Jamhuri ya muungano wa Tanzania
Amani iendeleee wananchi .
Baada ya maneno hayo mazito napenda kuchukua fursa hii kuwatanabaisha ndugu zangu wajarsiriamali na wazalendo ,wapenda uhuru wapenda amani kokote mlipo duniani
Huu uzi uwafikie watu wote
Bila kupoteza muda nimekaa na kuwazua nikaona...
Vyama vikuu sita (6) vya wakulima wa mikoa minne (4) inayolima Korosho kwa wingi hapa nchini wamesema wanatarajia kutoa shilingi milioni 11 ili kumchukulia fomu Rais Samia Suluhu Hassan ya kugombea nafasi ya URais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika...
KOROSHO BOMBA ni wauzaji wa korosho kutoka Tandahimba, Mtwara kwa jumla na reja reja. Tunapatikana Mbagala Rangi Tatu, jijini Dar es salaam.
Bei zetu ni;
1) Korosho mbichi nyeupe ni Tsh. 15,000 kilo moja
2) Korosho za ku roast za chumvi au pilipili ni Tsh. 18,000 kilo moja
Delivery bure popote...
Hellow Wana JF
Nisiwe na maneno mengi Leo nimekuletea bidhaa ya korosho inayotoka mkoani mtwara,
Korosho nzuri na unazipata ukiwa hapahapa daresalam
Kwa bei ya 20,000/= tu Kwa 1Kg
Kwa anayehitaji tufanye biashara anicheki 🙏🙏🙏
Wakuu kama mada inavyojieleza, kuna nimepata dili la kupekeka kirosho kilo 500, ni wapi naweza kupata kwa bei ya jumla?
Tax itakuwa bei gani?
Nahitaji kusafirisha kwa njia ya meli.
Nipo Dar es salaam, msaada wenu tafadhali.
Rais Samia amesema mikoa mingi yenye mazao ya biashara maendeleo yao yanaonekana ukipita barabarani. Rais Samia amesema hali ni tofauti kwa mikoa ya kusini ambako wanalima mazao ya korosho, ufuta na mbaazi.
Amesema mikoa hii wakipata hela ni ngoma kichochoro mpaka kichochoro, ametaka wapelekewe...
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu,
Mikoa ya Kusini ni mikoa ambayo inalima sana korosho, hasa mikoa ya Mtwara, Lindi na Ruvuma hasa wilaya ya Tunduru.
Lakini leo zao la korosho kwao limekuwa mwiba mchungu hasa kwa wakulima hawa,80% ya mikoa hiyo ni wakulima hasa wa korosho na ndiyo...
Kwanza kabisa tuipe pole familia ya mzee Lowasa kwa kuondokewa na kipenzi chao, pia pole kwa wa Tanzania kuondokewa na waziri mkuu mstafu.
Makonda nakuita mara tatu, bado nitasema mimi ni shemeji yako, licha ya ushemeji kesho unakuja nyumbani mkoa wa Mtwara.
Nitakukaangia korosho ambazo...
Habari wakuu,
Nimepata link ya jamaa wa Mtwara anadai korosho zinanunuliwa 1000 kwa wakulima na kwenda kuuzwa 1900 kwenye maghala.
Hii ni Fursa wakuu natafuta muwekezaji mmoja tu chapchap tujiridhishe na hizi details tukapige hela.
Karibuni kwenye mjadala
Cc. Sir midwabada
Serikali ya Halmashauri ya Wilaya ya Momba imetoa onyo na tahadhari kwa Vijana ambao watashindwa kulima kilimo cha korosho na ufuta kwamba watakamatwa na Serikali za Vijiji vyao na watapewa adhabu ya kwenda kulima kwenye mashamba ya wenzao waliolima ufuta na korosho, bila kulipwa chochote...
Inaonekana ni kati ya mazao yanayouzwa ghali sana. Sisi tunaoishi mikoa ya mbali na korosho inakolimwa, tumekuwa tukiuziwa korosho za kutafuna kwa bei isiyobadilika, miaka nenda miaka rudi. Kwa bei tunayouziwa mitaani na supermarket, inatoa picha kuwa ni bidhaa ghali kuzidi karanga, n.k.
Lakini...
12 October 2023
https://m.youtube.com/watch?v=2Fv1zCpiHmU
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango ametoa wito kwa Wizara ya Kilimo hapa nchini kufanikisha lengo na Wizara hiyo la kuacha kuuza Korosho ghafi nje ya nchi ifikapo mwaka 2026.
Makamu wa Rais amesema...
Wananchi na wakulima wa zao la mbaazi wanaomba kauli ya Mheshimiwa Rais ya kushauri wakulima wa korosho wasafirishe korosho zao kwa vibali. Pia itumike kwa wakulima wa mbaazi wilayani Kiteto kuruhusiwa kuuza mbaazi zao kwenye masoko yenye bei kubwa, kuliko kulazimishwa na watu wachache kuuza...
Rais Samia leo September akiwa mkoani Mtwara alisimamisha msafara wake kuongea na wananchi wa eneo hilo. Moja wananchi hao aliomba kuongea jambo ambapo Rais alimwambia mambo ni mengi na Tanzania ni kubwa.
Rais Samia alimtaka mwananchi huyo ampatie jambo lake mbunge kisha amfikishie Rais au...
Akiwa kwenye ziara ya Rais Samia leo Septemba 16, 2023 waziri Bashe ameongelea suala la korosho alipotakwa na Rais Samia aelezee bei ya msimu huu.
Bashe amesema bei ya mbaazi na ufuta ilikuwa ilikuwa inaridhisha na wanaomba Mungu wakitaraji pia bei ya korosho itakuwa njema.
Pia Bashe amesema...
Mhe. Rais ameelekeza korosho yote ya Mtwara isafirishwe kwa njia ya meli kupitia bandari ya Mtwara; vinginevyo ukitaka kusafirisha kwa barabara lazima uombe kibali kwa mkuu wa mkoa na polisi ikieleza kwanini uruhusiwe kutumia barabara.
Kwanini amri hii imetolewa ? Kuna faida gani kutumia...
Tupo kwenye maandalizi ya msimu mkubwa wa zao la korosho hasa kwa wananchi wa mikoa ya kusini, ni ukweli usiopingika kuwa korosho ni zao kubwa kwa wananchi wa kusini na Tanzania kiujumla, athari zake ni kubwa kwenye kuongeza pesa za kigeni na kuchagiza mzinguko wa pesa kwenye nchi.
Msimu wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.