wateja wako wanafahamu kwamba, korosho ni kitafunwa pendwa zaidi?
Una nafasi ya kuzipata leo kwa bei ya jumla, zimeandaliwa vizuri kurudisha kumbukumbu.
Bei ya Jumla;
Ikg =21000/
Nusu kg=11500/
Robo kg=7000/
100g =3000/
Agiza leo nikuletee mpaka...
Wadau,
Naomba kuuliza kuna mtu ameniambia kuwa kama mtu anataka kufanya kilimo cha mikorosho Mkoa wa Manyara ni sahihi.
Je, kuna ukweli juu ya hili jambo?
Desemba 1, 2022 Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan alishiriki maadhimisho ya Siku ya UKIMWI duniani baada ya maadhimisho hayo alisimama na kusalimiana na Wananchi wa Mnazi mmoja mkoani Lindi wakati akiwa njiani kuelekea Mkoani Mtwara.
Dkt. Samia Suluhu alitoa nafasi kwa mbunge wa Mtwara kutoa...
Hivi kuna mtu anajua kwa nini Korosho inakosa soko huku masoko ya ndani hayana korosho? Au niseme, kwa nini inazuiliwa mtu/mzalendo kununua Korosho mfano gunia mbili nk
Habari wadau wa Kilimo ,naomba tusaidiane kuhusu kupata masoko ya UHAKIKA ya Korosho mbichi grade A mzigo upo wa Kutosha tokea Mtwara-Tandahimba
Utapendeza zaidi kupata masoko Kanda ya Ziwa ,Kaskazin and nje ya mipaka ya Tanzania.
Kontena la kwanza la futi 20 lililobeba Tani 7.5 za Korosho iliyosindikwa liliondoka Mtwara Oktoba 5, 2022, na mwezi Novemba Kontena nyingine 5 zitasafirishwa kwenda Marekani baada ya Tanzania kujaribu kwa miaka 30 na kugonga mwamba.
Korosho hizo ni kati ya tani 50 zilizonunuliwa kutoka...
Wakazi wa Mtwara wamepigwa pigo takatifu baada ya kupata taarifa kuwa sasa ni rasmi Korosho hazita pitia bandari ya Mtwara.
Utaratibu wa usafiri utakuwa hivi:
1. Mkulima atavuna korosho na kuzipeleka ghalani kungoja wanunuzi ambao hupatikana kwa njia ya mnada.
2. Baada ya Korosho kununuliwa...
Jamani nimejitahidi Sana kuzungukia mikoa Kama mtwara, tabora, singida. Nimekuta watu wanamsifu Sana mama kwa masoko ya uhakika kwa mazao hayo tofauti na mwendazake ambaye aliolua masoko kabisa.
Wanasema mama for presidency forever
Serikali ya Tanzania imesema iko katika hatua za mwisho za majadiliano na Serikali ya Vietnam kujenga viwanda vitakavyobangua Korosho hapa nchini (Tanzania) ili kuiongezea thamani badala ya kuiuza ikiwa ghafi kama inavyofanyika kwa kiasi kikubwa hivi sasa.
Taarifa kutoka Kituo cha uwekezaji...
Serikali ya Tanzania imesema mkataba wake na kampuni ya Kenya ya kununua korosho tani laki moja umesitishwa.
Waziri wa viwanda, biashara na uwekezaji Joseph Kakunda , wakati akihojiwa na gazeti la Tanzania la "The CITIZEN" na kusema kuwa kampuni hiyo ya Indo Power wameshindwa kufuata masharti...
Serikali ifike mahali iondoe mfumo wa stakabadhi ghalani kwenye korosho. Genge la walanguzi wa Don K. Mayaula Mayoni.
Mayaula Mayoni Don K ni mwenyeji wa mikoa inayolima Korosho, alipaswa kuwa sauti yetu sisi wakulima wa korosho. Ambao hatuhitaji korosho nyingi ila tunahitaji soko bora la...
Sina maneno mengi Swali langu kwa Mheshimiwa waziri wa kilimo mimi nina mikorosho zaidi ya 40 wengine wana mikorosho zaidi ya 100 lakini unapewa chupa moja ya salfa ya maji na chupa moja ya wadudu mnagawana nusu kwa nusu watu wawili. Kama lengo kumsaidia mkulima chupa moja na nusu itamsaidia kweli?
Kocha wao anakuambia kuanzia airport walikuwa treated badly, kumbe simba walienda kuwapokea na begi la korosho kabisa kama zawadi wakakuta basi na mini van zote wakakataaa kabisa wakapewa ushauri kwamba wachukue hotel karibu na mjini wao wakaamua kwenda Ramada kilomita za kutosha toka kwa mkapa...
Katika kujiimarisha kuelekea kwenye michuano ya NANE BORA (TOP 8) ya Ligi Daraja la Pili (First League - FL) itakayofanyikia jijini Mwanza kuanzia tarehe 15 Aprili 2022, Timu ya Tunduru Korosho FC maarufu kama Watoto wa Wakulima wa Korosho imepokea basi jipya aina ya Toyota Coaster lenye uwezo...
Mkuu wa mkoa wa Lindi Zainabu Telack akiwa kwenye kikao cha utekelezaji wa mpango wa kuboresha usimamizi wa huduma za ugani kwa wakulima wa korosho katika mikoa ya Lindi, Mtwara, Ruvuma na Pwani, ameagiza kuteketezwa kwa korosho tani 24 zilizopo ghala kuu la Mtama, lililopo halmashauri ya Mtama...
MTATIRO AKAMATA TANI KUMI ZA KOROSHO ZILIZOOZA
Mkuu wa Wilaya ya Tunduru Julius Mtatiro ameendesha oparesheni ya mazao wilayani Tunduru kwa siku 2 mfululizo na kufanikiwa kukamata tani 10 za korosho zilizooza za miaka ya nyuma ambazo hazizalishwi wilayani Tunduru.
DC Mtatiro ameiongoza Kamati...
Sukari ya Uganda ilishaleta tatizo la kisiasa Kenya. Ni Sukari inayotokana na viwanda vya Wahindi waliowekeza Uganda. Sasa naona imehamia Tanzania
Haina shida ni kawaida kwa kila nchi kuwasaidia wazalishaji wake lakini, hata sisi Korosho zetu vipi? Mbaazi hazina soko, Pamba haina soko, Mazao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.