kubadili

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. N

    Msaada: Kubadili tarehe na mwaka wa kuzaliwa NIDA

    Naombeni, msaada hili linawezekana? Mwanangu majina yote ni sawa na picha shida date birth, je itachukua muda gani na gharama kiasi gani?
  2. Clark boots

    Namna ya kubadili Email humu na Username (ID)nahisi Kuna mtu kadukuwa Account yangu.

    Moderator au wataalam wowote humu ndani naomba mnisaidie. Frankly naamini kabisa Kuna mtu kadukuwa account yangu na anaifahamu vyema, obviously nimechukia sana hii issue, ni mtu wangu wa karibu sana It seems that kani-target na kafanikiwa kujua ID yangu humu maana sina MAZOEA ya Kulogout...
  3. N

    AIBU KUU:KITENGO CHA GRAPHICS KILISAHAU KUBADILI FONTS "MATOKEO YA 12-0"

    Ni muhimu sana kitengo chetu cha graphics kiwe very careful katika propaganda za kuwafurahisha wanachama na mashabiki wetu kwani katika kundi la wajinga wwalio wengi kuna wajanja wachache wana o notice vitu vidooogo kama vile FONTS zilizotumika...kwenye picha ya okrah weupe haujatolewa vizuri...
  4. Gama

    WHO yatangaza kuwa ugonjwa wa Monkeypox utapewa jina jipya

    Shirika la Afya Dunuani limesema kuwa Ugonjwa wa Monkey Pox utapatiwa jina jipya kwa kuwa jina la sasa linaambatana na unyanyapaa FUATILIA ======== Monkeypox to get a new name, says WHO Yesterday 6:34 PM The World Health Organization says it is working with experts to come up with a new name...
  5. MOSintel Inc

    MSAADA: Nahitaji kubadili Window OS na kuweka softwares kadhaa katika kompyuta yangu

    Habari za wakati huu wana_jukwaa? Ni imani yangu mtakuwa mnaendelea vyema na majukumu ya kila siku. Kama heading inavyojieleza, Nahitaji: 1. Kuweka windows 10 pro na drivers zake kwenye Kompyuta ikiwa ni pamoja na Antivirus. 2. Ku install softwares kadhaa katika kompyuta: I. Adobe ...
  6. K

    Ni sababu gani zilipelekea chama cha TANU kubadili jina mwaka 1977?

    kwa wanaoelewa sababu zilizopelekea chama cha TANU kugeuzwa kuwa Chama Cha Mapinduzi anijuze tafadhari maana mimi kama mimi sioni haja ya TANU kuwa chama cha mapinduzi.
  7. sky soldier

    Tahadhari: Utapeli wa Zimbabwe wa kubadili mtu aliyelala na mke wa mtu aonekane ana miguu ya ng'ombe na mkia, umefika Tanzania

    Kinachofanyika ni kwamba mtu anafukiwa miguu kwenye shimo ama anaweza kuwa ni kilema hana miguu, wanaiweka miguu ya ng'ombe kwenye suruali halafu kwa namna wanayojua wenyewe inaunganishwa na na kiwili wili. Kuhusu huo mkia unacheza cheza kila mara, kuna mota inafungwa ama kuna uzi umepita...
  8. Idugunde

    Orodha ya wanasiasa ambao inasadikiwa watajiunga umoja party huko mbeleni watatujuza mengi na kubadili upepo wasiasa

    Nasikia watafunguka mengi. Na hawa ndio wataweka mambo hadharani 👇 1. Job Ndugai huyu atafunguka mengi maana inasadikika namna alivyog'olewa ni sababu alitaka kuleta kauzibe kwa wapiga madili. 2. Luhaga Mpina huyu atafunguka mengi sana huko mbeleni na hali ya hewa itachafuka. 3. Dk . Bashiru...
  9. Mr.Wenger

    Inawezekana kubadili chuo kwenda Advance?

    Habari zenu wakuu! Kuna dogo alipata division 2 form 4 lkn post zilizotoka leo amepangiwa kujiumga na chuo cha CBE kozi ya Marketing. Dogo hataki kwenda huko chuo, anataka kwenda advance akapige PCM. Je inawezekana serikali kumbadilishia post akapige hiyo PCM au ni mpaka aende private school...
  10. Teko Modise

    Vodacom kubadili vifurushi vyake

    Nimetumiwa sms na voda sasa hivi, siku chache zijazo vifurushi vyao vitabadilika. Hawajaweka wazi kama wataongeza au watapunguza? Tutarajie nini?
  11. wadray

    Utaratibu wa kubadili eneo la biashara

    Habari ndugu zanguni, naombeni msaaada wa kiufahamu hivi ikiwa unataka kuhamisha biashara yako kutoka mtaa mmoja kwenda mtaa mwingine lakini biashara ni ileile na ni ndani ya wilaya na mkoa huohuo, Je kuna haja ya kwenda TRA na HALMASHAURI kwa ajili ya kubadili location ya biashara au unasubiri...
  12. L

