Közi is a Japanese musician, singer-songwriter and DJ. He is best known as guitarist for the visual kei rock band Malice Mizer. After the band went on indefinite hiatus in 2001, he formed the industrial rock duo Eve of Destiny and also started a solo career. Közi is currently in the bands Dalle, XA-VAT, ZIZ and Vamquet, while occasionally performing solo shows.
During his time in Malice Mizer, Közi often assumed the role of a pierrot doll, dressing in clown-like costumes with large ruffs, always in shades of red, his favorite color. In music videos and on-stage he would often make movements reminiscent of a marionette. Közi has continued this visual style to some extent, but his contemporary stage costumes are more gothic. His work on the Izayoi no Tsuki project was reminiscent of carnival music, and artwork for his projects usually follow a dramatic, theatrical theme. Very few details about his private life are known.
Miye ni muhitimu wa kidato cha nne mwaka 2012 kwa masomo ya HGL, ningependa kupata mwongozo wa nini nifanye.
Je, HGL yangu ya div 2 inatosha?
Au kuna somo inabidi niyareseat?
Na kama kwa HGL inawezekana ni chuo kipi kinatoa masomo hayo kwa ngazi ya diploma?
Habar wana JF.
Kutokana na Mambo kuwa mengi huku mda ukiwa mchache nimejiiuta nachelewa kutuma maombi katika chuo chochote cha VETA nchini hususani Kigoma au Chato(ni kipya kinaanza kutumika mwaka huu) nimeingia kwenye website mbali mbali lakin sikufanikiw kupata mawasiliano na uongoz husika...
Je, inawezekana kwa mwanafunzi anayeinga mwaka wa pili kozi ya diploma ktk afya kupostpone(due to fee issues) na kusoma kozi nyingine ktk chuo kingine?
JIFUNZE SOFTWARE ZA UCHORAJI VITU KAMA RAMANI ZA NYUMBA, BARABARA , RELI N.K
TUNAFUNDISHA SOFTWARE ZIFUATAZO
1.AUTOCAD
2.ARCHICAD
3.CIVIL 3D
4.REVIT ARCHITECTURE
5.EPANET
6.PROKON
7.PROTA
8.MASTERSERIES
JIFUNZE UJIAJILI , PESA YAKO ITARUDI KWA PROJECT MOJA TU
WASILIANA NASI KWA SIMU 0767 267...
Habari wadau,
Ningependa kufahamu mtu anayesoma kozi TAXATION anaweza kufanya kazi sehemu zipi?
Na kati ya kozi ya TAXATION na PROCUREMENT ni ikozi ipi yenye soko zaidi
Ndugu wapendwa nimekutana na huyu kijana ambaye alisoma programme ya kikwete ualimu wa sayansi pale UDOM na kutimuliwa sasa alifanikiwa kumaliza kozi yake.
Ila anataka kusoma kozi nyingine ya degree tofauti na Education, ameomba mara ya kwanza wamemkatalia. Anaomba ushauri aombe kozi gani kwa...
Wadau nawaomba mnsaidie msaada wa mawazo,
Kwamba niapply kozi gan ambazo zitakuwa hazna ushindan kwa round ya pili?
Mim nimepanga niapply kwenda kusoma shahada ya ualimu kwa masomo ya Physics na Chemistry,je niapply vyuo vip ili niwe na uhakika wa kupata chuo?
Kwa ambao wanasoma au wanaifahamu hii kozi kiundani inayotolewa pale SUA, inadili na nini hasa na upande wa matumizi yake..
Bachelor of science in Biotechnology and Laboratory sciences
Nawakaribisha.
Habari wakuu,
Naomba ufafanuzi kuhusu kozi hizi:
Bachelor of Science in Food Science and Technology
Bachelor of Science in Applied Microbiology and Chemistry
Bachelor of Science in Molecular Biology and Technology
Soko lake na zinahusiana na nini hio kozi hapo juu
Wakuu,
Leo katika pita pita zangu kwenye mitandao nimevutiwa na taarifa ya rubani mwenye umri mdogo kabisa Tanzania kurusha Boing ambaye ana miaka 21.Na mimi nimeshawishika kuwekeza kwa mtoto wangu, swalli langu ni kwamba, je ni qualification gani anatakiwa awe nazo ili aweze kusomea urubani na...
kwa wanaohitaji kujiunga na vyuo..kwa waliosoma Science inabidi kuwa makini Sana'a...baada ya TCU kushusha..vigezo vya GP na point...wengi watakimbiliaa kuomba u doctor na pharmacy matokeo yakee watakosaa ...wakirudi kupanga tena ...wanakuta nafasi zilizobaki in Education tu.
Kituo cha Jemolojia Tanzania (TGC) ni Kituo cha Serikali chini ya Wizara ya Madini, Kinatoa mafunzo na huduma mbalimbali katika fani za uongezaji thamani madini. Kituo kinatangaza nafasi za mafunzo ya muda mrefu ngazi ya stashahada katika fani madini ya vito na usonara (Diploma in Gem...
Habari za sasa,kwa wakubwa shikamoni,lengo LA kufungua Uzi huku ni kuelewesha wale wote wenye uhitaji wa kuapply kozi za afya(ukiachana na doctor of medicine na bachelor of pharmacy).
Kozi zifuatazo naomba mchanganuo wake,yaan SOKO LAKE KWENYE AJIRA Au KAMA NI KUJIAJIRI,MAENEO YA KAZI,NA...
Nina mdogo wangu naona ananichanganya, yeye kasoma Diploma ya Telecom DIT lakini kwa sasa hataki kufanya shahada ya hiyo Telecom anasema anataka akasome shahada ya Industrial Engineering management chuo cha mzumbe.
Kwa vile mimi ndio namfund nilitaka kujua kuhusu sababu za uamuzi wake kwa vile...
Mdau wa JF hebu to maoni yako kwa ufaulu huu akasomee kozi gani nzuri chuo?
History=C Biology=C Chemistry=C English=C Civics=C Kiswahili=C Geography=D Math=F
Division I I I. 22. Form Four 2019
Tumpe ushauri tafadhali
Habari za Leo wakuu,
Naombeni kuuliza kati ya hizo kozi mbili tajwa ni ipi ina uwanja mpana wa ajira kwa hapa Tanzania?
Na ni ipi ipo wide?
Natanguliza shukrani.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.