kuachana

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. AbuuMaryam

    Betting ni biashara inayolipa, mpaka radio zimeamua kuachana na malengo ya msingi zimehamia huku. TCRA mpo kimya tu

    Radios na TVs ila Radios sana sana, yaani ukifungua tu unakutana na tangazo la kamari. Kama zamani ilikuwa matangazo ya waganga wa kienyeji. Sasa hivi Radio zimeamua zichezeshe zenyewe michezo hii. Hii biashara inaonekana kulipa sana. Sijui tunatengeneza kizazi cha aina gani? Ukifungua hapa ni...
  2. Zero IQ

    Nimemuacha bi mkubwa wangu kisa anapenda Mapenzi kila wakati

    Haipiti muda bila kukutext limemisi uchakataji, ata ukitoka kuichakata ikipita masaa kadhaa lazima likutext limemisi tena, Muda wote papuchi iko hot, haijawahi kuishiwa Oil kamwe kaah, Ata kama napenda mapenzi sio kwa style hiyo, ni sawa ana body sex linaloshawishi, tako kubwa, mbuno ya maana...
  3. I

    Ni wakati muafaka sasa Mbowe kuachana na mikutano ya Rais Samia

    Kwa uamuzi huu wa Spika kuhusu kuendelea kwa Halima na wenzake 18 kuwa wabunge ni dhahiri dhahiri Samia na serikali yake hawaheshimu kabisa katiba iliyopo. Tumeshudia na kusikia Jaji Mkuu Prof. Juma akiamuru mahakama kutopingana na serikali vilevile tumemsikia Spika wa Bunge akisisitiza utiifu...
  4. love life live life

    Nimeamua kuachana rasmi na siasa, dini na mapenzi

    Sometimes giving up is the sign of perseverance and not the sign of weakness aliandika mwandishi wa habari mwanamama wa uingereza Reni Eddo-Lodge kwenye kitabu chake cha why i'm no longer talking to white people about race, akiwa anaelezea white supremacy and structual disadvantage of black...
  5. M

    Mrejesho: Mpenzi wangu niliyemuacha baada ya kugundua aliwahi kutoa mimba akiwa chuo, amekuja nyumbani kunifanyia fujo akisema simtunzi mtoto

    Ndugu wanajamvi nawasalimu! Niliwahi kuleta uzi humu kuwa nilimuacha mchumba wangu nilipogundua aliwahi kutoa mimba. Mimba zaidi ya tatu akiwa chuo kikuu. Amefika kufanya fujo nyumbanu last week huku akizusha vitu ambavyo si vya kweli. Anasema nina mtoto naye wa miaka 2 kitu ambacho ni uongo...
  6. Robert Heriel Mtibeli

    Ukilazimisha kuachana na ukang'ang'ania watoto kaa ukijua sitakuhudumia wewe na huyo mtoto

    Kwema Wakuu! Nisikilize mke wangu, nisikilize vizuri Kabisa, sipo hapa kumwakilisha yeyote Yule isipokuwa Nafsi yangu na Yule aliyenipa Nafsi hii. Usiniangalie Kwa macho yako mabaya Kama ya Kondoo, Kama ukijua ukilazimisha kuniacha na kuwachukua watoto kimabavu kaa ukijua kabisa Kwanza...
  7. shetrish

    Niishi vipi na mwanaume aliyetoka kuachana na mkewe?

    Hello wana JF, Imetokea kumpenda na kuwa na mahusiano na mwanaume aliyekwisha oa huko nyuma ila walishaachana na mke wake, ningependa kujua unaweza deal naye vipi? Maana naona kama wanakuwa na moods sana za on and off na pia kama hayupo tayari kuingia mazima kwenye commitment, kwa mliopo humu...
  8. Kiokotee

    Hivi inawezekana kabisa kuachana na Social media?

    Habari za usiku huu, Nauliza hivi Inawezekana kweli kwa Kijana kama mimi( Mr.Kiokotee) kwa huu Utandawazi nikaishi kama nipo kolomije huko bila kutumia mtandao wowote wa Kijamii yaani nitumie Simu ya kitochi tuu kupiga na kupokea baasi. Kwa mbinu gani hili litawezekana?
  9. Superbug

    Miaka 30 ijayo zaidi ya nusu ya Wana-JamiiForums tutakuwa tumeshakufa. Je, tunajiandaaje kuagana na kuacha legacy?

    Asilimia 70 ya tulio humu leo tutakuwa tumeshakufa ifikapo mwaka 2052 yaani hatutamuona rais wa tatu tokea samia au au rais wa tisa wa taifa letu kama wajao watatawala kwa miaka 10 @1 je tunajiandaaje kuagana sisi kwa sisi? Binafsi namuaga jamaa mmoja anaitwa Mbususu Enthusiast jina lake...
  10. D

    Mwenza wangu amegoma kuachana na BodaBoda wake

    Wakuu hali ni mbaya sana kiupande wangu, Baada ya kuona Boda Boda amekua ni kiungo kikubwa kwenye maisha yetu, nilianza kutumia njia za busura kumshauri mwenza wangu aache ku deal nae, Nilivyoona Busara haifanyi kazi nikalazimika kujaribu kutumilia nguvu, ILa hapa kwa kweli nimezidi kuvurugika...
  11. LIKUD

