Inafahamika kwamba Vietnam ndiye mnunuzi mkubwa wa Korosho hapa nchini na muuzaji mkubwa wa zao hilo katika nchi za ulaya na Marekani.
Katika mwaka 2019 alifanya biashara ya korosho yenye kiasi cha thamani ya Bilioni 3 za Kimarekani ( sawa na Shilingi Trilioni sita za Kitanzania)
Katika siku...
Katika hali ya wakulima kulalamika juu ya bei ndogo ya kuuzia korosho, mkulima awekwe wazi kuwa kiasi kungine amelipia viatilifu, hili hesabu yake ikae sawa.
Mtindo wa kugawa viatilifu bure usirudiwe tena, kwa sababu haziendani na kiasi mkulima halisi anacholipia, pia ugawaji hauzingatii...
Wakuu,,
Nina Hasira kwa kiwango Cha PGO huwezi amini. NMB nyie Ni wachamungu wezi na Kama wezi wengine tu ...licha ya kuwa na wateja wengi.
Ipo hivi kwenye mabango ya malipo ya korosho huwa mnapunguza pesa kiwizi Sana huwa mnashirikiana na makatibu au mmeamua kujiongeza KUTUIBIA WAKULIMA.
Mfano...
Gazeti la Nipashe la leo limeripoti kwa masikitiko makubwa kuwa mnada wa korosho umesitishwa baada ya kampuni za wanunuzi kukosekana! .
Hii inatokea huku Nape Nnauye na Zito Kabwe waliojipambanua kama watetezi wa wakulima wa korosho na wakapiga kelele sana miaka yote mitano ya Serikali ya awamu...
LEOO NIMEANGALIA WAKULIMA WANAVYOLIA LINDI KUSA M ADA KUJA NA BEI ZA HASARA KABISA KAKUMBUKA .MENGI SANA
WANANCHI WA LINDI MMENUFURAHISHA SANA WALIPOFIKA MNADAN WAKAKUTA BEI ZA AJABU WALICHO FANYA N KUGOMA NA KUAIRISHA . MNADA
DC NA MKUU WA MKOA NAJUA UNALIJUA HILI NAMANI KUONA UKITOA NENO...
SHIRIKA LA VIWANGO TANZANIA (TBS) YAPANIA KUONGEZA THAMANI YA UBORA WA VIWANGO VYA KOROSHO NA BIDHAA ZITOKANAZO NA KOROSHO WILAYANI NACHINGWEA
Na Mwandishi wetu Nachingwea
Shirika la Viwango Tanzania (TBS) leo Tarehe 16 Septemba, 2021 wanatoa mafunzo kwa Wajasiriamali na Wasindikaji na...
TBS YATOA MAFUNZO KWA WAJASIRIAMALI WA BIDHAA ZA KOROSHO (WASINDIKAJI NA WAFUNGASHAJI) - MKOANI LINDI
Na Mwandishi wetu Mkoani Lindi;
Shirika la Viwango Tanzania (TBS) kwa kushirikiana na Taasisi zingine za serikali leo Tarehe 13 Septemba, 2021 wanatoa mafunzo kwa Wajasiriamali wapatao 40 ni...
Ubalozi wa Marekani hapa nchini umetangaza kuwa Kampuni ya Kimarekani, Ward Holdings Intl. itanunua korosho zote zilizobanguliwa Tanzania kwa bei ya juu ya soko
Ubalozi huo umesema taarifa hiyo ni kubwa kwa Wakulima wa Korosho nchini na ni faida kwa Tanzania na Walaji wa Korosho nchini Marekani
Ndugu wanabodi wenzangu,
Nimesukumwa na nia ya dhati ya kutoa ushauri wa namna tunavyoweza kunusuru anguko baya la bei ya zao la korosho kwa msimu wa 2021 unaotegemea kuanza mnamo mwezi Oktoba 2021.
