kubeba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. G.T.L

    Mo Salah kubeba Ballon D'or 2025

    Ni dhahiri dalili ya mvua ni mawingu, kwa takwimu za Egyptian Talisman Mohamed salah namuona akienda kuibuka kidedea mshindi wa tuzo ya Ballon D'or mwaka huu 2025. Bila shaka, naamini Liverpool atashinda kombe la Ligi kuu EPL 2025. Bila wasiwasi, naamini Liverpool atashinda Final ya kombe la...
  2. F

    Natafuta gari 3 za kubeba kontena kwenda Zambia

    Habari Natafuta gari 3, trucks za kubeba 20ft container toka hapa dar es salaam mpaka Lusaka, Zambia. Kontena zipo ICD Nyerere Road. Payment : 50% advance payment after loading Mawasiliano 0692595127
  3. Etugrul Bey

    Mji Ambao Kubeba Silaha Ni Wajibu

    Kennesaw,Georgia ni mji mdogo wa kusini Marekani. Harufu ya mikate inayonukia kutoka kwenye tanuri mikate ya Honey suckle Biscuits &bakery,huku kwa mbali sauti ya treni ikisikika Ni sheria iliyopitishwa mwaka 1980 inawalazimisha wakazi wa mji huo kumiliki kubeba silaha na bunduki,kwa...
  4. Mtoa Taarifa

    Mabehewa 264 ya SGR ya kubeba Mizigo yawasili nchini

    Shirika la Reli Tanzania - TRC linautaarifu umma kuwa mabehewa 264 ya mizigo yatakayotumika katika reli ya kiwango cha kimataifa - SGR yamewasili Bandari ya Dar es Salaam kutoka nchini China Disemba 24, 2024. Zoezi la ushushaji kutoka kwenye Meli litakapokamilika litafuatia zoezi la majaribio...
  5. Tempest

    Kampuni za usafir za kubeba wafanyakazi (Corporate transport services)

    Habari Kwa anayejua haya makampuni msaada wa kushare contacts, Mfano kuchukua wafanyakazi kila siku kuwarudisha majumbani na muda mwengine kuwaleta kazini, coaster au aina nyingine ya magari yote ni sawa
  6. Mindyou

    Baada ya Assad kupinduliwa, wananchi waingia Benki Kuu ya Syria na kuanza kuiba na kubeba maboksi ya hela

    Wakuu, Mambo yameendelea kushika kasi huko Syria. Waandamanaji na wananchi wameingia kwenye Benki ya Syria (Central Bank Of Syria) na kuanza kubeba maburungutu na maboksi ya fedha. Kwenye video zinazosambaa kwenye mitandao ya kijamii, waandamanaji wameonekana wakiwa kwenye wanatoka benki na...
  7. Akilindogosana

    Je, ni kweli Dyna na Toyoace sio gari nzuri? Hasa Kwa shughuli za kubeba mizigo kuanzia tani 2 hadi 3.5T

    Kuna mafundi niliwasikia wakizungumzia hilo suala kuwa Toyota Dyna na Toyoace sio imara na zina shida nyingi, Je ni kweli DYNA na Toyoace sio gari nzuri kwa shughuli za kubeba mizigo kuanzia tani 2 na zaidi? Je, mafundi wapo sahihi au ni wapotoshaji? Je wajuzi wa magari mnashauri gari gani...
  8. Mindyou

    LGE2024 Geita: Maneno haya ya Dotto Biteko kwenye Uchaguzi si mageni jijini. Labda kwa mgeni jijini. Kwa wenyeji tushayazoea

    Wakuu, Nimekutana na clip hii ya Dotto Biteko akizungumzia malengo ya CCM kwenye Uchaguzi huu. Tunajua nini wataenda kufanya. Ni kama marudio ya 2019. Ushindi wa asilimia 99.99
  9. green rajab

    Russia yaitwanga Ukraine na RS 26 ICBM lenye uwezo wa kubeba nyuklia

    🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺 Mtoto ka utaka acha apakatwe atulie. Jeshi la Urusi limeanza kuitwanga Ukraine kwa makombora tiifu ya RS 26 linaloweza kusafiri bara moja hadi Jingine bila kuzuiliwa lenye kasi march 5 ambayo hakuna air defence yoyote ya NATO iliyopo Ukraine inaweza ku puch...
  10. Stephano Mgendanyi

    Ufunguzi wa Siku 7 za Kubeba Kila Kitu

    UFUNGUZI WA SIKU 7 ZA KUBEBA KILA KITU 📍20 Novemba, 2024 Mlezi wa Chama Cha Mapinduzi ambaye pia ni Mwenyekiti Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Ndg. Mohammed Ali Kawaida (MCC) leo amekuwa mgeni rasmi katika Mkutano wa hadhara wa ufunguzi wa Kampenzi za Uchaguzi wa Serikali za...
  11. B

    Kubeba majeruhi kwenye gari za wazi (Pickup) badala ya gari za wagonjwa (ambulance) kwenye tukio la kuanguka ghorofa K/Koo ni sahihi?