    Msemo wa jadi wa kichina: “Mtu hapaswi kubadili ahadi yake au kuacha harakati zake hata kama anakabiliwa na hatari”

    Mkutano wa mwaka wa Baraza la Asia la Boao ulifanyika kuanzia Jumatano hadi Ijumaa wiki hii huko Boao, mkoani Hainan, kusini mwa China. Kauli mbiu ya mkutano wa mwaka huu ni “COVID-19 na dunia: kuhimiza kwa pamoja maendeleo ya dunia na kujenga mustakbali wa pamoja”. Kuna msemo mmoja wa Kichina...
  13. R

    Kuna haja ya Umoja Party kubadili jina kwa manufaa mapana ya Taifa

    Baada ya vuguvugu kubwa la kuanzishwa kwa chama cha siasa cha Umoja Party ni dhahili sasa safari imeanza lakini nna ombi moja tu tubadili Jina kuwa Chama cha Ukombozi na Umoja Tanzania (CUUTA). Sababu kubwa ni kwamba kwanza tunahitaji kukomboa watu kifikra na kiuchumi na ndipo tuwaunganishe...
  14. Webabu

    Vita ya Urusi na Ukraine vyaendelea kuwa vikali baada Putin kubadili kamanda

    Raisi Putin amemteua generali Alexander dVOrNIKOV kuwa kamanda mpya wa kuongoza jeshi lake katika nchi ya Ukraine.Generali Alexander ndiye aliyekuwa kamanda wa mwanzo wa Urusi nchini Syria katika kumsaidia raisi Assad kupambana na wapinzani wake walioungwa mkono na Marekani na Israel. Masaa...
  15. M

    Tukiweza kubadili hivi vitu kwenye katiba yetu inatosha, Rais Samia anaweza

    Kwa kuzingatia usalama wa nchi yetu na usalama wa kuendesha nchi nashauri kama Mama ataridhia mabadiliko ya katiba mambo haya yanafaa kuongezwa tu kwenye katiba iliyo na machache kuondolewa. Kipengele cha Rais akifa akiwa madarakani tubadilishe ISEME RAIS AKIFA MADARAKA MAKAMU WAKE ASHIKILIE...
  16. mwilawi

    Naomba kuelekezwa namna ya kuindoa virus kwenye pc bila kubadili windows

    Salama wakuu. Naomba kuelekezwa namna ya kuindoa virus kwenye pc bila kubadili windows. Asante nisaidieni. Nipo dodoma na mafundi wengi wananiambia ni lazima kupiga chini window then kuweka antivirus na kuscann
  17. Kamanda Asiyechoka

    Makamanda tusitegemee Mbowe kudai Katiba Mpya. Tayari ameshaingia kwenye 18 za CCM

    Kauli zake zinatia mashaka makubwa. Tayari ameshatishika na anajipendekeza kwa Rais Samia. Mimi ndiyo maana kwa machungu niliyonayo huwa naamua kusema ukweli. Mbowe tayari amenyoosha mikono juu.
  18. Kitimoto

    Nataka kubadili Tairi kwenye gari la Toyota IST Size 195/60R16 kwenda size kubwa inayofaa

    Wakuu nina Toyota IST nataka nibadilishe tairi kitoka 195/60R16 kwenda kwenye size kubwa kidogo ambayo itafiti kwenye gari. Nimeona baadhi ya IST wameweka tairi ya size tofauti na zinazokuja nazo zinapendeza sana. Ni size gani itafaa? Sitaki tairi za Kichina.
  19. nyahinga

    Naomba kujuzwa taratibu za kubadili kazi Ualimu kuwa Afisa Lishe

    Habari JF, Naomba kuuliza utaratibu wa kubadili kazi kutoka kuwa mwalimu na kuwa afisa lishe wa wilaya. Nimesoma BSc. In human Nutrition lakini pia nikasoma postgraduate diploma in education. Kwa Sasa nafanya kazi kama mwalimu, Ila nataka kuhamia kwenye field ya mwanzo. Yaani nataka nifanye...
  20. Idugunde

    Hongereni Tanesco kutuletea Smart Meters, lakini mtatuunganishia bure ili kubadili zilizopo au tutalipia?

    Hii habari ni faraja kubwa kwa watumiaji wa umeme maana sasa habari za kulala giza kidogo au kwa sana zitapungua maana hata ukiwa Songea safarini utaweza kununua umeme na kuwasha nyumba iliyopo Mwanza. Maana hakutakuwa na haja za kuingiza tokeni ili kuwasha umeme. Lakini je, hizi mita...
Back
Top Bottom