Korosho ni zao linauzwa nje (export crop) kwa miaka yote na hivyo huchangia katika uingizaji wa...
Habarini za leo wana Jamii Forums
Nilikuwa napenda kuuliza mashamba ya korosho kwa mkoa wa Lindi upatikanaji wake umekaaje na vipi gharama za kununua eneo la hekari moja.
Msaada tafadhali kwa mwenye ufahamu juu ya hili.
Nawasalimu kwa jina la JMT..
Kama kichwa kinavyojieleza. Kwanza nianze kwa kusema kwmba mimi sio mkulima wa zao hilo, lakini pia sio mwenyeji wa mikoa yenye umaarufu wa kilimo cha zao hilo. Hivyo naandika haya sio kwamba nina maslahi yangu, hapana..! Nimeona niwasemee wahusika kwani nina amini...
Na Emmanuel J. Shilatu
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amepiga 'hat trick' kwenye zao la Korosho katika mambo yaliyokuwa kero na vilio vya siku nyingi vya Wakulima.
I: PEMBEJEO
Rais Samia ametatua kilio cha Wakulima cha pembejeo ambapo Safari hii pembejeo...
Mbunge wa Jimbo la Mtama, Nape Nnauye ametaka kuundwa kwa Bodi ya Korosho ambayo haijakuwepo kwa miaka mitatu akihoji, nini lengo la Serikali na zao hilo?
Akiwa Bungeni amesema, "Zao ambalo linaongoza kuingiza Fedha nyingi za kigeni Nchi hii mwaka wa tatu hakuna Bodi. Mkurugenzi yupo anakaimu...
Habari za majukumu wakuu!
Nadhani humu kuna watu wanaojihusisha na hii biashara ya kununua korosho(Almaarufu "Kangomba") kule mikoa ya Lindi & Mtwara.
Naomba kwa wale wazoefu basi watoe uzoefu wao kuhusu hii business.
•Wakati sahihi wa kuanza kununua mzigo.
•Maeneo(vijiji) haswa...
Wakuu Salam,
Nipo wilayani Nanyamba huku kusini maisha ya wananchi kiuchumi yapo hoi sana. Wilaya ya Nanyamba hutegemea korosho pekee kama zao la biashara. Hata hivyo kabla ya 2017 zao hilo liliweza kuwa mkombozi wao kiuchumi. Mwaka 2017 serikali ya CCm bila kufanya utafiti wa kutosha waliingia...
Katika kuongeza thamani ya zao la Korosho na ufuta hapa nchini serikali imesema katika msimu ujao wa uuzaji wa mazao hayo minada yake itafanyika kwa njia ya kieletroniki ambayo itaaanza mapema kabla ya minada kuanza.
Naibu Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe ameyasema hayo bungeni jijini Dodoma...
Kwenye ukurasa wa mbele wa gazeti la mwananchi leo nimeona tangazo la OMR Muungano na mazingira kuhusu mwisho wa matumizi ya vifungashio vya Plastiki kama vibebeo.
Akili yangu ikajiuliza fasta fasta hivi ile mikate maarufu ya slesi ambayo tulikuwa tunabeba kupelekea ndugu zetu vijijini kama...
Wandugu,
Hali ni mbaya Mikoa ya kusini, Pwani, Lindi na Mtwara. Zao la KOROSHO siyo mkombozi wao tena. Ikumbukwe hapo mwishoni mwa mwaka 2017 serikali ilitangaza ununuzi wa zao la KOROSHO kwa kisingizio cha kukomesha unyonyaji kwa WAKULIMA wa zao hilo.
Kwa mujibu wa wakazi wa huko tangu wakati...
Members wakulima na wazoefu wa hayo mazao,
Naomba kuelewa kama muongozo kwa ufupi mapato ya wastani kwa mwaka kwa kila zao hapo juu.
Naomba tu share uzoefu wetu kwa manufaa yetu sote.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.