kozi

Közi is a Japanese musician, singer-songwriter and DJ. He is best known as guitarist for the visual kei rock band Malice Mizer. After the band went on indefinite hiatus in 2001, he formed the industrial rock duo Eve of Destiny and also started a solo career. Közi is currently in the bands Dalle, XA-VAT, ZIZ and Vamquet, while occasionally performing solo shows.
During his time in Malice Mizer, Közi often assumed the role of a pierrot doll, dressing in clown-like costumes with large ruffs, always in shades of red, his favorite color. In music videos and on-stage he would often make movements reminiscent of a marionette. Közi has continued this visual style to some extent, but his contemporary stage costumes are more gothic. His work on the Izayoi no Tsuki project was reminiscent of carnival music, and artwork for his projects usually follow a dramatic, theatrical theme. Very few details about his private life are known.

View More On Wikipedia.org
  1. P

    NIMECHAGULIWA IAE bachelor of education in adult education and community development nipeni abc za hi kozi

    Ndugu zangu ninaomba abc toka kwenu juu ya hiyo kozi, nimechaguliwa IAE dsm Nb mm ni mwl tayari,kwa yoyote mwenye kuifahamu hiyo kozi,pia fulsa ktk implementation kazini🤗
  2. Ego is the Enemy

    Kozi yenye kuuzika

    Habari wanajukwaa. Ninaombeni mnisaidie maoni yenu kuhusu kozi saivi yenye kusomea kwa kijana wa pcm mwenye 1 point 8. Mie nimemshauri ya kwanza Chemical Engineering Electrical Engineering Mechanical engineering. Nishaurini kwa kujazia nyama. Mana nimeona kemiko Ana wigo Mpana Sana wa kazi...
  3. La Quica

    Kubadili Course nikiwa Chuoni

    Wakuu habari za leo. Samahani naomba kuuliza. Kuna mdogo wangu amechangulia chuo kikuu cha Dar es Salaam kusoma Sociology lakini yeye ndoto yake ni kosoma Law. Amechaguliwa kusoma pia Insurance katika chuo cha IFM lakini anataka kusoma UD. Sasa wakuu ameniomba nimshauri nikawaza kuhusu...
  4. A

    kozi kati ya bachelor of sciencie in civil engineerng UDSm au bachelor of science in elecronic and telecom DIT

    Habari wakuu, Naomba msaada wa mawazo au ushauri katika kuchagua kati ya hizo kozi mbili nilizo zitaja hapo juu Kijana wetu amepata bahati ya kupata nafasi katika hizo kozi mbili hapo juu lakini nimeshindwa kumshauri achague ipi kwa vile sina uelewa mzuri wa hizo kozi ,
  5. ngotho

    Naombeni ushauri juu ya hizi kozi

    wakuu habarini za saa hizi? Nimechaguliwa kusoma kozi zifuatazo. 1: bachelor of business information technology pale (UDSM NA MZUMBE). 2: bachelor of sciences in computer system and network pale ARDHI UNIVERSITY. wakuu kwa kuangalia uwanja wa ajira (kujiajiri/kuajiriwa), ni kozi gani ni...
  6. 0swagg

    Mwenye kuzijua hizi Kozi

    Mwenye kuzijua hiz kozi atupe mwanga [emoji119][emoji120] - Bachelor of Business Administration - Bachelor of Science in Library and Information Management Ipi Bora, soko, [emoji120]
  7. Meneja Wa Makampuni

    Aende chuo na kozi gani kati ya hizi?

    Habari za leo wakuu, Nina ndugu yangu kachaguliwa kama ifuatavyo. 1. IFM - Bachelor of Accounting 2. TIA - Bachelor of Accountancy 3. ARDHI - Bachelor of Science in Accounting and Finance Je, aende chuo na kozi gani kati hivi.
  8. S

    Msaada katika uchaguzi wa kozi

    Mawazo yote yanaheshimiwa, Msaada unahitajika kwa wahitimu wa diploma. Ni kozi gani zinaweza kuwa na uwanja mpana kwa government, private na hata kujiajiri kati ya hizi? 1: Bachelor of Community Development 2: Bachelor in Human Resources Management 3: Bachelor in Economics 4: Bachelor in...
  9. M

