Nimeona baada ya video ya watoto wa shule ya msingi wakionekana wakiimba na kucheza nyimbo ya Zuchu serikali imetoka na kuwashusha vyeo walimu wakuu wa shule hizo.
Nimeshangaa sana kwa hatua hii ya serikali maana ni ya kukurupuka na hawajatumia maarifa.
Kwanza naomba niwafahamishe kuwa nyimbo...
Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi Profesa Godius Kahyrara, amesema Serikali ya Tanzania kwa kushirikiana Serikali ya China, zinatarajia kuliboresha Shirika la Reli la Tanzania na Zambia (Tazara), ili kuliwezesha kuongeza ufanisi hususani katika usafirishaji wa mizigo.
Profesa Kahyrara ameyasema...
Serikali ya Ujerumani imeahidi kushirikiana na Serikali ya Tanzania kuboresha Makumbusho ya Majimaji ili kuhifadhi kumbukumbu sahihi kwa ajili ya wakati huu na kwa vizazi vijavyo.
Ahadi hiyo imetolewa na Rais wa Jamhuri ya Shirikisho la Ujerumani, Dkt. Frank-Walter Steinmeier alipotembelea...
Shirika la Umoja wa Mataifa la Chakula na Kilimo (FAO) limempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuendeleza sekta ya kilimo na kuboresha mahusiano na mashirikaya kimataifa. Mkurugenzi Mkuu wa FAO, Dk Qu Dongyu amesema shirika hilo limevutiwa na mradi unaotekelezwa na Serikali ya Tanzania wa...
Mawaziri wa Mambo ya Nje wa nchi za Afrika na Mawaziri wa Nchi za Nordic wakubaliana kuimarisha biashara na uwekezaji, kubadilishana ujuzi, teknolojia pamoja na kukuza uwekezaji baina ya nchi hizo.
Makubaliano hayo yameafikiwa wakati wa Mkutano wa 20 wa Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Nchi za...
(Maoni yangu binafsi)
Maboresho ya uchumi ni wimbo wa kila awamu ya kiuongozi, aidha kila awamu huja na vipaumbele vyake. Mfano, katika kuboresha elimu, awamu ya 5 chini ya JPM ilikuja na mkakati wa kutoa elimu bure na hivyo kutoa ruzuku mashuleni zinazokaribia shilingi bilioni 18 kila mwezi...
Twende haraka kwenye mada.
Mama mwenye Upendo Kwa wanae, Yuko radhi ashinde njaa, ajinyime kununua kipande Cha kanga Ili mtoto wake apate kula chakula na kupata mahitaji muhimu, Watoto mashuleni katika shule za kata ni watoto wa Serikali wawapo mashuleni.
Viongozi wengi wa juu waliopo sasa ni...
Salaam, Shalom!!
INTRODUCTON.
Napoongelea macho ya kinabii, Siongelei hao mnaowaita wazee wa kamati, HAPANA. Pia sichanganyi dini na siasa, sababu Asili ya Siasa ni Mbinguni, sasa Mwana wa Mungu nakupa codes Kutoka JUU, ambazo zaweza kututoa hapa kwenye mkwamo.
Wakati Nchi zilizoendelea...
MBUNGE NGASSA: " TUNAENDELEA KUBORESHA HUDUMA ZA AFYA, KULINDA USTAWI WA TAIFA"
"... Uimara wa Taifa unatokana na uimara wa afya za Wananchi. Serikali yetu imeendelea kuwekeza kwa kiwango kikubwa kwenye huduma za afya kwa ajili ya kuhakikisha Taifa Letu linakuwa imara. Tunafarijika kuona...
Mimi natokea Mkoa wa Tabora, Wilaya ya Kaliua, Kata ya Kashishi, kero yetu hapa ni barabara ya kutoka Kahama Mkoani Shinyanga kwenda Kaliua Mjini (Tabora) kupita Unlyankuru, Mwamnange na Kashishi.
Kwani barabara hii ni muhimu kwetu sisi Wakulima tunaitumia kusafirisha mazao kupeleka kwenye soko...
