kubeba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BARD AI

    Zanzibar: Meli ya Serikali iliyokarabatiwa kwa Tsh. Bil 3.6 yauzwa kwa Tsh. Mil 536.8

    Meli ya MV Maendeleo yenye uwezo wa kubeba abiria 600 na tani 697 za mzigo kwa wakati mmoja ilikuwa ikifanyiwa matengenezo Bandari Kavu ya Mombasa, Kenya. Wizara ya Uchukuzi Zanzibar imechukua uamuzi wa kutoendelea na ukarabati na kuiuza Meli hiyo kwa mnunuzi ambaye hajatajwa ili kupunguza...
  2. JanguKamaJangu

    Cristiano Ronaldo anataka kubeba mizigo yake aondoke kambi ya Ureno

    Inadaiwa kuwa Cristiano Ronaldo anataka kuchukua hatua hiyo kutokana na kutokuwa na maelewano mazuri na kocha wake wa timu ya taifa ya Ureno, Fernando Santos. Mshambuliaji huyo alianzia benchi katika mchezo wa Hatua ya 16 Bora dhidi ya Uswisi, inaelezwa kuwa amechukizwa na maamuzi hayo na mpaka...
  3. Execute

    Mpaka sasa ni Saudi Arabia pekee iliyocheza mpira wa kuweza kubeba Kombe la Dunia

    Jamaa wamepiga mpira mkubwa, wa kasi na kukaba kwa nguvu. Mpaka muda fulani nikadhani naiangalia Arsenal ya Arteta.
  4. ESCORT 1

    Kati ya Mbappe na Haaland nani atakuwa wa kwanza kubeba Ballon d'Or?

    Haaland kwa moto wake, namuona kabisa akitwaa Ballon d'Or kabla ya Mbappe. Wewe mtazamo wako upoje?
  5. S

    Kwenu wanawake mliowahi kubeba mimba, hivi ni kweli mimba zina kisirani au mnajiendekeza tu?

    Mambo vp wadau Kiukweli kila nikitafakari mambo anayoyafanya wife nashindwa kuamini kama ni kisirani cha mimba ama ni kama kawaida yenu wanawake mnapenda kujiendekeza. Wife amekuwa mtu wa kulalamika kwa mambo madogo madogo na kulia lia tu kwa vitu vya kawaida. Kwa kweli kama mwanaume sio...
  6. JanguKamaJangu

    Barcelona inamtaka Jorginho akabebe mikoba ya Sergio Busquets

    Klabu ya Barcelona inadaiwa kuwa ipo kwenye mipango ya kufanya mazungumzo ya usajili wa kiungo wa Chelsea, Jorginho kwa ajili ya kumsajili katika dirisha la Januari, 2023. Kocha wa Barcelona, Xavi anahitaji mtu anayeweza kuziba nafasi ya Sergio Busquets mwenye umri wa miaka 34 ambaye anaelekea...
  7. B

    Kama nchi tuko vibaya, nani mwenye kubeba dhima ya ukombozi wetu?

    Huku tozo, kule kina Simbachawene. Huku dhuluma, watuhumiwa wakuu vyombo vya dola. Haki hamna, masanduku ya kura hayaheshimiwi. Mambo lukumba lukumba, tunatokaje hapa? Muhimu tukatambua hatutatoka hapa bila kulipa gharama ambayo haitakuwa ndogo. Hatutatoka hapa bila organization wala uongozi...
  8. peno hasegawa

    Ajali iliyoua wanafunzi Mtwara, Haice ilikuwa na watu 30. Haice inaruhusiwa kubeba abiria wangapi?

    RTO Mtwara watanzania wanasubiri majibu ya swali hili.
  9. M

    SI KWELI Magari yote ya kubeba maiti yatakiwa kulipa Tsh milioni

    Kila siku Serikali kupitia vitengo vyake mbalimbali wanabuni njia za kuongeza mapato. Tozo mpya ya shilingi milioni moja kwa magari yanayokodishwa kwa ajili ya shughuli mbalimbali ikiwemo ya kubeba miili ya marehemu inatazamiwa kupitishwa na kuanza kutumika, kumbuka tozo hiyo inayosimamiwa na...
  10. sky soldier

    Hizi kelele za Pre season wala hazina sababu, Msimu uliopita Simba walifanya pre season lakini wameambulia kombe lipi ?

