kubeba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. SAYVILLE

    Iletwe pia SGR treni ya kubeba magari

    Katika maboresho ya SGR na kuongeza wigo wa huduma, ningeshauri iongezwe treni itakayokuwa inabeba magari madogo. Niliwahi kuona treni ya namna hiyo ikifanya kazi Ulaya. Imagine unasafiri kwenda mkoa fulani mfano kutoka Dar hadi Dodoma na unajua utakuwa huko kwa siku kadhaa na unajua katika...
  2. Loading failed

    Naombeni hekima zenu; Natafuta mtoto na mke wangu hajafanikiwa kubeba ujauzito

    Ndugu wana Jf natumaini mko salama ndugu zangu. Ndugu zangu katika vipindi vilivyopita ijulikane nilikua natafuta mke na Mwenyezi Mungu amenijalia nimepata mke na nimeoa. Ndugu zangu mimi na huyu mke wangu tulikua tunatafuta mtoto katika siku zake tulizo amini ni siku za hatari ila cha ajabu...
  3. Ngongo

    Mch Msigwa hakuwa kubeba Bible katika maisha yake yote ya Uchungaji.

    Heshima ssna wanajamvi. Sasa ni wazi Mch Msigwa ni mmoja wa wale wanasiasa waliolamba fedha za Abdul. Katika hali ya kustaajabisha Mch Msigwa hakuwahi kubeba Bible takatifu hadharani na kuwaaminisha waumini wakikifuata na kukitii kitabu hicho kitakatifu watakwenda Mbinguni. Mheshimiwa Abdul...
  4. Pang Fung Mi

    Ukweli Usemwe: Baadhi ya Wanawake wazuri wanasumbuliwa na UTI sugu

    Huu ni ukweli ambao wapiganaji wengi wanaogopa kusema kwa uwazi. Usiombe ujichanganye hovyo nyau nyau kwa pisi kali. Azuma haifanyi kazi kwa UTI ya kali jichunge, naishia hapa mtaongeza ushuhuda wenu. Jipende jilinde Chief Wadiz a.k.a Chief Mapenzi
  5. M

    Sikujua kama Brigedia anaweza kuwa mlinzi wa Rais na kubeba begi

    Zamani kipindi cha Nyerere na Mwinyi tuliona cheo cha Meja na Luteni kanali, akaja Mkapa na Kikwete na JPM natukaona imesogea hadi Kanali. Sasa tunashuhudia Burigedia. Hii imekaaje wadau
  6. JVM Furniture

    Kitanda 5/6 kipo tayari, karibu kulipa na kubeba

    Tuna hii sofa bed kali sana, ni ya kulipia na kubeba. Material: turkish, clean finishing 📍Kijitonyama Police 📞0628490035
  7. Valencia_UPV

    Tetesi: SIDO kuunda ndege ya kubeba abiria 500

    Katika muendelezo wa Mapinduzi ya viwanda, Shirika la viwanda vidogo vidogo (SIDO) lipo mbioni kuunda ndege ya kubeba abiria 500. SKYBUS Kazi_iendelee
  8. Mkalukungone mwamba

    Taka zimejazana sana eneo la Boko Magengeni, magari ya kubeba taka hakuna kwani?

    Uchafu umejazana sana eneo la Boko Mgengeni kwa siku kadhaa sasa na hakuna hatua iliyochukuliwa kutoa taka hizo ambazo zinasambaza halufu mbaya zaidi. Mbaya zaidi taka hizo zimewekwa mbele ya maduka ya vyakula na dawa ambapo inaweza kupelekea mlipuko wa magonjwa ya mlipuko kama kipindupinu n.k...
  9. Huihui2

    Bandari ya Dar es salaam Kuipiku Mombasa katika biashara ya kubeba shehena

    Citizenhttps://www.ke.co Kioko Nyamasyo on Monday, 6 May 2024 Wakati Kenya ikiendelea kuongoza kwenye ushindani wa biashara ya bandari katika Afrika Mashariki, kuna tishio kubwa kutoka Tanzania kutokana na Bandari ya Dar es Salaam kuongeza mizigo mara dufu katika muongo mmoja uliopita. Hili...
  10. Abdull Kazi

    Acharya Krishnam asifu hekalu la kwanza la Kihindu la UAE, akimpongeza PM Modi kwa kubeba hadhi ya India ulimwenguni

    Akiendelea kumsifu Waziri Mkuu Narendra Modi kwa kusambaza habari juu ya sifa na hadhi ya India inayokua kimataifa katika pembe za mbali za nchi katika kampeni ya uchaguzi wa Lok Sabha, kiongozi wa zamani wa Congress Acharya Pramod Krishnam alisema ujenzi wa Hekalu la Kihindu la BAPS huko Abu...
  11. G

    Je Bayer 04 Leverkusen kubeba ubingwa wa Bundesliga Leo?

