Imekuwa kilio kisichokua na majibu miaka nenda rudi suala la mishahara ya walimu, pamoja na polisi katika kuboresha mishara yao. Japo Kuna watu wanasema inatosha ni sawa ila bado haitoshelezi ukilinganisha na kazi wanayo fanya kila siku. Hii husababisha Mambo mbali mbali mbali Kama...
SERIKALI KUENDELEA KUBORESHA MIUNDOMBINU YA ELIMU.
Naibu Waziri Ofisi ya Rais - TAMISEMI anayeshughulikia Elimu Mhe. Zainabu Katimba (Mb) amsema serikali inatambua umhimu na itaendelea kuboresha miundombinu ya Elimu ikiwemo Mabweni ya Wanafunzi, Uzio, Majengo ya Utawala na Mabwalo kupitia...
Wizara ya Maliasili imepania kuendeleza halibora ya wafanyakazi wakati huu sekta hizo zikiendelea kuwa na nchango mkubwa katika uchumi wa nchi ikiwemo kuongoza kwa kuingiza fedha za kigeni kwa asilimia 25.
Hayo yameelezwa na Waziri wa Wizara hiyo Mhe. Angellah Kairuki wakati akifungua Kikao cha...
Kwako Mkuu wa Mkoa Arusha mteuliwa Ndg. Paul Makonda, ninakupongeza Kwa uteuzi wako ambao kimsingi umenipa furaha hususani Kwa kupelekwa mkoa ambao ni kitovu Kwa shughuli za utalii ndani ya nchi yetu.
Utalii ni Moja ya sekta tegemeo katika upatikanaji wa fedha za kigeni na upatikanaji wa ajira...
Wakazi wa Tegeta A (maarufu kwa Bedui) tuna kero ya Barabara, huu ni mwezi wa tano sasa unaelekea wa sita, barabara ni mbovu na inatuumiza Watumiaji.
Barabara ninayoizungumzia hapa ni ile ya vumbi kutoka kwenye lamı ya kwenda Madale mpaka Centre maarufu kwa jina la Bedui.
Barabara imechimbika...
SERIKALI IMEJIPANGA KUFUNGUA MKOA WA LINDI KWA KUBORESHA MIUNDOMBINU: WAZIRI BASHUNGWA
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa, ameeleza kuwa Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan imejipanga kikamilifu kuboresha na kufungua mawasiliano ya barabara na madaraja...
Habari wakuu, nmeona kipindi cha ripoti maalum ITV kuhusu mikopo kausha damu.
Malalamiko ni mengi sana licha ya kuwepo kwa uhitaji wa mikopo na wengine kufikia hatua ya kuomba hii mikopo isitishwe.
Dhamana zinazowekwa na kiasi cha mkopo haviendani kabisa.
Kwa maelezo ya wanawake wengi...
Serikali ya Tanzania na Benki ya Dunia zimesaini mkataba wenye thamani ya Euro milioni 361.1 (sawa na takribani shilingi bilioni 988.093) kwa ajili ya kutekeleza Awamu ya Pili ya Mradi wa Kuendeleza Miundombinu Dar es Salaam {Dar Es Salaam Metropolitan Development Project Phase II (DMDP II)...
Inaeleweka kuwa watu wenye ulemavu wa macho wanakabiliana na changamoto nyingi wanapotembea barabarani au kushiriki katika shughuli za kila siku. Baadhi ya mapendekezo kadhaa ambayo yanaweza kusaidia kuboresha hali yao na kuhakikisha wanaweza kushiriki kikamilifu katika jamii:
Miundombinu...
Mambo yanasonga na dunia inabadilika.
Kama tuliweza kukaa na kujadili tunafanyeje kuhusu masuala ya ndoa na ubatizo wa watu wale, basi tunaweza kukaa na kujadili kuboresha mambo mbalimbali.
Siamini kama maelekezo yote yanatoka top down tu. Naamini yanaweza pia kutoka down up. Maji yakapanda...
Kwa heshima na taadhima niiombe serikali kupitia TANROADS NA TARURA kuangalia namna ya kujenga barabara kutoka mafinga,kinyanambo c mpaka mlimba hata kwa kurekebisha au kujenga hata kwa changarawe hasa sehemu zile korofi ili kuwasaidia wananchi kuepuka na adha ya usafiri hasa kipindi cha masika...
Serikali ya Tanzania imesema itaendelea kujenga na kupanua Miundombinu ya Viwanja vya Ndege ili kujihakikishia utoaji wa huduma ndani ya nchi na nchi Jirani
Kauli hiyo imetolewa na Naibu Waziri wa Uchukuzi Mhe. David Kihenzile wakati wa ziara yake ya kutembelea miradi mbalimbali ya maendeleo...
Nisiwe muongeaji sana. Wizara ya afya angalieni namna ya kuboresha kondomu mlizoingia nazo ubia na makampuni ya uzalishaji wa kifaa tiba hiki muhimu hasa kwa sisi vijana.
Kuna kondomu aina ya ZANA zinazosambazwa na serikali kupitia wizara ya afya kiukweli zile ndomu hazina ubora wowote kiufupi...
Uzinduzi wa Zoezi la Usambazaji wa mfumo wa kutathmini na kuhakiki utendaji wa kazi wa Watumishi na Taasisi yaani PEPMIS/ PIPMIS NA HR Assessment limefanyika mapema tarehe 20 Novemba 2023 katika ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Iringa, mjini Iringa.
Akizungumza wakati anazindua mpango huo wa usambazaji...
Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), leo imesaini mkataba wa makubaliano na kiwanda cha Kairuki KPTL kwa lengo la kuboresha upatikanaji wa dawa Muhimbili upanga na Mloganzila.
Mkataba huo umeanisha maeneo mawili,Kuboresha upatikanaji wa dawa ambazo hazipatikani kwa urahisi kwenye soko ikiwemo...
Serikali kupitia Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-maamry Mwamba, imetia saini ya Mkataba huo kupitia Shirikisho la Jamhuri ya Ujerumani, Fedha zitakazotumika kwaajili ya kugharamia maeneo Manne.
Kwa mujibu wa taarifa ya Wizara ya Mambo ya Nje ya Tanzania, Tsh. Bilioni 8.15...
HAYA NDO MABORESHO YA MTAALA WA ELIMU YANAYOENDA KUFANYIKA TANZANIA KATIKA JITIHADA ZA KUBORESHA ELIMU
Habari za mchana WanaJF
Katika kuboresha elimu, Hivi karibuni serikali ilitangaza mabadiliko ya Kisera Na marekebisho ya Mitaala na baadhi ya Sheria ili Elimu iweze kuenda sawa na Sayansi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.