kuanzia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. maroon7

    Picha ya kuanzia weekend

  2. Daniel Aloyce Daniel

    Kuanzia tarehe 20/12 mtapata kuku wa nyama kwa bei poa kabisa

    Wadau wangu wa nguvu, kwa wale wa Morogoro, kwa shilingi 12,000 pekee utapata kuku wa nyama kuanzia mwezi wa 12 kuanzia tarehe za 20 karibu karibu na Christmas 🎄. Tupeane ka support hapo. Wasiliana na Mimi kupitia (WhatsApp and normal) +255 743 016 950
  3. Suzy Elias

    Kuanzia 2023-2025 CHADEMA itampa wakati mgumu sana Rais Samia

    Nilipata kusema humu kwamba kwa namna Samia asivyo na nia ya dhati kwa aliyokuwa akikubaliana na Mbowe litakuwa ni suala la wakati tu wawili hao kutofautiana tena. Baadhi yetu kwa siku za hivi karibuni tumekiona CHADEMA kama kimefifishwa kwa maneno matamu ya Samia na CCM yake lakini ukweli...
  4. Robert Heriel Mtibeli

    Mvua zitaanza kunyesha Kuanzia tarehe 18 Mpaka 26 Mwezi huu ingawaje hazitakuwa nyingi

    MVUA ZITAANZA KUNYESHA KUANZIA TAREHE 18 MPAKA 26 MWEZI HUU INGAWAJE HAZITAKUWA NYINGI Anaandika, Robert Heriel, Mwanajiografia Hali ni Tete Kwa sehemu ya nchi kuwa na uhaba wa mvua. Hii ni kusema kuna janga la ukame kinaendelea. Kijiografia Mvua zilipaswa zianze mwezi mmoja baada ya jua...
  5. GENTAMYCINE

    Viongozi wa dini zote nchini himizeni maombi ya kuiombea mvua msije kuhubiria watu 'wachafu' makanisani/misikitini

    Na tambueni mvua zisiponyesha ina maana hata maji ya kuoga, kunywa au kutawazia hayatokuwepo, na mtajikuta mnakosa kabisa waumini makanisani na misikitini kwani hakuna mpuuzi atakayependa kwenda ibadani kumuomba Menyezi Mungu huku akiwa mchafu na ananuka pia. Hivyo basi GENTAMYCINE nawahimiza...
  6. peno hasegawa

    Matokeo ya sensa 2022 yanaonesha kila mwaka Watanzania wanaongezeka watu 1,800,000 kuanzia mwaka 2012

    Sensa ya wayu na makazi ya mwaka 2012 Tanzania ilikuwa na watu 44 milioni ambapo sensa ya mwaka 2022 watanzania wamehesabiwa na kupatikana watu 62 milion. Kwa hesabu hii, inaonyesha 62m ~ 44m = 18m 18,000,000/miaka 10 = 1,800,000 Kwa mantiki hii kila mwaka kuanzia mwaka 2012 hadi 2022...
  7. K

    Soccer Academy kwa watoto kuanzia miaka 3 na kuendelea

    Habari wana Jamii Forums. Sisi ni Shining Sports Organization wamiliki wa Shining Sports Academy. Ni Academy ya michezo mbali mbali ila kwa sasa tumeanza na mchezo wa soka. Mazoezi yanafanyika viwanja vya Masaki Sports Park, Karume Road, Masaki. Tunafanya session za watoto kwa ratiba...
  8. K

    Soccer Academy kwa watoto kuanzia miaka 3 na kuendelea

    Habari wana Jamii Forum. Sisi ni Shining Sports Organization wamiliki wa Shining Sports Academy. Ni Academy ya michezo mbali mbali ila kwa sasa tumeanza na mchezo wa soka. Mazoezi yanafanyika viwanja vya Masaki Sports Park, Karume Road, Masaki. Tunafanya session za watoto kwa ratiba ifuatayo...
  9. comte

    Kuanzia sasa neno ni hili

  10. GENTAMYCINE

    TAARIFA RASMI: Yanga SC kuanzia nyumbani na timu ngumu CAFCC

    Ni taarifa rasmi na ikufikie popote pale ulipo kuwa kwa sheria mpya za Kombe la Shirikisho, Yanga SC yenye alama za chini itaanzia nyumbani na timu yenye alama kubwa japo imeangukia Shirikisho. Chanzo: EFM Sports Headquarters Hivyo Watanzania (hasa wana Yanga SC) msije kushangaa sana...
  11. BARD AI

    Ni marufuku kuingia Qatar bila kibali maalumu kuanzia Novemba 1, 2022

    Uamuzi huo umechukuliwa ili kudhibiti idadi ya wageni pamoja na wale wanaotarajiwa kuwasili kwaajili ya kushuhudia Kombe la Dunia linaloanza Novemba 20. Mkuu wa Idara ya Vibali vya Ukaazi, Saad Al-Suwaidi amesema hadi sasa wamepokea maombi karibu milioni 1.7 ya wageni wanaohitaji vibali...
  12. Mohamed Said

