Mdogo wangu kapata matokeo ya DIVISION THREE ya pointi 22.Katika masomo yake amefeli somo la fizikia na hesabu (Physics and Mathematics) ana daraja "F",Kemia na baiologia(Chemistry and Biology) ana daraja "C" ,Masomo mengine ya Sanaa(Kiswahili, History, English Language, Geography) kafaulu pia...