    Kozi zitakazokuwezesha kujiunga kirahisi na JWTZ

    Natumai mu wazima wa afya. Pole kwa wanaoumwa, Mungu awajaalie mkapate afya njema. Nimeona niwashauri kuhusu kozi na taaluma za kuwa nazo, vijana wetu wenye lengo la kwenda kujitolea JKT ili baadae waje kupata nafasi ya kuandikishwa JWTZ kwa urahisi. Kijana, kama una nia ya kuja kulitumikia...
  10. Kaka jambazi 9

    Naomba ushauri kuhusu kozi ya Bachelor in Roads and Railway Logistics and Management pale NIT

    Wadau naombeni ushauri kuhusu kozi ya bachelor degree in roads and railway logistics and management pale NIT. 1. kazi zake hapo baadae. Nina one ya 9 ya HGL
  11. Kelela

    Ni kozi gani nisome ili niweze kujifunza matumizi ya Ultrasound?

    Habari, Naomba kujua ni kozi gani ya Certificate au Diploma ambayo nikisoma ndani yake kuna mafunzo ya Ultrasound? Na pia ni vyuo gani wanatoa kozi hiyo? Natanguliza Shukurani.
  12. P

    Kozi ipi ni nzuri kwa mwalimu wa shule ya msingi?

    Kozi nzuri kwa mwalimu wa shule msingi anayoweza kuchukua kwa kiwango Cha degree, kozi yenye wigo mpana pamoja na fursa, chuo gani? Ufaulu div 3.13 HGK Anayetaka mawazo yenu ni in-service wa miaka 5
  13. K

    Nani amefanya kozi ya Bsc Agric investment and banking Sua? Je, kwa mtu wa CBG mwenye EEC anaweza pata?

    Wakuu, naomba mtu mwenye uzoefu na kozi tajwa ili nione kama naweza kumusaidia mtoto mawazo. Anaonekana kuipenda lakini hana details. Asante
  14. Meneja Wa Makampuni

    Bachelor of Science in Accounting and Finance hii ndio kozi gani nimeshindwa kuelewa kabisa nipeni ufafanuzi hilo neno Science

    Bachelor of Science in Accounting and Finance hii ndio kozi gani nimeshindwa kuelewa kabisa nipeni ufafanuzi hilo neno Science. Na ina utofauti gani na BAF
  15. Twyn

    Kwa ufaulu huu nisome kozi gani?

    Kwa matokeo haya Phy C, Chem D, Bios E naombeni ushauri nisome kozi gan nzurii tofauti na education Nilikua napenda medicine lakini vigezo sina, na diploma simudu ada.
  16. ngotho

    Kozi zinazohusisha matumizi ya kompyuta..

    wakuu Habarini za saiz.. tumsifu yesu kristo.. Bwana yesu asifiwe... salam alihekum... wakuu wangu kuna swala dogo sana linanisumbua akili ... naombeni mnieleweshe .. ivi kozi zote zinazohusisha matumizi ya kompyuta kv.. it, bachelor of sciences information technology.. computer sciences...
  17. hiram

    Mdogo wangu ana Division ONE HKL anataka kuchukua Journalism nimpe ushauri gani?

    Mdogo wangu amepata matokeo hayo je journalism inalipa?
  18. K

    Ushauri juu ya kozi ya kusoma chuo kikuu

    .
  19. G

    Fanya haya ili uweze kuchagua kozi sahihi chuoni

    Binafsi nimebahatika kusoma chuo kwa Tanzania kilicho na kozi nyingi za Bachelor Degree kuliko vyuo vingine, Chuo kikuu cha Dodoma, Nilikuwa nasoma Shahada ya kwanza ya Ualimu katika ndaki ya sayansi asilia pamoja na hesabu(CNMS), Hivyo nimebahatika kula, kuishi, kujadili, kuongelea na kulala...
  20. Meneja Wa Makampuni

    Wanaohitimu PCM wanaweza kusoma kozi gani?

    Wakuu hii mada naomba tuijadili hapa. Binafsi kama sioni fyucha ya vijana wa PCM Tanzania. Haijalishi kapiga one kali au ya kawaida. Mada ni hii hapa mezani. Je, Wanaohitimu PCM wanafyucha kwenye kozi gani?
Back
Top Bottom