Wajumbe wa Bodi ya Udhamini wa Klabu ya Chelsea, bado hawajakubali maombi ya bilionea na mmiliki wa klabu hiyo, Roman Abramovich kuhusu kukabidhiwa majukumu ya kuiongoza timu huku yeye akibaki kuwa mmiliki.
Inaelezwa kuwa wajumbe saba akiwemo Kocha wa Chelsea ya Wanawake, Emma Hayes...
Habari zenu wa kuu.
Naomba nisiwachoshe, kunajambo nataka kulijua maana nimekua nikilisikia kwa muda mrefu kutoka kwa wenzetu waliopo ughaibuni, kuwa kazi ambayo ni kimbilio kwa wanaoingia nchi za ulaya na malekani.
Wakuu eeeh kubeba box ndio kazi gani au ya aina gani. wakuu fungueni code.
Wasalaam.
Dhumuni la uzi huu ni kutaka kujua iliwezekanaje safina ambayo ina urefu wa futi 500 waweze kuingia wanyama wote hao? Tena na chakula chao?
Naamini jukwaani hapa kuna wajuzi wengi tutasaidiana kujadiliana.
Waziri wa Afya wa Kenya amethibitisha kuwa kuna meli yenye shehena ya Radioactive imepita Kenya na inaelekea Tanzania. Je serikali ya Tanzania inataarifa ya meli hiyo?
====
Kenya secures ship suspected to be carrying radioactive substances
Saturday, December 18, 2021
Health Cabinet...
===
Reli ya SG ikikamilika bila uwepo wa bandari ya uhakika kama Bagamoyo tegemeeni malori mengi kupaki
SGR ikikamilika inaweza kubeba mizigo yote ya Bandari ya Dar es Salaam kwa siku 250 tu,
Kama SGR itakamilika bila ya Bandari ya Bagamoyo kujengwa basi Malori mengi ya mizigo mnayoyaona...
Ya Tani 26 si itakuwa kama bajaji? Ona video mwenyewe
Tanzania yote hii hakuna?!
=================================
Hadi leo hii Crane haijapatikana tu?!
Kama utambulisho unavyoeleza, hii tabia imeonekana kuzoeleka na hata kuonekana ni jambo la kawaida kwa jamii nyingi za kiafrika na huwezi kuona vitu kama hivyo katika nchi za wenzetu kwani kwa kufanya hivyo wao wanaona ni kutokustaharabika.
Je, kwako binafsi inauchukuliaje tabia hii?
Je...
Hivi huko gerezani au mahabusu kuna V.I.P?
Ili mtu aweze kusoma kitabu ni lazima akae sehemu ambayo ni comfortable,
Kwanini viongozi wetu wanapopata majanga hupenda kubeba vitabu mfano wanapoelekea mahakamani au kwenye kamati ya maadili ,
Mwenye majibu atusaidie
Mbeya.
Jeshi la Polisi mkoani Mbeya linawashikilia watu wawili akiwemo mwalimu wa shule ya msingi na dereva bajaji kwa tuhuma za kuvunja sheria za usalama barabarani na kusafirisha wanafunzi 17 kwa wakati mmoja kwa kutumia bajaji.
Wanafunzi hao ni kutoka shule za awali tofauti tofauti ambao...
Wakuu Wamachinga wa soko la Samunge maarufu kama NMC jijini Arusha wameieleza kilio chao kwa mbunge Mrisho Gambo cha kulipa ushuru wa shilingi 50 kila siku huku wanaowatoza wakiambiwa kuwa vitambulisho vya machinga vimezikwa na hayati Rais Dkt John Magufuli huko Chato.
Machinga wa soko hilo...
Umewahi kujiuliza huwa unaweka mahali gani mkoba wako na je, kuna usalama wa kutosha kwa afya yako?
Kawaida watu wengi huweka mikoba juu ya meza, viti, madawati ya baa, hotelini, vibaraza vya vyooni, wanachoangalia ni mahali pasafi.
Wataalamu wa afya kutoka taasisi ya kisayansi ya Advanced...
Habari,
Niko Zambia hapa na nahitaji malori kama 50 hivi yanayorejea Tanzania kutokea DRC au Zambia.
Kuna mzigo wa kubeba kuleta Dar-es-Salaam.
Mawasiliano please PM me your phone number.
Ahsante.
Naitwa Teju ni kijana wa kitanzania nilisoma shule ya sekondari Ivumwe Secondary school nilipata ufaulu wa Diraja II (Division Two) na ALevel Mbalizi Secondary school nilipata ufaulu wa Daraja I (Division One) na baadaye nilijiunga chuo kikuu cha Mzumbe Course ya Usimamizi wa Biashara katika...
Kusema kweli leo nimesikitika sana kuona aina ya muundo wa treni ambayo serikali yetu imeweka mkataba na kampuni ya Hyundai-Rotem ni treni zenye mwonekano wa ki-Hitler!
Mimi nilifikiri tunaondokana na treni zenye muundo wa kutisha za enzi za George and Robert Stephenson na kuingia kwenye era ya...
Mh Kitila Mkumbo amezindua tela bora lenye uwezo wa kubeba mizigo ya hadi tani 5 lilotengenezwa Nchini Tanzania .
Ubora wa tela hilo umethibishwa na Shirika la viwango nchini Tanzania TBS
==========
Nimesoma hii Habari ;
"Waziri wa Viwanda na Biashara Prof. Kitila Mkumbo amezindua Tela la...
Leo nimeota ndoto kama ifuatavyo.
Nimeota nimebeba maiti ya mtu aliyeuliwa nilikuwa nimebeba kwenye gunia.
Cha ajabu hiyo maiti sijui hata nani alimuua hata huo mwili siijui cha ajabu nilikuwa nabeba nachoka nilikuwa nimeambatana na rafiki yangu lakini cha ajabu rafiki yangu alikua hataki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.