    Moja Kati ya faida Bora kabisa utakazo zipata baada ya kuachana na mpenzi wako

    Uta stop Ku pretend kumpenda / kumkubali / kumtolerate ndugu kimeo wa ex wako ambae katika hali ya kawaida usingeweza kuwa na ukaribu nae ila ulizamika kuwa Na ukaribu nae Kwa Sababu ya kuwa katika mahusiano Na ex wako.. Kwa mfano binafsi niliwahi kutoka Na dada mmoja yupo vizuri sana ila ana...
  12. Stroke

    Shemeji yenu anamsupport Putin najiandaa kuachana naye

    Wakuu Dunia nzima ikiungana dhidi ya Putin Jambo la kushangaza sana ni kuwa shem wenu anamsupport kwa moyo mweupe. Ni jambo la kusikitisha kwamba kwa jinsi alivyo anasupport ukandamizaji wa haki na uhuru kwa kiasi hicho. Haachi kunitumia picha na clip za warusi. Naona kama atawafundisha...
  13. S

    North Korea yasema imefanya jaribio la kutengeneza mfumo wa setilaiti ya udukuzi wa kivita (millitary reconnaissance satellite)

    North Korea imesema ilicheki ufanisi wa mifumo ya kamera na mifumo mingine ktk jaribio lake muhimu zaidi la kutengeneza setilaiti ya udukuzi wa kivita. Hayo yanajiri baada ya nchi hiyo kulaumiwa jana kwa kurusha kombora la balistiki. Setiliti hizi hutumika ktk oparesheni za kijeshi na...
  14. S

    Belarus yaamua kuachana na sera yake ya kutokuwa na silaha za nyuklia, itarejesha tena silaha zake za nyuklia kwenye ardhi yake

    Nchi ya Belarus kupitia kura iliyopigwa Jumatatu, imeamua kuachana na sera yake ya kutokuwa na silaha za nyuklia na hivyo ipo tayari kurejesha silaha zake za nyuklia iliyozikabidha kwa Putin pasi na masharti yoyote. Pia imeamua kuyaweka majeshi ya Russia kwa kudumu katika ardhi yake. Hatua...
  15. B

    Unaweza kumuacha mtu unayependa kwa dhati kisa umeshauriwa na watu?

    Habari waungwana. Kwanza kabisa tuvumiliane. Leo nina swali, hivi unaweza kumuacha mtu unaye mpenda kwa dhati kwa kushauriwa na mtu au watu ? Hii hasa nauliza jinsia ya kike. Karibuni aisee, tupeane muongozo.
  16. Nyendo

    Je, Rayvanny na Paula wamwagana?

    Mambo yanaenda kasi sana jamani. Lile penzi moto moto kati ya Rayvanny na Paula binti Kajala huenda likawa limefika kikomo baada ya kila mmoja kuacha kumfatilia mwenzake huko mjini Istagram. Hawanaishia tu kitofatiliana bali pia kila mtu kafuta pucha zote za mwenzake kwenye page yake. Sasa...
  17. Mwanakulipata

    Wanawake mkiwa mnatuacha angalieni na maneno ya kutuambia

    Kuachana, kuachwa na kuacha kupo kwenye mahusiano na ni kitu cha kawaida, ila wanawake mkiwa mnawaacha wanaume angalieni na maneno ya kuwaambia. Wengi mnatumia maneno makali ambayo yatafanya mtu aumie kisaikolojia... “Mambo hubadilika, Usinene ukamara” Hii haijanitokea mimi nikuta twita
  18. GentleGiant

    Mengine ni ya kuachana nayo tu hayakujengi yanakubomoa

    Habari ndugu zangu. Leo nina jambo nataka ku-share na nyinyi na nina imani litawasaidia.Leo nitazungumza na wenzangu wasomaji sana wa vitabu ambao kwa experience yangu humu ndo mashujaa wa mada ngumu ngumu. Kiukweli tunashauriwa kutumia muda mwingi kujijenga kwa kusoma vitabu.Na ni jambo jema...
  19. Carlos The Jackal

    Mwanamke umpendaye anapokuacha, ufanye nini upone?

    Mapenzi ni Hisia , Kimahaba ninaweza yaelezea kua ni Hisia ambazo Zinakaa Damuni , Ubongoni, Moyoni, kila mahali ya Mwilin mwako. Na Inapokua ya kweli na dhati, kila mmoja anataka awe mahali pa pekeake, ardhi ambayo inampa Furaha , nguvu na Imani ya kuikabiki kesho ... Unajua , unapokua Penzin...
  20. Zanzibar-ASP

    Ni wakati muafaka sasa kwa ACT (Zanzibar) kuachana na Zitto

    Ukweli ulio wazi ni kuwa Zitto kwa sasa hana mchango wowote kwenye siasa za upinzani za kutaka mageuzi hapa Tanzania, zaidi anachopambania ni maslahi yake binafsi kupitia serikali ya CCM chini ya utawala wa mama Samia. Jambo hilo sio afya kwa mustakabali wa malengo ya ACT hususani kwa upande wa...
Back
Top Bottom