Heri ya mwaka mpya kwenu nyote wana teknolojia. Ozone Technologies imerudi tena kivingine katika mwaka huu wa 2023 kuhakikisha kila mtu anakuwa na Computer mpakato yenye kasi na ufanisi. Ili wateja wetu wapate kufurahia kasi ya computer watakazonunua kutoka kwetu, tumehakikisha computer zetu...
Au mwalimu mpwayungu village unasemaje?
Hii ni thathmini fupi ya masomo ya physics na mathematics kwenye matokeo ya form two yaliyotoka juzi.
1. PHYSICS
A - 0.4% (2,519)
B - 0.77% (4,874)
C - 4.73% (29,851)
D - 12.30% (77,586)
F - 81.79% (515,734)
2. MATHEMATICS
A - 1.96% (12,389)
B - 1.35%...
Kuanzia leo saa 6 Mchana tarehe 05.01.2023 Mtandao wa Halotel unawaibia wateja wake bila huruma kupitia Vifurushi vya Internet. Ukijiunga kifurushi cha Siku cha Shilingi 1,000 ambacho wanakupa MB 490 na mara Tu ukianza kukitumia ndani ya Dakika 3 Kinakuwa kimeisha.
Kwa MB 490 ukiangalia video...
Tangu mwaka 2017 tumekuwa tuki-export bidhaa zetu kwenda South Africa na India zaidi ambapo ilikuwa zaidi ya 10% ya exports zilienda katika nchi hizo. Huku nchi za falme za kiarabu zikipata chini ya 10. Kwa mwaka 2017 asilimia ya exports zilizoenda UAE zilikuwa 2.5 na mwaka 2018 ilikuwa 2.3...
Wakala wa Barabara (TANROADS) mkoa wa Dar es Salaam anawatangazia watumiaji wa daraja la Tanzanite kuwa daraja litafungwa siku ya Jumatatu tarehe 2 Januari 2023 kuanzia saa 12 asubuhi na kufunguliwa siku ya tarehe 9 Januari 2023 saa 12 asubuhi.
Sababu ya kufungwa ni ili kuweka nembo ya Tanzanite
Kila mwaka WhatsApp inajifuta simu za zamani ambazo haziwezi kuwa na uwezo wa kufanya kazi na kupata app ya WhatsApp. Hii ni kwa sababu kila muda WhatsApp inaweka mabadiliko mapya na baadhi ya mabadiliko yanahitaji simu yenye nguvu ili kuwa na uwezo wa kufanya kazi bila kusumbua na kupata...
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Kudhibiti Nishati na Petroli (EPRA) Daniel Kiptoo amesema #RuzukuyaSerikali ya 15% itasitishwa rasmi Desemba 31, 2022 na hivyo watumiaji watalazimika kulipia ongezeko hilo.
Wanaotumia Uniti 50 kwa mwezi walikuwa wakilipa Tsh. 17,794, wanaotumia uniti 200 walilipa...
Unakuta mtu anakuja anashida ya kipepo na majini wachafu au kafungwa kiushirikina anakuja kama malaika pm anaomba msaada anapatiwa akishakuwa sawa.
Sasa anaanza kunirudia nakunidhihaki Kwa sana mie Malaya sijui Hili au lile walahi naapa pm yangu sintojibu mtu akiwa na magonjwa yake ayapeleke...
Baada ya kufunga Mipaka yake kwa miaka mitatu ili kupambana na Maambukizi ya #UVIKO19, China itafungua tena Nchi kwa wenye Visa ya Ukaazi, Masomo na wanaotaka kutembelea familia.
Pia, Taarifa iliyotolewa na Mamlaka imesema wageni watalazimika kufanya kipimo cha kubaini hali zao (PCR) lakini...
Tafuta tu popote pale Picha ya Lionel Cognizant Messi akiwa ameshika Tuzo yake ya Golden Ball na ile ameshika Kombe la Dunia alizoshinda zote leo kisha muonyeshee tena kwa Kumringishia kabisa Christiano Ronaldo utaona atakavyokuwa Mpole na hata Kukuamkia Shikamoo kama ambavyo sasa anamuamkia...
Karibu tukuhudumie. Laptop zetu zote zina SSD storage, 8GB RAM. Karibu tukuhudumie. Tunapatikana Machinga complex floor ya pili. Tupigie ama tutumie message whatsapp kupitia namba zetu 0753555055 ama 0714894798.
Instagram kwa picha zaidi ozonetechnologiestz
Laptop ni refubrished, lakini zetu...
Waziri mkenda, ninaomba nikupe ushauri wa bure kabisa kuhusu elimu.
Kwa sasa mambo ya ajira za GPA uko sawa ila anza kufumua mfumu, muundo na mitaala ya elimu nchini.
Prof, hakikisha kila shule ya msingi ina madarasa 2 ya awali na walimu wa awali wenye uwezo wa kufundisha wanafunzi kwa lugha...
Habari zenu wadau.
Habari njema kwenu nyote wana teknolojia, Karibu ozone ujiptie SSD, RAM na Vioo vya laptop kwa bei rahisi na nafuu. SSD, RAM na Vioo vyetu ni vipya kabisa kwa maana ya kwamba wewe ndiwe utakuwa mtumiaji wa kwanza. Pia kukuhakikishia ubora wa bidhaa zetu, Kwa SSD tunakupa...
Wandugu,
Hii team kwa kweli inatia huruma sana. Kwa sasa sio Simba ile ya kushtua, Simba amekuwa MBUZI. Hata ushindi wenyewe wanapata kwa kuokoteza, team haina morali, pesa, udhamini mbovu, uchawi sasa wnatoboaje kwa mfano?
Yule CEO ndiye chanzo cha yote haya lakini kaamua mwakani akimbie...
Hili ni zuri sana, haikulazimishi kulipia mtungi mzima kwa Sh 23000 au Sh 58000. Kwa Sh 1000 yako tuu (buku) unanunua sehemu ya gesi iliyo kwenye mtungi na kupikia. Achana na zile gesi ikiisha unatelekeza mtungi na kurudi kwenye mkaa au kulazimika kutibua bajeti yako uliyojiwekea.
Unalipia...
Kama kichwa kinavyosomeka hapo juu, kama unauza vanilla grade one (kuanzia sentimita 13 na kuendelea) njoo PM kwa mazungumzo zaidi.
Iwe Dar es Salaam.....
Call/Whatsapp: 0710535327
Mapema wiki hii inayoishia, nimefurahi sana kuona Serikali ikigawa bure kwa walimu wa VETA vishikwambi ( tablette) vilivyokuwa vinatumika ktika zoezi la Sensa la mwezi Agasti.
Baada ya zoezi la Sensa kutamatika, Serikali hii tukufu ya Mama Samia iliahidi kugawa vishikwambi vilivyokuwa...
Na Siku zote raha ya Tundu lililowazi ni kila mara tu kutupwe Mchele wa Mbarali ili Ndege wazuri wa Gerezani Mbeya waingie Kuula au Korosho za Namungo Lindi ziweze kupenyezwa humo ili ziive vizuri.
Wakuu,
Wanawake akili zao wanazijuwa wenyewe! Kupitia uzoefu niliyopata humu JF, nikaweza kubaini hujuma niliyotaka kufanyiwa na hivi vibinti vinavyo vaa viatu vyenye manyoya.
Tulipanga miadi ya kula papuchi wiki mbili zilizopita, ila kwasababu anazozijuwa yeye hakutokea, nikabaki na ugumu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.