Simba walipoona wamepigwa walitumia mbinu za kivita kumpa 'frustrations' yule Dejan mpaka yeye mwenyewe akasepa bila kuiingiza timu gharama.
Sasa Yanga kwa kule kupigwa 500m za usajili wasikubali kuendelea kupigwa 20m za mshahara. Jamaa anarukaruka tu uwanjani. Anzeni kazi hapo angalau muokoe...
Tunajua mapenzi yanaendesha Dunia. Tumesikia na kujionea mapenzi yalivyo na nguvu, lakini sina uhakika kama yanaweza kuhamisha milima kama wasemavyo.
Umri uliyonao na mambo uliyokwisha pitia, hivi bado wewe ni wakuendeshwa na mapenzi kweli au umerogwa? Ndugu yangu kubali kukua na ujifunze...
Andiko la Wakili Bashir Yakub kuhusu haki ya mzazi kumuona mtoto baada ya kutengana na mwenza au kuachana kabisa.
Sheria Namba 21 ya Mwaka 2009 Kifungu cha 38 cha Sheria ya Mtoto kinatoa haki hiyo na mzazi au mlezi anayekaa na mtoto hapaswi kuipinga, muhimu kusiwe na lengo la kumdhuru au kitu...
Lengo la kuchapisha habari hii ni kutahadharishana na kuachana na Michepuko ambayo huleta sintofahamu katika ndoa zetu. Haya mambo sio poa kabisa na tusi yaendekeze hata kidogo.
Kabla ya kuanza kupata nyuzi bin nyuzi daah msemo huu alikuwa anapenda Sana kuutumia mtangazaji maarufu Sana Julius...
Ripoti za Mruma na Osoro juu ya Barrick/Acacia kulimbikiza deni hadi kufikia Trln 425 zilizua mjadala mkubwa ambapo aliyekuwa mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu alizikosoa na kuziita ni “Professorial Rubbish Report”.
Lissu alitoa ushauri wake kuwa kutokana na repoti hizo Barrick...
Endeleeni kukimbizana na wanyonge, ila laana itawatafuna na kizazi chenu kinachotafuna jasho la wanyonge, waziri anashindwa kujiekeza, Tatraaaa leo amesema hayo matrilion yaliondolewa kirahisi, Kwanini haya yanakuja baada ya kushindwa kujieleza?
Kama mliunda tume, mkaleta yale yote kwa...
Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Mwigulu Nchemba ametoa ufafanuzi kuhusu wapi zipo shilingi trilioni 360 zilizopo kwenye mashauri ya madai 1,095.
Waziri Nchemba amesema, kuna jumla ya mashauri 400 katika mabaraza ya rufani za kodi (TRAT) yenye thamani ya shilingi trilioni 4.2 na dola za Marekani...
Ndugu zangu habari, kichwa cha habari hapo juu chahusika.
Huwa kwenye harakati zangu za ulinganiaji wa dini ya kiislamu nikiwa mimi ni mwalimu, mwanafunzi na mlinganiaji wa dini kwa Quraan na Sunna katika njia ya waja wema waliotangulia, ninakutana na kesi nyingi za ndoa ambazo mimi ninapewa...
HAKI YA MTOTO PINDI WAZAZI WANAPOTENGANA.
Mtoto ana haki ya kupewa matunzo mazuri pindi wazazi wanapotengana, sawa na matunzo aliyoyapata pindi wazazi walipokuwa wakiishi pamoja.
Mtoto atakuwa na haki ya kupata elimu yenye ubora uleule aliokuwa anaupata kabla wazazi wake hawajatengana au...
Habarini wana JF,
Leo nimeamua kushare na nyie jambo linaloniumiza sana sana, mimi ni jinsia Ke. Nilikua na mahusiano na mwanaume niliyempenda lakini amekua akipenda mchezo huo mchafu.
Nakumbuka nilikua ninamkatalia ila sijui ni shetani ilifika siku nilimkubalia, nadhani tumefanya sasa ni...