    Soko la Kariakoo Kuanzia Upya Wake 1900s

    SOKO LA KARIAKOO KUANZIA UPYA WAKE MWANZONI MWA MIAKA YA 1900 Sisi tuliozaliwa miaka ya 1950 tumelikuta Soko la Kariakoo kama linavyoonekana katika picha ya tatu na ya nne. Nikiangalia picha ya mwanzo ya Kariakoo akili yangu inanipeleka katika nyumba ambazo nyingine mimi zinanihusu na nyingine...
  13. Analogia Malenga

    Spika Tulia Ackson: Mtu akimsema vibaya Rais nyooka naye, akinisema vibaya Nyooka naye

    Wakuu nawaletea kideo, spika wa bunge akiwataka vijana kushughulika na yeyote anayemsema vibaya Rais, Mbunge, Diwani au Mwenyekiti wa mtaa kwa tiketi ya CCM. Hivi karibuni kuna ndugu wa Temeke alisema wao kazi yao ni kuwashugulikia wakosoaji na wazee watawaombea radhi kwa watanzania. Sijui...
  14. BARD AI

    Movie 10 kali za kuziangalia kuanzia Oktoba 2022

    Kwenye list yako ya filamu za kuziangalia hakikisha umeweka hizi hapa; 1. All That Breathes 2. Emily 3. Wendell & Wild 4. Black Adam 5. The Banshees of Inisherin 6. My Policeman 7. Decision to Leave 8. Triangle of Sadness 9. The Lost King 10. Ticket to Paradise
  15. Mwamuzi wa Tanzania

    Una hali ngumu ya kipesa? Nakupa hii mbinu bure kabisa, kuanzia sasa usilale njaa tena

    Kwa maisha na mifumo ya kimaisha ya Afrika kupigika ni jambo la kawaida sana. Hivi umewahi kujiuliza hawa Wazungu wanaotalii Tanzania na kuzunguka dunia kazi wabafanya saa ngapi? Turudi kwenye mada. Haya basi chukua kapesa kadogo ulichonacho kisha kashike na ukiamuru kiite wenzake (pesa...
  16. J

    Halmashauri zinazokusanya kuanzia bilioni 5, zaelekezwa kutenga 10% kuboresha miundombinu ya barabara

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mhe. Innocent Bashungwa amewaelekeza Wakurugenzi wa Halmashauri zinazokusanya mapato ya ndani kuanzia bilioni 5 kwa mwaka kuhakikisha wanatoa asilimia 10 kati ya asilimia 60 inayotengwa kutekeleza miradi ya maendeleo...
  17. Roving Journalist

    Mwigulu Nchemba: Tumefuta baadhi ya tozo, nyingine tumepunguza kwa asilimia 10-50

    Akizungumza leo bungeni, Waziri wa Fedha na Mipango Mwigulu Nchemba amesema uongezwaji wa wigo wa kukusanya mapato kupitia tozo uliibua malalamiko kwenye jamii, hivyo Kamati kuu ya Chama cha Mapinduzi iliagiza upitiwaji upya wa tozo hizi na kuzingatia maoni ya wananchi. Marekebisho yafuatayo...
  18. Expensive life

    Hili la Yanga SC kuanzia nyumbani kila mwaka kwenye CAF Champions League ni uonevu

    Mimi kama mwanayanga kindakindaki naumia kwa kweli kwa nini kila msimu ni sisi tu ndio tunaanzia nyumbani na kumalizia ugenini? Mbona wenzetu Simba wanapendelewa? Sisi ndio mabingwa wa nchi hii iweje tuanzie nyumbani? Timu kubwa zote zimeanzia ugenini kwa nini sisi tu? [emoji25][emoji25]
  19. Suzy Elias

    Nina tatizo la dharula Halotel napiga 0 kuongea na huduma kwa wateja hawapokei kuanzia saa 9

    Ndugu zangu mwenye kufahamu namba tofauti na 0 ya huduma kwa wateja halotel anisaidie maana nimepiga hiyo 0 wala haipokelewi tokea saa 9
  20. D

    Elewa msingi na ubora wa wanaume wanaoitwa MARIO ili uanze kuwaheshimu kuanzia leo, Utajiri ni mipango ya Mungu pasipo kujali jinsia

    Habari wadau! Kumekuwepo na lugha chafu sana kwa wanaume wanaozidiwa kifedha na wake zao! Hata imefikia kubatizwa majina mengi mazuri kama Vile Mario, kitonga au ganda la ndizi! Ni majina mazuri kwasababu kisaikolojia majina hayo yameundwa kwa misingi ya Wivu, yaani mtu yoyote anayesikia raha...
Back
Top Bottom