    Majeruhi karibu wote waliokolewa wapatao 40 mpaka sasa kwenye tukio la kuanguka kwa ghorofa mitaa ya Kariakoo jijini Darisalama wamepelekwa hospitali ya Muhimbili wakiwa wamepakiwa kwenye gari za wazi nyuma maarufu kama Pick Up badala ya gari maalum za wagonjwa ambulance Sasa najiuliza Kariakoo...
  12. DR HAYA LAND

    Kama unahitaji Magari au una tenda kwa ajili ya kubeba mizigo naomba tuwasiliane .

    Habari ya uzima. Kwa MTU yeyote au Kampuni inayohitaji huduma ya usafirishaji mizigo , Local cargo au transit cargo , naomba tuwasiliane . Tunayo Magari Aina ya flatbed pamoja Tipper Haya magari yote maximum yana uwezo wa kubeba 30-32Tons. Waweza kutupigia kwa +25565812488 call and WhatsApp...
  13. R

    Dereva wa kubeba watalii (war bus) Arusha anatafuta gari ya kukodisha

    Nina dereva wangu ambaye ana kazi zake za kupeleka watalii porini ila kwa sasa hana gari. Mwenye gari ambaye anaikodisha tafadhali tuwasiliane. WhatsApp: 0656388678
  14. Pantomath

    Container za 45ft zinafika Tanzania? Je, kuna magari ya kubeba?

    Shipping container zipo za sizes tofauti kuanzia 60ft 53ft 48ft 45ft 43ft 40ft 35ft 20ft 15ft 10ft 7ft Swali langu jee, Container za angalau 45ft bongo zinafika? Kama ndio, napata wapi? kama hazifiki inaweza kuwepo option ya kuagiza, jee kuna semi trailer truck zenye chassis ndefu...
  15. L

    Mwana Siasa Yupi hapa Nchini Mwenye Uwezo wa Kukusanya Na kubeba watu Wengi Kiasi hiki Cha Rais Samia?

    Ndugu zangu Watanzania, Huu ni Zaidi ya Upendo ndugu zanguni Watanzania.Haijawahi kutokea hapa Nchini pengine hata ndani ya Bara zima la Afrika kwa Mwanasiasa kupendwa ,kukubalika,kuungwa mkono,kusikilizwa ,kufuatwa ,kubeba na kukusanya watu Wengi kiasi hiki Utafikiri watu wanavutwa kwa sumaku...
  16. nipo online

    Makambako na Dodoma wapi chimbo sahihi la kubeba mzigo wa nguo za mitumba?

    Tafadhalini wakuu nisaidieni hapa kwa sasa nipo iringa lengo nikajumue kwa bei nafuu hapa iringa gharama kubwa. Asanteni.
  17. Last_Joker

    Kutoka Kubeba Laptop Hadi Kuvaa Kifaa: AR na VR Zinafungua Dunia Mpya

    Ebu fikiria kidogo, unafungua macho yako na kujikuta kwenye ulimwengu mwingine kabisa, lakini bado uko nyumbani kwako! Hii sio ndoto wala movie za sci-fi; ni hali halisi inayokuja kupitia teknolojia za Augmented Reality (AR) na Virtual Reality (VR). Kama bado hujaingia kwenye huu ulimwengu...
  18. L

    Kamati ya usajili Simba iwaangalie wachezaji hawa wana uwezo mkubwa wa kuchezea timu yoyote nchini na Afrika na wakaanza First Eleven

    Nimekuwa nikifuatilia maendeleo ya ligi yetu ili uwezo binafsi wa wachezaji, siachi kuangalia ligi iwe Pamba vs JKT au Fountain gate vs Namungo. Wachezaji watatu wwmenikuna sana msimu uliopita na msimu huu bado wanauwasha moto vibaya sana. Viungo hawa ni viungo 2 wa KMC yule Ibrahim Elias na...
  19. L

    Yanga wana uwezo wa kubeba Ndoo ya Afrika, wamekosa Nusu Fainali au Fainal labda zifanyike figisu

    Mkakati wao wa kushinda mechi ya leo ulianzia airport jana, sisi tunaojua fitna za nje tuliona, hakuna aliyeona hii, mganga wao aliwaambia mechi vs Kagera ni ngumu cha kufanya pale airport kila mtu atoke kwake kivyake mkutane pale, msipande basi la pamoja, mitego inaanzia airport, ndo maana kila...
  20. Suley2019

    Nani kubeba tuzo ya Msanii bora wa Kiume kwa Bongo kati ya mafahari hawa?

    Kamati ya Tanzania Music Award (TMA) leo August 29,2024 imeanza kutangaza Nominees wanaowania tuzo za muziki Nchini kwa kuanza na category tatu ambazo ni Mwanamuziki bora wa kiume wa mwaka, wimbo bora wa taarabu wa mwaka na wimbo bora Afrika Mashariki, Kusini na Magharibi. Wimbo bora wa taarabu...
Back
Top Bottom