Takriban watu 15 wameuawa na makumi kujeruhiwa katika mapigano kati ya vikosi vya usalama vya Iraq na wafuasi wa kiongozi mwenye nguvu wa Kishia Muqtada al-Sadr, baada ya wafuasi hao kuvamia ikulu katika mji mkuu wa Baghdad.
Kambi ya kiongozi huyo wa Kijeshi ilishinda viti vingi bungeni Oktoba...
Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Bw. Antony Blinken alifanya ziara nchini Afrika Kusini, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo DRC na Rwanda wiki iliyopita, ambapo alitangaza "mkakati mpya wa Marekani kuhusu Afrika Kusini mwa Sahara." Hata hivyo, mkakati huo hauna jipya na umeonyesha kuwa serikali...
Kuna wakati itabidi uachane na mbia wako (Business Partner) wa biashara ambaye mlipanga kufika mbali sana. Kuna wakati itabidi uachane na bosi wako ambaye ndiye alikusaidia kukufundisha kazi hapo mwanzo.
Kuna wakati itabidi uachane na mtu uliyekuwa unampenda sana na ulidhani utakuwa naye kwa...
Mimi ni mtumiaji wa Oil za Castrol kwenye magari ya Ulaya na Japan.
Juzi nilikuwa natafuta oil ya Castrol 5W30 Edge Full Synthetic kwenye filling stations za PUMA sikuweza kupata, sana sana walikuwa na oil za Castrol chache ikiwemo 5W40 Edge, nilizozikuta ni PUMA Oil ndizo wamezijaza nadhani ni...
Kwema Wakuu!
Huenda ukawa unajiuliza ni Kwa nini Taikon anapenda kujadili masuala ya familia, ndoa, na wanawake. Kwa kifupi tuu ni kuwa Msingi Mkuu wa Jamii ni Familia Bora, familia Bora ni matokeo ya ndoa iliyofuata misingi ya uadilifu. Familia Bora huleta jamii Bora, jamii Bora huzaa taifa...
Habari zenu,
Leo napenda kuongelea madhara ya talaka watu wengi sikuizi ndoa wanachukulia Kama ni maisha ya mpito na wengi wao wanajifikilia wao ukweli ni kwamba watu wengi wanakosea Sana wanapo dai talaka bila kujali watoto ambao Wana wategemea na hao wanaiga mfumo wa maisha ambayo niny mliya...
Mara baada ya kutokuwa na maelewano mazuri na mpenzi wangu kwa muda mrefu usiopungua mwaka na miezi kadhaa nilijaribu kutafuta suluhu kadri ya uwezo wangu na haikufua dafu.
Nilipata msongo wa mawazo juu ya suala hilo kwani sikuwahi kufanya udanganyifu, hata kumjibu vibaya lakini amebadilika na...
Hello JF members,
Ilibaki kidogo tu nijiengue ndani ya JF baada ya kupondwa na wengi kuhusu tatizo langu lililousumbua moyo wangu, lakini ntafanya nini, sikuwa na mtu wa kumlilia, ndo maana niliamua kuanika dukuduku la moyo wangu kwenu nikiamini ningepata kutiwa moyo, lakini ilikuwa tofauti...
Habari wana jukwaa
Naomba msaada tafadhali wale waliomaliza Chuo bila kua na mahusiano ya kimapenzi waliweza vipi? Na wale ambao walikua na mahusiano lakini baadae wakaacha na wakamaliza single walifanya nini?
Msaada kwa kweli nauhitaji, nijiokoe mimi pamoja na Mabinti zenu muwaokoe maana...
Habari wanajf
Unajua Mungu kamuumba Mwanamke nakawaekea silaha kubwa sana, Mwanamke akitumia hizo silaha anaweza kuwin moyo wa mwanaume kirahisi kabisa na Mwanaume kumtii yeye huna haja hata ya kwenda kwa mganga wakati mganga ni wewe mwenyewe.
Nyinyi wanawake mna nguvu kubwa kuliko hata sisi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.