Amani iwe kwenu wadau!
Kwa kumbukumbu zangu kuna mabadiriko ya sheria yaliyohusisha Fedha za zao la korosho na vyama vya ushirika. Mabadiriko yale yalipingwa vikali sana na wabunge wa kusini akiwemo Nape na kupelekea Hawa Ghasia kutumia diplomasia kujiuzuru uwenyekiti wa kamati moja ya Bunge...
Habari wana JF
Nimeona taarifa zikimuonesha Mkuu wa Wilaya ya Magu akiwanyang'anya wafanyabiashara shehena za choroko walizonunua kutoka kwa wakulima kwa madai ya kutotumia vyama vya ushirika kununua zao hilo.
Swali la kujiuliza, kwa nini serikali ya Rais Magufuli haitaki kujifunza kuwa...
Serikali mkoani Lindi imekiri kua inadaiwa na wakulima wa korosho kiasi cha Bilioni 6.9 za wakulima wa korosho kwa msimu wa 2018/2019.
Wakulima hao ni wale serikali ilichukua korosho zao na kuahidi kuwalipa ila hadi sasa hawajalipwa.
Serikali inadai sababu kubwa ya kuchelewa kuwipa ni kutokana...
Hayo yalibainishwa na Meneja wa MAMCU tawi la Masasi, Joseph Mmole, alipokuwa akizungumza na gazeti hili, kuhusu malipo ya zao la korosho kwa msimu wa 2019/2020.
Mmole alisema zaidi ya kilo milioni 47.3 za korosho za wakulima wa vyama vya msingi vya ushirika (AMCOS) katika Wilaya ya Masasi na...
WAKULIMA wa korosho Mkoa wa Lindi wameuza korosho kwa bei ya juu ya Sh 2,825 na chini Sh 2,520 daraja la kwanza na pili kwa Sh 2,337. Kaimu Mrajisi wa vyama vya msingi ushirika mkoa wa Lindi, Robert Nsunza ameyasema hayo jana.
Alisema daraja la pili ilipatikana kwa chama kikuu cha ushirika cha...
Bei ya korosho kwa mnada wa tano, msimu wa 2019/2020 katika chama kikuu cha ushirika cha RUNALI, mkoa wa Lindi imeongezeka ikilinganishwa na mnada wa wanne.
Akizungumza na Muungwana Blog mara tu ya kukamilika kwa mnada huo uliofanyika katika ghala la Umoja, lililopo mjini Liwale. Meneja mkuu wa...
Malipo ya Korosho kwa wakulima wilayani Masasi Mkoani Mtwara yametajwa kuwa ni chanzo cha ongezeko la uwepo wa kina dada wanaofanya biashara ya ngono wilayani humo ili kujipatia fedha hizo za korosho.
Hayo yalisemwa jana wilayani Masasi na Madiwani wa halmashauri ya mji Masasi walipokuwa...
Tani 4,852,851 za korosho ghafi zimeuzwa katika minada miwili iliyofanyika kwa nyakati tofauti katika Wilaya za Lindi na Nachingwea mkoani Lindi mwishoni mwa wiki.
Kaimu Mrajisi wa Vyama vya msingi vya ushirika mkoani Lindi, Robert Nsunza alisema tani 2,111 ziliuzwa katika mnada Nachingwea...
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya Mkuranga, Juma Abeid, anasema kuna jumla ya wakazi zaidi ya laki mbili kwa mujibu wa takwimu za mwaka 2012, ina kata 25, vijiji 125 na vitongoji 475, zao lao kuu la biashara ni korosho.
Pia, anataja mazao mengine wilayani ni pamoja na nanasi, mihogo, korosho...
Jumla ya tani 6,740 za korosho ghafi zimeuzwa katika minada miwili iliyofanyika katika wilaya za Kilwa na Ruangwa mkoani Lindi mwishoni mwa wiki katika msimu wa mwaka huu. Bei ya juu katika minada hiyo ilikuwa Sh 2,795 na chini ilikuwa Sh 2,675 kwa kilo moja kwa korosho ghafi.
Kaimu Msajili wa...
TANGAZO TANGAZO
Miche ya kisasa ya korosho inapatikana sasa. Ni miche bora inayoanza kutoa korosho mapema na isiyoshambuliwa na magonjwa kirahisi.
Toa oda sasa kwa mahitaji yako ya miche korosho. Tunapatikana mkoani Lindi. Na tunafikisha miche popote pale Tanzania.
BEI NI SHILINGI 1500 KWA...
Waziri wa kilimo mh Hasunga amesema mabilioni ya fedha za korosho yameliwa na wajanja hivyo ameunda tume ya uchunguzi kufuatilia ubadhirifu huo.
Pia mh Hasunga amemtaka CAG kuikagua bodi ya korosho kwani kuna kiasi cha zaidi ya sh bilioni 55 hazijulikani ziliko.
Kadhalika Waziri amewataka...
WAFANYABIASHARA wakubwa wa korosho, wawekezaji na watafi ti 169 kutoka nchi 13 duniani zikiwamo nchi zinazoongoza kwa ununuzi wa korosho, India na Vietnam, wamekubaliana kuzuia uuzwaji wa korosho ghafi kutoka nchini kwenda nje ya nchi.
Badala yake, wametaka korosho iendelezwe hapa hapa nchini...
TANI 13,100 za korosho zimeuzwa katika mnada wa kwanza wa zao hilo na bei ya juu ikiwa ni Sh 2,525 na bei ya chini ni Sh 2,468. Zimeuzwa katika Chama Kikuu cha Ushirika cha Newala & Tandahimba (TANECU) kwenye uzinduzi wa msimu huu wa mwaka 2019/2020.
Katika mnada uliofanyika wilayani Newala...
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa( TAKUKURU) mkoani Lindi imeanza kuwabana viongozi wa vyama vya msingi vya ushirika ( AMCOS) ambao vyama vyao havijawalipa wakulima wa Korosho.
Budi alisema wakulima wa korosho ambao hawajalipwa fedha zao wameanza kujitokeza na kulalamika baada ya kusikia...
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa( TAKUKURU) mkoani Lindi imeanza kuwabana viongozi wa vyama vya msingi vya ushirika ( AMCOS) ambao vyama vyao havijawalipa wakulima wa Korosho.
Budi alisema wakulima wa korosho ambao hawajalipwa fedha zao wameanza kujitokeza na kulalamika baada ya kusikia...
MFUMO mpya wa ununuzi wa korosho kwa msimu wa mwaka 2019/2020, unatarajia kuwaingizia wakulima Sh bilioni 720. Tayari mfumo huo umeanza kwa mafanikio, baada ya minada ya kwanza iliyofanyika juzi katika Wilaya za Tandahimba na Masasi, ambapo vyama viwili vikuu vya Ushirika vya TANECU na MAMCU...
Rais Magufuli ameiagiza Wizara ya Fedha na Mipango kutoa Tsh. Bilioni 40 ili kumalizia madeni yote ya Wakulima wa Korosho yaliyobaki baada ya Serikali kununua korosho hao katika msimu wa mwaka 2018/19
Ametoa maagizo hayo leo alipokutana na viongozi wa Wizara, Mikoa, Wilaya na Taasisi za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.