Mapenzi ni Hisia , Kimahaba ninaweza yaelezea kua ni Hisia ambazo Zinakaa Damuni , Ubongoni, Moyoni, kila mahali ya Mwilin mwako.
Na Inapokua ya kweli na dhati, kila mmoja anataka awe mahali pa pekeake, ardhi ambayo inampa Furaha , nguvu na Imani ya kuikabiki kesho ... Unajua , unapokua Penzin...