    SIMBA SC NA PRE SEASON 2021 Tujikumbushe kidogo mechi za kirafiki kwa Simba SC na Pre season tukiachana na ile waliyopigwa za kutosha huko ughaibuni ila wakaficha Agosti 21, 2021 FA Rabat Simba 2-2 Rabat (Dilunga, Sakho) Agosti 26, 2021 Olypique 1-1 Simba SC (Pape Sakho) Septemba 8, 2021...
  11. Lupweko

    Uhalali wa kocha wa Yanga kubeba rangi nyekundu na nyeupe hadharani

    Wakati wa shamrashamra za kubeba ubingwa, kocha wa Yanga, Nasredine Nabi alionekana akipiga picha huku akishikilia bendera ya nchi yake yenye rangi nyekundu na nyeupe. Rangi hizo zilikwishapigwa marufuku kuonekana katika hadhira ya Yanga, na msimamo huo umeshatolewa mara kadhaa na uongozi wa...
  12. Webabu

    Sasa rukhsa Meli kubeba chakula kutoka bandari za Ukraine zilizotekwa

    Urusi imesema kuanzia sasa meli zitakazopenda kwenda na kuondoka bandari za bahari nyeusi zilizokuwa za Ukraine ni ruhusa kufanya hivyo na zitapatiwa kila aina ya ulinzi ili zibaki salama. Hayo yamesemwa na wizara ya ulinzi ya Urusi wakati ikiwa imefanikiwa kuzishika bandari hizo muhimu kwa...
  13. F

    Tanzania haina Mapato ya kubeba ongezeko la Mishahara yote kwa asilimia 23.3%

    Ukisoma vizuri kitabu cha WHY NATIONS FAIL ( The Origins of Power,Prosperity & Poverty) cha DARON ACEMOGLU na JAMES A.ROBINSON utajua kwa uhakika ni kwa nini Tanzania yetu ni masikini hivi na itachukua muda mrefu kubadili hali hii. Kwa ufupi ni kwamba tunacho kila kitu kinachohitajika kwa ajili...
  14. aise

    Amekuwa akifanya mapenzi kinyume na maumbile, sasa anataka kubeba mimba

    Tulianza kama mchezo, kuitana popobawa na hatimae tigo ikaliwa. Huo mchezo umeendelea na hatima ameona ni muda wa kuzaa sasa. Changamoto iliyopo ni madhara "tunayo sikia sikia" Kuwa kama ulikuwa unafanya huo mchezo ni ngumu kuzaa kwa hali ya kawaida. Isitoshe jambo la kusikitisha mimba yake ya...
  15. S

    Gari ya kubeba container 20ft inahitajika Musoma

    GARI YA KUBEBA CONTAINER 20FT INAHITAJIKA MUSOMA Pana container linahitajika kusafirishwa ndani ya 50 km toka musoma mjini Kwa yeyote wa kupata gari hilo tuwasiliane hapa
  16. Cannabis

    Shaffih Dauda: Hatuna timu yenye uwezo wa kubeba ubingwa wa Afrika kwenye nyanja zote, huo ndio ukweli

    Mchambuzi mkongwe wa masuala ya mpira Shaffih Dauda amesema haya kupitia mtandao wa kijamii wa Twitter “Hatuna timu yenye uwezo wa kubeba ubingwa wa Afrika, kwenye nyanja zote, huo ndio ukweli. Unaweza kufanya vizuri sana kwenye makundi lakini ubingwa hauna fluke hata siku moja, Champion...
  17. Suzy Elias

    Tatizo la ubovu wa kijiko cha bandari ya Tanga lakwamisha makumi ya malori ya kubeba shehena ya clinker

    Hii nchi ina vituko sana! Huko Tanga wheel loader ama kijiko kwa lugha maarufu kimekwama kupakia maroli ya kubeba shehena ya material ya kutengenezea cement yaani clinker kwa ubovu wa kuvuta miss. Hali hiyo imesababisha makumi ya maroli kukwama kubeba shehena hiyo kwa sababu hilo la mashine...
  18. danmarc

    Ni wapi naweza pata usafiri wa fuso za kubeba mizigo yangu kutoka Singida hadi Mwanza, baada ya kuhamishwa kikazi

    Habari nimehamishwa KIKAZI kutoka mkoa wa singida kwenda mwanza , na ninauhitaj kuhama na vitu vyangu vyote kama meza ,vitanda ,sofa , TV ,friji NK , Naomba kujua Kwa wenyeji wa singida Mjini wapi naweza nikapata ma FUSO yatakayonibebea hivi vitu vyote Kwa pamoja kutoka hapo singida Hadi mwanza
  19. Teko Modise

    Emoji mpya za mwanaume kubeba mimba kwenye ios 15.4, ushoga unazidi kupromotiwa

    Hawa wazungu ni wapuuzi sana, sasa hivi wameleta emoji mpya kwenye simu ambazo zinaonekana wanaume wamebeba mimba. Naona agenda ya kutangaza ushoga inazidi kushika kasi, tunaelekea wapi?
  20. S

    Wataalam wa umeme ushauri 2kva Stabilizer kushindwa kubeba water pump 1hp (750w) na ku trip off

    Ni matumaini hatujambo sote, kama heading ilivyo nimefunga single phase 2kva Automatic Voltage Stabilizer ili ku protect submersible water pump 1hp (750w) lakini imeshindwa kubeba ku trip off... Ukiondoa hiyo AVR pump inafanya vizuri tu Na hiyo AVR kwenye shughuli zingine km...
Back
Top Bottom