kubakwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Wanawake huko GOMA, washindwa kurejea makwao wakihofia kubakwa

    Baada ya mji wa Goma,mashariki mwa Jamhuri ya kidemokalasia ya Congo, wakimbizi waliokuwa katika maeneo ya jirani na Goma, walihamasishwa kurudi majumbani kwao, na kuhakikishiwa usalama wao. Waliotoa taarifa, wamesema mpaka sasa wana usalama wa kutosha,japo hawana imani kama hali hiyo...
  2. Tetesi: Wanafunzi wa kike shule ya sekondari Thaqaafa Mwanza wanusurika Kubakwa

    Wanafunzi wakike shule ya Sekondari Thaqaafa iliyoko mkoa wa Mwanza , wilaya ya Nyamagana wamenusurika kubakwa baada ya vibaka watatu kuingia ndani ya bweni saa nane usiku. Wakiwa katika harakati za kumziba mdomo mmoja wa wanafunzi ili asipige kelele waanze kumbaka, ghafla mwanafunzi mwenzake...
  3. Wakili Mwabukusi: Aliyesababisha Binti wa Yombo Kubakwa na Kulawitiwa naye Afikishwe Mahakamani

    https://youtu.be/m9WGFYVzCvU Fuatilia yatakayojiri kwenye mkutano wa Rais wa TLS, Boniface Mwabukusi kwenye mkutano wake na waandishi wa habari, leo saa 4:00 asubuhi. Mwabukusi anazunguzia suala la wamasai kuondolewa kwenye eneo lao kwa nguvu, na serikali imeondoa huduma zote za msingi kwao...
  4. Chombo Huru kichunguze tukio la Binti kubakwa na kulawitiwa, Kauli za Polisi zinatia shaka kupatikana Haki yake

    Kwa takriban mwezi sasa Polisi bado wanahangaika na uchunguzi wa tukio la Binti aliyeonekana katika Video akifanyiwa vitendo vya Ukatili na Wanaume Watano na bado kumekuwa na kauli za kutia shaka kuhusu haki ya huyo binti. Baadhi ya Askari wamekuwa wakitoa kauli zinazoonesha wazi kumkandamiza...
  5. Polisi: Wanaotuhumiwa kubaka na kulawiti ni kama wavuta bangi, hawakutumwa na Afande, yule dada alikuwa kama anajiuza

    Wakuu, Naona tunaenda kufanyiwa maigizo tena na kuna mtu anataka kulindwa. Eti uchunguzi umebaini vijana wale hawakutumwa na 'afande na kwamba vijana wale walikuwa kama wavuta bangi tu na yule binti alikuwa kahaba! Mpaka utambulisho wa moja wao umebainika halafu leo maneno yanageuzwa hivi...
  6. Wakala wa Wachezaji Jasmine Razaq: Kumtetea Kwangu Fei Toto kulisababisha nitishiwe kuwekewa Tindikali, Kutekwa na Kubakwa

    "Nilichogundua 90% ya Waandishi wa Habari za Michezo na Wachambuzi wa Michezo waliokuwa wakishadadia Sakata la Mchezaji Fei Toto na Yanga SC walikuwa katika Payroll ya Yanga SC na pia hawajui Sheria zozote za Soka kitu ambacho Kilinisikitisha mno kwani hizi Sheria zote ziko Online na kila Mtu...
  7. Mwanafunzi aliyepotea kwa siku 35 adai aliondoka Shuleni baada ya kubakwa na Mwalimu

    Mwanafunzi kidato cha tano wa Shule ya Sekondari Panda hill, Esther Noah (18) amesema chanzo cha kutoroka shuleni ni kunyanyaswa kingono na mwalimu wa shule hiyo anayejulikana kwa jina la mwalimu Jimmy.
  8. D

    Sakata la mwanafunzi kubakwa na mwalimu Jimmy lina ukakasi lakini ipo shida kwa mwalimu

    Yule binti mwanafunzi aliyepotea! Alipatikana akiwa amewekwa kimada na muuza mkaa! Anasimulia binti huyo alifikia uamuzi huo baada ya kunyanyaswa shule na mwalimu Jimmy! Binti anazidi kusimulia ilikuwa majira ya chakula alichelewa kufuata chakula, akiwa bwenini alikuja mwalimu akawafurusha...
  9. A

    DOKEZO Mwanafunzi wa darasa la 6 adaiwa kubakwa na watu watatu; abeba mimba. Polisi wadaiwa kuhaha kuficha ukweli

    Nianze kwa kukupa ‘intro’ ya stori kabla sijakushushia mkeka kamili, ipo hivi hapa mtaani kwetu kuna mtoto wa kike wa Shule ya Msingi Barracks, Dar es Salaam, amefanyiwa ukatili kwa kubakwa na watu watatu katika nyakati tatu tofauti. Hapa ninavyoandika mistari hii huyo binti haendi shule tena...
  10. Mkoa wa Iringa wageuka Kuzimu kwa matukio ya Watoto kubakwa na kulawitiwa

