kuanzia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ngongo

    Ngongo anatarajiwa kufika mbele ya kikosi kazi wakati wowote kuanzia kesho

    Heshima sana, Mimi Ngongo Balozi wa kumi natarajia kufika mbele ya kikosi kazi kutoa maoni yangu kuhusu Katiba. Mosi,naunga mkono katiba mpya kwakuwa hii ya sasa imepitwa na wakati. Natarajia kuangazia mambo manne tu mengine nawaachia waTanzania wengine. Katiba lazima ipunguze...
  2. M

    SI KWELI Bodaboda na Bajaj zapigwa marufuku kuingia katikati ya Jiji la Dar es Salaam kuanzia Aprili 21, 2022

    Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam nchini Tanzania imewatangazia kuanzia kesho Alhamisi bodaboda na bajaji zote hazitaruhusiwa kuingia katikati ya Jiji hilo.
  3. CONTROLA

    Wakazi wa DAR wenye uhitaji wa Internet katika kazi zenu kuanzia Ofisini mpaka Nyumbani, suluhisho hili hapa

    Najua watu wengi sana hutumia internet katika mishe za hapa na pale,binafsi ni wale watu wanaoishi mjini kwa kutegemea internet kwa sana, pamoja na mengine ninayofanya ila nina mengi makubwa nayafanya kupitia internet. Nimeshatumia internet mbali mbali za makampuni makubwa na madogo, na baadhi...
  4. Kunguru wa Unguja

    Nahitaji simu nzuri upande wa camera, Processor na storage(ROM) kuanzia 64GB Ila isiyo Apple

    Jamaan wadau wa humu JF jukwaa la matangazo madogo madogo habari za muda huu Kiufupi ni kwamba nahitaji simu nzuri upande wa camera, processor na storage kuanzia 64GB na pia iwe ina betri lenye uwezo wa kukaa na chaji muda mrefu yaani haiishi chaji kwa haraka angalau kuanzia...
  5. GENTAMYCINE

    Kumbe tunaochati Jamiiforums kuanzia Saa 8 hadi Saa 12 ndiyo tupo zetu 'Mamtoni' na wanaochati Nje ya hapo wapo 'Uswahilini' Bongo

    adriz, mwanausangi, Frank Wanjiru, Sky Eclat, KISIWAGA, Daudi Mchambuzi, cocastic na Bila bila kumbe nyie na 'Ujiniasi' Wenu wote mnaishi huko Uswahilini Bongo na ndiyo maana mwisho Wenu wa kuwepo ( kuchati ) hapa Jamiiforums ni Saa 12 za Jioni tu? Sasa ngoja nitafute Marafiki zangu wapya...
  6. TODAYS

    Rais Samia: Tutanunua vichwa na mabehewa vya kuanzia vilivyotumika

    Taarifa zilizopatikana mpaka muda huu nabandika hii habari hapa jukwaani ni kuwa serikali inatarajia kununua mabehewa na engine kadhaa kwa ajili kuanza kutumika kwenye kipande cha Dar - Moro. Kauli imetolewa na amiri jeshi mkuu wa Tanzania Rais SSH na kuongeza kuwa "Lakini vipya tulivyoagiza...
  7. E

    Msaada wa eneo la kufanyia field kuanzia Oktoba - Machi

    Msaada wa eneo la kufanyia field nipo mwaka wa pili Mzumbe course ya ujasiliamali kuanzia kuanzia Oktoba - Machi.
  8. Lady Whistledown

    Waziri Mhagama aagiza utekelezwaji wa ajira mpya kuanzia Julai, 1

    Akichangia hoja ya Utoshelevu wa Watumishi wa Umma na mifumo ya ajira nchini Bungeni leo, Waziri wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora ameagiza Sekretarieti ya Ajira kutangaza vijana waliofaulu usaili wa ajira za utumishi wa Umma na Julai 1, ajira zote mpya zianze...
  9. Gordian Anduru

    Simba inaweza kuanzia preliminary siyo lazima kila mwaka timu 10 zianzie first round

    SIMBA INAWEZA KUANZIA PRELIMINARY SIYO LAZIMA TIMU 10 ZIANZIE FIRST ROUND Caf Champions League inatakiwa kuhusisha timu zisizozidi 68 Caf ina wanachama 56 (Japo Afrika ina nchi 54) katika hao nchi 12 zinatoa timu 2 CafCL na kufanya jumla ya timu 24 na nchi 44 zinatoa timu moja ndipo unapata...
  10. Meneja Wa Makampuni

    Wale wenye GPA kuanzia 2.1 mpaka 3.4 tukutane hapa tuyajenge hapa

    Huu uzi ni kwaajili ya wale ambao GPA zetu zipo chini ya 3.5 Naomba tupeane mrejesho kama hizi GPA zetu zimetuathiri chochote mtaani? Mimi binafsi GPA yangu ni 3.1 net, tangia nimeingia kitaa sijawahi kukosa kazi kwa kigezo cha GPA. Na kazini nafanya kazi na wenye GPA zao za 4.3 na tunapata...
  11. GENTAMYCINE

