Habari wana JF
Ninajua mtu anaweza kubadili mambo makubwa kabisa kama dini, uraia, mke, na timu ya kushabikia.
Kwasasa nimelichoka kabila langu, naona kama linakosa swagger. Nifanyaje ili nibadili kabila?
Kuoa na kuhamia ukweni au kuhama sehemu niliyopo ni hatua ambazo sitaki kuzichua
Kama ni kweli hakuwa na nia mbaya ya kuziponda tozo, na mkopo wa tril 1.3 basi wahuni waliodukua na kuifoji hiyo klip ili kumuonyesha spika akiponda mkopo wa tril na kudai watanzania tutauzwa kama ng'ombe wasakwe na kukamatwa
Ieleweke wazi kuwa kudukua na kufoji ni kosa la kimtandao. Na...
Ukisoma kwenye kitabu cha Injili ya Yohana sura ya pili, Kuna kisa kinasiimuliwa ambacho kilitokea katika Kana ya Galilaya.
Katikati ya harusi divai ikaisha, Mama Maria Mtakatifu akamfuata Yesu, akamwambia kuwa mzigo wa gambe umeisha.
Yesu akamjibu muda wangu bado, basi akawaagiza Vijana...
Naona Staff wa TRA wa uku nilipo siwaelewi kabisa,wanafanya mambo yawe magumu...
Mwaka 2017 nikiwa Dar es salaam nilipata TIN namba lakini ilikuwa si kwa ajiri ya biashara (non business use),niliipata nkiwa ktk harakati za mafunzo ya udereva.
Kwa sasa nipo mkoa wa nyanda za juu uku ktk...
Wadau wakati napiga picha miaka iyo ilopita nilikua na karangi keusi sasa nimekunywa maji mengi kama Rey kigosi nimekua na karangi keupe, ukitazama picha ile na sasa utakataa sio mimi, vipi upo uwezekano wa kubadili picha nida?
Kampuni ya Punch company limited
Inatanganza nafasi 500 kwa wachumi, HR, ACCOUNTANT, WATU WA MASIJALA KWA AJILI YA KUPUNCH LAANA ZILIZOKO KWENYE JAMII MAANA UHURU HAWAKUTENGENEZA KITENGO CHA KUJIBU MANUNGUNIKO ya watu na badala yake yakawa laana... Mathalani:-
...... Mchawi sana/Freemason...
Samahanini.kuna mdogo wang kachaguliaw UDOM course ya IT,anataka akajaribu kufanya transfer ya course kutoka course ya IT kwenda MD kweny matokeo yake ya form six ana D flat dvs 2 point 12,,,,je inawezekana???
Facebook Inc. imepanga kubadilijina ili kuendelea kushikilia soko la mitandao ya kijamii.
CEO na Mmiliki wa kampuni hiyo, Mark Zuckerberg amesema atalitaja jinajipya Oktoba 28 katika mkutano mkuu wa mwaka wa kampuni.
Facebook imesema haitajibu masuala ya uzushi yanayoenezwa dhidi yao.
===...
Nimemfatilia huyu Duncan Nyoni, japo huwa anaingizwa dakika za mwisho lakini kila akiingia anaonekana kubadili mchezo na kuleta uhai katika ushambuliaji.
Kocha ampe nafasi zaidi..
Wakuu Someni Hii Taarifa Kutoka Mamlaka Ya Mapato Tanzania (TRA)
=====
October 8, 2021 by Global Publishers
MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imesema kumekuwepo na changamoto kubwa ya baadhi ya watu wanakuwa wamesajili vyombo vya moto lakini usajili wao ni batili, hawajasajiliwa na TRA ambapo...
Hoja yangu hapa ni kutaka kuwepo na mfumo matika simu utakaomuwezesha mtumiaji wa simu aliyeko katika eneo ambalo halina wakala wa huduma za kifefha aweze kununua vocha na kuzibadili kuwa
M pesa,Airtellmoney,Tigopesa n.k na hivyo kumtumia mtu anayehitaji.
Mfano Umeenda kijijini kwa shuguli zako...
Bado inaonekana kuna hela za kitanzania zimefichwa nje ya mfumo wa mabenki. Hiv serikali haiwezi kuamua kuprinti aina mpya noti za 10,000/= na 5,000/= ili ilazimishe watu kwenda benki kubadili kwa sharti la watu kuwa na account hasa kwa wenye kubadili kiwango flani cha fedha.
Habari wanajamvi,
Nimekuwa nikifuatilia uniform za majeshi ya nchi zinazoendelea kama Marekani, China, Uinhereza n.k. Itagundua uniform za majeshi yao za zamani na sasa ni tofauti kabisa.
Mfano jeshi la Marekani uniform zao wakati wa vita vya Vietnam na za sasa ni tofauti kabisa. Za sasa zina...
Wajuvi mimi ni mfanyakazi wa hoteli sina muda mrefu kwenye hii kazi nilipewa DIRHAM 200 pesa ya UNITED ARAB EMIRATES baada ya kumkaribisha vizuri mgeni wa kiarabu
Je wapi naweza kubadilisha hizi pesa maana nasikia benki nyingi hawabadili
Wakuu habari za leo.
Samahani naomba kuuliza. Kuna mdogo wangu amechangulia chuo kikuu cha Dar es Salaam kusoma Sociology lakini yeye ndoto yake ni kosoma Law.
Amechaguliwa kusoma pia Insurance katika chuo cha IFM lakini anataka kusoma UD.
Sasa wakuu ameniomba nimshauri nikawaza kuhusu...
Habari ya leo wakuu,mimi ni kijana wa kiume naishi Dar najihusisha na ujasiriamali wa usafi na dawa kwa uchafu sugu katika Tiles,Masink,Vioo na Sofa.
Mwezi wa 10 mwaka jana nili hama kimakazi kutoka mkoani kuja Dar lengo likiwa ni kutafuta kazi ama shughuri yoyote ya kuni ingizia kipato maana...
Salamu kwenu wanajamvi,
Nina dada yangu ni mwalimu wa shule ya msingi huko Iringa Kilolo. Anahitaji kuhama mkoa anaopendelea ni Morogoro. Kama kuna anaejua yeyote anaetaka kuhamia Kilolo hata kama hayuko Morogoro naomba tuwasiliane PM.
Shuktlrani
Nimepokea sms ya Vodacom asubuhi ikinijulisha kuwa kuanzia 16/08/2021kutakuwa na mabadiliko ya vifurushi. Mpaka sasa sijajua ni Vodacom pekee au na mitandao mingine nao watapandisha.
Sms hiyo haijaweka wazi kama vifurushi vitapanda au vitapungua lakini kwa fikra zangu naona vifurushi vitapanda...
NAIBU Waziri wa Nishati, Wakili Stephen Byabato amesema watumiaji wa Umeme Waliobadilishiwa Tozo za kutoa huduma (TARIFF) kutoka kundi moja kwenda jingine pasipo wao kubadilisha matumizi halisi watoe taarifa katika Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) ili kufanyiwa marekebisho ya tozo hizo...
Uongozi wa mtandao maarufu wa Jamii Forums (JF) umebuni shindano la Uandishi wa Mtandaoni wenye kuleta tija (Stories of Change) kwa wanachama wake. Awamu ya kwanza ya shindano hili itaanza Julai 14 hadi Septemba 15, 2021. Zawadi zilizotangazwa kutolewa ni kama zinavyoonekana kwenye kielelezo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.