Katika maboresho ya SGR na kuongeza wigo wa huduma, ningeshauri iongezwe treni itakayokuwa inabeba magari madogo. Niliwahi kuona treni ya namna hiyo ikifanya kazi Ulaya.
Imagine unasafiri kwenda mkoa fulani mfano kutoka Dar hadi Dodoma na unajua utakuwa huko kwa siku kadhaa na unajua katika...