    Baada tu ya Kuisikia hii Nukuu ya Rais ya Radio One Leo, kuanzia sasa sina Lawama na Mtu nitamsubiria huyo wa Kumrithi 2030

    "Kila Matokeo ya Mitihani yakitoka Wizara ya Elimu akina Mkenda huniletea Vitabu vikubwa pamoja na Flash hivyo nikiiweka tu katika Computer yangu Kwanza huanza Kuangalia Kwetu Mkoani Kusini Unguja kisha nikiona huwa nasema Mama yangu ni nini hiki? Yaani Mkoa anaotoka Rais ndiyo unaongoza kila...
  12. OKW BOBAN SUNZU

    Giants Simba Sc kuanzia round ya kwanza CAFCL

    -Klabu ya Simba SC ya Tanzania sasa rasmi imekuwa miongoni mwa vilabu 10 ambavyo vitaanzia raundi ya kwanza kwenye mashindano ya CAF Champion League msimu 2022/23 kama msimu uliopita baada ya CAF kupitisha utaratibu wa vilabu 10 bora kuanzia raundi ya kwanza ya michuano ya CAF Champion League...
  13. L

    Internet Explorer ya Microsoft inafungwa kabisa kuanzia tarehe 15 mwezi Juni

    Internet Explorer ya Microsoft inafungwa kabisa kuanzia tarehe 15 mwezi Juni.
  14. kavulata

    Silaha za Urusi ni bora kuliko za Marekani, ni kimbilio la mataifa mengi kuanzia sasa

    Vita ya Syria na Ukraine imeonyesha kuwa Silaha za magharibi (NATO) zimeonyesha uwezo mdogo sana dhidi ya zile za nchi za Magharibi. Nchi nyingi sasa zinawaza kwenda kununua silaha na mifumo ya ulinzi ya Urusi zenye ufanisi mkubwa kwenye uwanja wa vita kuliko zile za NATO. NATO sasa inawaza...
  15. GENTAMYCINE

    Kuanzia sasa ukija Ghetto Kwangu kutizama Tv njoo na ama Tsh 1,000 yako au Tsh 3,000 huna kaangalie kwa Mama au Nchemba sawa?

    Nadhani tumeshaelewana sasa Wewe njoo Kwangu kwa Mazoea ya Kutizama Taarifa za Habari utaishia Mlangoni.
  16. mjizu123

    Serikali: Kila Mtanzania mwenye umri wa zaidi ya miaka 18 na mwenye kipato anatakiwa kulipa kodi

    "Kila mtanzania mwenye umri wa zaidi ya miaka 18 na mwenye kipato anatakiwa kulipa kodi. Ili kutimiza amza hiyo, Serikali inakusudia kutoa namba ya utambulisho wa mlipakodi (TIN) kwa kila mtanzania mwenye umri wa kuanzia miaka 18 au zaidi" "Kwa kuwa utaratibu wa usajili wa namba ya utambulisho...
  17. Greatest Of All Time

    Rais Samia kufanya ziara nchini Oman kuanzia June 12

    Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kufanya ziara ya siku 3 nchini Oman mara baada ya kualikwa na kiongozi wa nchi hiyo. Ziara hiyo itaanza Juni 12 mpaka Juni 15. Hii ni ziara nyingine ya Rais Samia katika kile anachokiita kuifungua nchi kiuchumi.
  18. benzemah

    EWURA yatangaza bei mpya ya mafuta zinazoanza kutumika Juni Mosi

    Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji (EWURA) imetangaza bei mpya ya mafuta zinazoanza kutumika Juni mosi, huku kukiwa na unafuu kutoka na ruzuku ya shilingi Bilioni 100 iliyotolewa na Rais Samia mapema mwanzoni mwa mwezi huu. Bei mpya zilizotangazwa na EWURA zinaonesha kuwa petrol itauzwa...
  19. N

    Kuanzia round ya kwanza: tuwaombee njaa Orlando Pirates wako uwanjani muda huu

    Yaani tungeingia nusu fainali , hizi habari za kuombeana njaa wala zisingekuwepo kwa kweli maana kama siyo namba 9 tungekuwa wa 10. Anyway wakati dua mbaya tunaelekeza kwa Etoile du sahel ya Tunisia na Es Setif ya Algeria kumbe wale wapuuzi wa soweto Orlando pirates walikuwa na viporo vitatu na...
  20. Elias K

    Ni mkoa gani mzuri kwa kuanzia maisha from Zero?

    Wakuu habari za muda huu! Baada ya kukaa nyumbani muda mrefu nikifanya kilimo cha kutegemea mvua, mwaka huu kilimo kimeniangusha sana na hata miaka iliyopita mara zote mavuno yalikuwa tofauti na matarajio hivyo nimeamua kuachana na kilimo kwani sioni hatima ya maisha yangu ikiwa tofauti na ya...
Back
Top Bottom