Wanajukwaa, hii kitu imetokea uku kwetu mtaani, mahusiano yavunjika siku chache kabla ya kufungishwa ndoa... Jamaa na bibie wanafanya Kazi mikoa tofauti, sasa wamerudi Ili wafunge ndoa takatifu Ili wawe rasmi, mke na mume. Sasa ndugu wa mke wakamuuliza bibie, vipi mmeshapima HIV na mumeo...