Wakuu natumai hamjambo. Kijana wangu wa kiume amechaguliwa kujiunga na chuo cha afya baada ya kumaliza kidato cha nne. Katika matokeo yake alipata DCC ktk tahasusi ya PCB, amechaguliwa kusomea unesi na ukunga. Yeye anataka kusomea Clinical medicine. Tafadhali anaejua process za kubadilisha kozi...
Miezi kadhaa iliyopita nilikubwa na misukosuko mingi sana kimaisha na magonjwa mbalimbali makubwa kuninyemelea ikiwamo high blood presha.
Nikiwa kijana kabisa mwenye ndoto za maisha yangu nilishtuka sana nilipofika hospitalini siku moja kwa issue ingine na dokta kunipima presha kwanza kisha...
Kumbe kufungiwa jf kunauma hivi siku zilikua hazisongi any way tuachane na hayo.
Unamchukuliaje mwanaume anayebadili dini kisa mwanamke, mimi namuona wa ajabu kweli kama ameshindwa kusimamia imani ya dini yake bas hata maamuzi kama baba wa familia hatokua nayo mke akimkingia kibesi tayar...
Kwenye nembo ya Taifa kuna pembe za ndovu (pembe za tembo). Kwa wakati huo inatengenezwa nahisi au nadhani biashara ya pembe za ndovu ilikuwa halali ila kwa zama hizi ni haramu ikiwa inamaana haifai tena kuendelea kukaa kwenye nembo ya taifa letu.
Yani haka kagari huwa natamani sana nikachukue kama back up huko sababu ya space ila tatizo lake huu mlango wa kuburuza siupendi kabisaaa mtaalamu wa bodi anibadilishie ufunguke kama milango mingine usiwe wa kuburuza kama ulivyo sasa inawezekana?
Ndugu zangu nimekuja hapa kuomba msaada wenu wa haraka. Imebaki wiki mbili wanafunzi wa kidato cha tano wa Report lkn nimepata kesi ya dogo mmoja hapa anahitaji msaada wa haraka maana ni kama amevurugwa.
Dogo amesoma shule ya kata na amepambana kweli akapata div One ya 17 na matokeo yake ni...
Kiukweli umasikini unatesa, umasikini unaumiza, umasikini unakatisha tamaa
Huenda tukaondoa umasikini kukuondoa mifumo ya uongozi tulio achiwa na wazungu na kutafuta njia nyingine ya uongozi ambayo itakuwa inambeba kiongozi pamoja na mwananchi wake..
Mfumo uliopo yaani mfumo wa vyama vingi...
Programu na Mtandao wa Wingu Kuhakikisha
Usimamizi Thabiti na Endelevu wa Taka katika Miji
View attachment 2658954
UTANGULIZI
Katika harakati za kujenga miji ya kudumu na yenye mazingira endelevu, usimamizi wa taka unacheza jukumu muhimu. Usimamizi thabiti wa taka si tu unapunguza uchafuzi wa...
Rais Samia akizungumza na Wakazi wa Jiji la Mwanza baada ya kuwasili kwa Ziara ya Kikazi leo Juni 12, 2023.
Akitoa Salamu kwa Wananchi wa Jiji la Mwanza waliojitokeza kwenye uwanja wa Ndege kumpokea, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amesema Tanzania ni Nchi...
#FAHAMU : Kama utakuwa ni moja kati ya watu ambao wanandoto siku moja kuja kumiliki magari ya kifahari basi leo kwa uchache tunakufahamisha gharama za kubadilisha oil kwa magari baadhi ya kifahari.
Kupitia mtandao wa Bugatti Browad unaandika gharama za kubadili oil kwa magari hayo ni kuanzia...
Nilikuwa naitwa jina fulani, kutokana na Imani yangu ya Dini,jina nililopewa na wazazi wangu,
Baada ya kubadili Dini,mimechagua jina lingine linaloendani na imani yangu, Sasa nilitaka kubadirisha jina, kwenye cheti cha Nida na Paspoti naomba anayejua utaratibu wake anisaidie, Ninakaa Iringa mjini
Nawasalimu kwa jina la jamhuri ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar.
Wahenga wanasema kuishi kwingi ni kuona mengi. Hakika, katika safari yangu hapa duniani, nimekua najiuliza maswali mengi sana ili kupata utambuzi wa identity yetu sisi watu weusi na kwanini tuko katika hali hizi zetu duni...
UTANGULIZI
Habari za muda huu wanajamvi,Kila mtu anahistoria yake katika safari ya utafutaji wa riziki,Wapo wenye historia za kusikitisha,kufurahisha na kuelimisha.
Mwaka 2019 wakati dunia imekumbwa na mlipuko wa uviko 19,Na kupelekea kazi,Masomo na Shughuli mbalimbali kusimama.Nilipata...
LEO ni siku ambayo nchi mbili huru kwa maana ya Tanganyika na Zanzibar ziliungana na kuzaa nchi moja Tanzania lakini nchi hiyo ikiwa na muundo wa Serikali mbili. Serikali ya Jamhuri ya Muungano na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Ni jambo jema watu wamoja tena ndugu waliokuwa wametengwa na...
Nimeamini! Mtandao wa mafisadi nchini, mwenye kuuvinja sio mfano wa Magufuli tena, anapaswa awe ni mtu katili kuliko Hitila, mwenye sura mbaya kuliko Idd amini dadaa
Kila Mtanzania kwa sasa, hahitaji kuuliza kwa mwenzake kuhusu ufisadi ulivyokithili sasa, watu wako bize kuiba kiasi hata Mh Rais...
Kwa wale tulio soma diploma miaka miwili yani non NTA levels, na kupata cheti kimoja.
Je, tunaweza kupata msaada NACTE tukarudisha kile cheti tukapewa vyeti viwili kwamaana ya kila mwaka uwe na cheti chake, means tupate cha NTA level 5 na NTA level 6 badala ya cheti kimoja kinachojumuisha...
Rapa na Mfanyabiashara William Leonard Roberts II a.k.a 'Rick Ross kupitia ukurasa wake wa Instagram ameshare video ikionesha mabadiliko aliyofanya kwenye Sakafu ya Jumba lake la kifahari kwa kuweka Marumaru 'Tiles' mpya kutoka Italia.
Rick Ross alinunua jumba hilo kwa zaidi ya Tsh. Bilioni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.