    Ripoti kutoka kwa Mganda Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa, Alfred Mwakalebela imeeleza kuwa idadi hiyo ni wastani wa Watoto 2 hadi 3 kwa wiki ambao hufanyiwa ukatili wa Kubakwa na Kulawitiwa. Mwenyekiti wa Mtaa wa Kihesa Kilolo, Omary Juma, amesema Watoto 30 walibakwa na Kesi ziko...
  11. Geita: Wanawake wadai kubakwa na mwanaume usiku kishirikina

    Wananchi wa Kijiji cha Bugando, Kata ya Nzera, wilayani Geita mkoani humo, wameiomba serikali ichunguze na kumtafuta mtu anayewaingilia usiku wananchi kwenye nyumba zao na kuwabaka hali inayopelekea kuishi kwa mashaka na kuhataraisha afya zao. Waathirika wa tukio hilo wanasema mtu huyo amekuwa...
  12. Mtoto akiri Mahakamani kubakwa na baba yake ambaye ni Mchungaji wa Kanisa

    Nurdin Abdallah Shahidi namba moja ambaye ni mtoto wa miaka 6 anayedaiwa kubakwa na baba yake mzazi Mchungaji Nurdin Abdallah (54) na Muinjilisti wa kanisa la waadventista wasabato Kisesa wilayani Magu mkoani Mwanza, amekiri mbele ya Mahakama kufanyiwa kitendo hicho kwa nyakati tofauti na baba...
  13. Iringa: Adaiwa kumbaka mjamzito na kumsababishia umauti

    Jeshi la Polisi Mkoani Iringa linamshikilia Mohamed Mwanjali mkazi wa Mtaa wa Kitanzini kwa tuhuma za kumbaka Mama mjamzito na kumsababishia umauti. Mwenyekiti wa Mtaa wa Maweni Kata ya Kitanzini Yassin Kisogole amesema Mwanamke huyo alitendewa ukatili huo usiku wa kuamkia September 25,2022...
  14. Billionaire Shillah anusurika kubakwa

    Hello Wadau!! Billionaire Shillah hivi karibuni amepost akishuhudia katika kurasa zake za mitandao ya kijamii akimshukuru Mungu kuikimbia zinaa. Wana JF wenzangu nadhani mna la kujifunza.
  15. Warere Beach Resort: Zainab Oladehinde alikubaliana na mlinzi kufanya mapenzi. Alitaka tumlipe fidia USD 10,000

    Kwa ufupi ni kuwa yule dada wa kinigeria alimpenda mlinzi wa kimakua na akaona haiwezekani kulala mwenyewe ila baadae akamgeuka, na walifikishana mpaka kwa mkuu wa wilaya ili kusuluhisha. Lakini yuke binti wa kiniger akagoma mpaka alipwe kitita cha US dollar 10,000 takribani 23.5mil ili...
  16. Alikiba: Nilinusurika kubakwa Marekani!

    Alikiba akiwa kwenye kipindi cha mahojiano cha Salama Jabir. Amefunguka kwamba alinusurika kubakwa nchi Marekani. Jambo hili lilitokea after party show iliyofanyika kwenye chumba kimoja cha baadhi ya vyumba alivyokuwa amekodi kwenye hotel. Alijisikia kuchoka na kuhamua kwenda kujipumzisha...
  17. Nilinusurika kubakwa mara mbili na wake za watu

    Strange though might sound, ila wabakaji wanawake wapo, nakubaliana na Biblia kua mke mwema anatoka kwa bwana, mimi binafsi nina wivu sana na naamini karma ipo hivyo endapo nitatembeana mke wa mtu possibly wangu nae pia watapita nae , ingawa sio ulinzi tosha kwani naweza nisipite na wake za...
  18. India: Maofisa wa Polisi wafukuzwa kazi baada ya kuharibu ushahidi wa tukio la binti kubakwa na kuuawa

    The victim, a 19-year-old Dalit woman, died earlier this week from injuries sustained during an alleged gang rape by four upper-caste men. Local police have been accused of mishandling the investigation. India's Central Bureau of Investigation has taken over the case of a 19-year-old Dalit woman...
  19. R

    Nilivyonusurika kubakwa na msichana

    Halaaaa! Yaani kuna siku ilibaki kiduchu tu nibakwe na demu iko bv uyu dada tulikuwa na mahusiano lkn siku zote tukiwa faragha aliniachia uwanja mm ndio niumiliki yaan tukiwa room aliniachia mm ndio mwamuzi wa style zote na chochote kile nilichotaka kumfanyia alinipa nafasi lkn siku zote...
  20. Mwanamke anaweza kumbaka mwanaume?

    Naomba kuelimishwa jamani, hivi kwa sheria za Tanzania mwanamke anaweza kumbaka mwanaume? Soma pia: 1) Binadamu wa kwanza duniani KUBAKWA ni Mwanaume, na wakwanza KUBAKA ni mwanamke! 2) Hivi kuna sheria inayomruhusu mwanaume kumshtaki mwanamke kwa kosa la kumbaka/raping? 3) Marekani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…