Amechaguliwa kwenda kusomea kozi ya performing and visual arts (bado siajajua kama ni certificate au diploma.
Mzazi mimi sina uelewa wowote wa masuala ya elimu, achilia mbali habari za vyuo na makozi yake.
Kwa kozi kama hiyo, wadau naomba mnijuze na kunishauri; itamfanya awe nani? Msaada wake...