    Bayer 04 Leverkusen leo ipo uwanjani kukipiga na werder Bremen majira ya saa 06:30 pm (12 na nusu jioni). Ikumbukwe kwamba Bayer Leverkusen wanaongoza ligi ya Bundesliga wakiwa na point 76 huku wakiwa wamecheza michezo 28 na huu wa Leo utakua wa 29. Nafasi ya pili wapo Bayern Munich wakiwa na...
  12. Allen Kilewella

    Tunaweza kuwa waislam au wakristo bila ya kubeba tamaduni za waliotuletea dini hizo?

    Nimejikuta nawaza kama mkristo anaweza kuvaa kanzu na Barghashia na kwenda ibadani kanisani na wakristo wenzake wakawa na amani naye. Lakini nikawaza pia kama Muislam anaweza kumuadhinia mtoto wake Jina la Edward na waislam wenzake wakaona ni sawa. Hivi tunaweza kuwa waislam ama wakristo huku...
  13. Mwamuzi wa Tanzania

    Ninaingia kwenye maombi dakika 10 kuvunja matambiko na uchawi wa timu inayotumia mvua kubeba nyota yao . Huo uchawi haufanyi kazi leo

    Hello! Mimi nachukia sana uchawi na ushirikina makazini, kwenye siasa, kwenye soka, vyuoni, na mahali popote pale. Nimeona kakikundi cha watu leo asubuhi Dar es salaam wakifurahia wakisema mchezo umeisha baada ya mvua kunyesha. Niwahakikishie, kama Mungu aishivyo uchawi wowote leo hautafanya...
  14. D

    Bodaboda wote wahakikiwe na kupatiwa leseni ya kozi maalum ya kubeba abiria

    Hatuwezi kusema moja kwa moja kazi ya boda ni laana! Lakini matendo ya madereva bodaboda wengi wao nikama wana laana! Huko barabarani honi ndiyo breki, hawana kusubiri, wanaovateki hovyo wakiamini wapo sahihi muda wote! Bahati mbaya boda anapoovateki kushoto na mwenye gari ikawa anakwepa...
  15. Stephano Mgendanyi

    Serikali Iko Mbioni Kujenga Uwanja wa Ndege Zenye Uwezo wa Kubeba Abiria 50 Mkoani Singida

    Katika kipindi cha maswali na majibu Bungeni jijini Dodoma, Mhe. Martha Nehemia Gwau aliuliza swali lililojibiwa na Naibu Waziri wa Uchukuzi, Mhe. David Kihenzile na kusema kuwa Serikali iko mbioni kujenga uwanja wa ndege wa daraja 2C Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Singida, Mhe. Martha Nehemia...
  16. Miss Zomboko

    Kenya na Tanzania zarejesheana Vibali vya Safari za Ndege

    Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA), imeruhusu tena vibali vya Shirika la Ndege la Kenya (KQ) vya kuendesha safari za ndege za abiria kati ya Nairobi na Dar es salaam chini ya vifungu vya Haki za Uhuru wa Trafiki namba tatu na nne kuanzia January 22, 2024 na imetengua uamuzi wake wa jana...
  17. chiembe

    Tanzania yazuia ndege za Kenya Airways kutua nchini. Ni baada ya Kenya kutoruhusu ndege za Tanzania kubeba mizigo Kenya

    Kumekucha. Kama kupata tupate wote, kwa nini unazuia ATCL isinlbebe mizigo Tanzania na kutua Kenya. Nadhani kuna haja ya kutumia forum za kidiplomasia za EAC. Vinginevyo tuambiwe EAC imeshindwa kukutanisha viongozi wake ili kutatua mambo yao kwa amani. ====== Taarifa ya Mamlaka ya Usafiri wa...
  18. Roving Journalist

    Sagini aagiza Polisi Mara kutoa gari kwa ajili ya kubeba Mahabusu Gereza la Bunda

    Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi (Mb), Jumanne Sagini ameliagiza Jeshi la Polisi Mkoa wa Mara kutoa gari la kusafirisha mahabusu waliopo katika Gereza la Wilaya Bunda na kuwapeleka kwenda Mahakama ya Wilaya Butiama ikiwa ni pamoja na kuwarudisha ili wapate haki yao. Sagini alitoa maagizo...
  19. Stephano Mgendanyi

    Mbunge wa Momba Akabidhiwa Gari la Kubeba Wagonjwa Bungeni Jijini Dodoma

    Mbunge wa Jimbo la Momba, Mhe. Condester Michael Sichalwe mara baada ya kumalizika kwa Bunge Novemba 2023 alipokea gari la kubeba wagonjwa la Halmashauri ya Momba. Gari hilo la kubeba wagonjwa la Halmashauri ya Momba, Condester Sichalwe alilipokea kutoka kwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya...
  20. P

    SI KWELI Mtoto akianza kubeba vyuma vizito vya mazoezi anadumaa

    Wakuu kwema? Niko na swali hili, nilisikia watu wakizungumza kuwa mtoto akianza kubeba vyuma vya mazoezi anadumaa, yaani anaacha kurefuka na kuishia kuwa na umbo lile lile la mtoto (anadumaa). Kuna ukweli wowote katika hili?
Back
Top Bottom