Habari ya jioni wanaJF,
Mimi kama mkazi wa DSM nimeona niweke hii thread hapa ili tuwe tunaishauri serikali jinsi ya kuboresha usafi wa mazingira tunayoishi. Ushauri serikali ifanye haya.
1. Kuongeza kodi maradufu kwenye nepi za watoto wanaoziita baby diapers... Hizi zimekuwa uchafu maeneo...
Utangulizi:
Katika kuimarisha uwajibikaji na utawala bora katika sekta yoyote, mabadiliko madhubuti yanahitajika. Makala hii inaelezea jinsi mambo manne yanayohusiana yanavyoweza kuchochea mabadiliko hayo na kuleta maendeleo endelevu. Andiko hili limeandikwa kwa maneno hayazidi 100.
Sehemu ya...
Mkuu wa Kitengo cha CRDB Wakala, Ericky Willy (wapili kushoto) akimkabidhi mshindi wa mwezi wa tano wa kampeni ya “CRDB Wakala 10 na Kitu”, Joshua Lembeli Loketa kadi ya Bajaj baada ya kuongoza kwa Idadi ya miamala katika kampeni hiyo. Wengine pichani ni baadhi ya wafanyakazi wa Benki ya CRDB...
Sekta ya ELIMU ni sekta nyeti sana kwani ndiyo chanzo Cha wataalamu mbalimbali nchini watakaotumika katika sekta nyingine.
Kufuatia umuhimu wake yafuatayo ikiwa yatazingatiwa tutegemee mabadiliko chanya katika sekta ya ELIMU nchini Tanzania.
Kuimarisha Ubora wa Elimu:
a.Mafunzo ya Ualimu na...
Mfuko wa Bima ya Afya (NHIF) ulianza kufanya kazi Julai, 2001 kwa waajiriwa wa serikali kuchangia 3% ya mishahara yao na mwajiri kuchangia 3%. Mpaka kufikia Desemba 2019, mfuko wa Bima ya afya ulikuwa na wanufaika 4,856,062 sawa na 9% ya watanzania wote. Majukumu ya mfuko ni kuwaandikisha...
Je, una maoni au ushauri utakaoboresha uhusiano kati ya Raia na Vyombo vya Usalama?
Usikose kujiunga nasi katika mjadala wenye tija utakaolenga kutafuta suluhu ya kuimarisha uhusiano kati ya raia na Vyombo vya Usalama Julai 25, 2023, kuanzia Saa 12 Jioni hadi 2 Usiku, kupitia Twitter Space ya...
Utangulizi
Uchumi wa Buluu ni nini? Kwa mujibu wa Benki ya Dunia (“World Bank”), Uchumi wa Buluu ni “Matumizi endelevu ya rasilimali za bahari kwa ajili ya ukuaji wa uchumi, kuboresha shughuli za kujipati kipato, na ajira, huku afya ya mfumo wa ikolojia ukihifadhiwa”.
Kwa mujibu wa Kamisheni ya...
Upatikanaji wa huduma bora za afya ni haki ya kimsingi ya binadamu inayopaswa kuwa ipo kwa kila mtu, bila kujali eneo lao la kijiografia. Hata hivyo, katika maeneo mengi ya vijijini na yaliyoko mbali nchini Tanzania, wakazi wanakabiliwa na changamoto kubwa katika kupata huduma muhimu za afya...
SEKTA YA AFYA: Je, una Maoni/Ushauri kuhusu Jambo au Utaratibu unaotamani ubadilike katika kuboresha Sekta ya Afya Nchini?
Usikose kujiunga nasi katika Mjadala wa Mapendekezo kwa Wizara ya Afya siku ya Alhamisi Julai 13, 2023, kuanzia Saa 12 Jioni hadi Saa 2 Usiku, kupitia Twitter Space ya...
Wadau wote na waungwana!
Mchakato unaendelea katika kufanikisha kuingia mkataba na kampuni ya DP World ni jambo jema ambalo litaleta Mapinduzi makubwa katika sekta ya Bandari nnchini.
Hayo maneno yote yanayosemwa kuhusu ujio wa DP World ni hisia tuu bila ya kuwa na uhalisia wowote na ndio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.