kuboresha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. G

    SoC03 Kuboresha Teknolojia: Njia Muhimu ya Kuleta Uwajibikaji katika Nyanja mbalimbali

    Teknolojia imekuwa ni sehemu muhimu katika maendeleo ya dunia. Kwa kufanya mabadiliko katika nyanja mbalimbali kama vile afya, elimu, kilimo, sheria, malezi, sanaa, na uongozi, tunaweza kuchochea uwajibikaji na utawala bora katika jamii.Kwa kutumia teknolojia, tunaweza kuleta mabadiliko ya kweli...
  2. Melubo Letema

    Serikali kuboresha miundombinu ya michezo nchini

    Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Bw. Saidi Yakubu amekutana na kufanya kikao cha pamoja na ujumbe kutoka Chama cha Mapinduzi (CCM) ambapo wamejadili namna bora ya kuboresha miundombinu ya michezo nchini. Kikao hicho kimefanyika Juni 16, 2023 jijini Dodoma ambapo timu ya...
  3. benzemah

    Ludewa wamshukuru Rais Samia kuidhinisha bilioni 977 kuboresha elimu

    Wilaya ya Ludewa inamshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuipatia fedha Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa milioni 977,600,000/= chini ya mradi wa Boost katika kipindi cha mwaka wa fedha 2022/2023. Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa imepokea fedha hizo...
  4. Nyankurungu2020

    Gerson Msigwa kama ishu ni kuongeza ufanisi wa kupitisha tani elfu 58 ni lazima mwarabu awekeze? Sisi kama taifa hatuwezi kuboresha?

    Acha upumbavu. Sisi hatuwezi kuwekeza mitambo na kuwapa utalaamu watanzania?
  5. Stuxnet

    Rais Samia unao muda wa kujisahihisha; Pokea maoni ya kuboresha mkataba au futa mkataba wa DP WORLD

    Takriban 90% ya threads zote kwenye JF ndani ya siku hizi 2 zinahusu sakata la mkataba wa Tanzania na DP WORLD ya UAE. 99% ya comments hazikubaliani na namna Rais Samia na Bunge walivyo handle mkataba huu. Kuna vitu 3 vikubwa ambavyo hata wale wanaounga mkono ubinafsishaji hawakubaliani:- 1...
  6. I

    SoC03 Jinsi ya Kuboresha Elimu na Kusoma Katika Mazingira Magumu Mjini na Vijijini

    Elimu ni ufunguo wa maendeleo binafsi na maendeleo ya jamii kwa ujumla. Hata hivyo, kuna changamoto nyingi katika kutoa elimu bora, hasa katika mazingira magumu mjini na vijijini. Hali hii inaweza kusababishwa na ukosefu wa vifaa vya kujifunzia, walimu wenye ujuzi mdogo, na mazingira ya...
  7. Techprime

    SoC03 Kuvunja Mzunguko wa Ufisadi: Jinsi Teknolojia itakavyosaidia Kuboresha Utawala Nchini Tanzania

    Utangulizi: Ufisadi umekuwa tatizo kubwa nchini Tanzania, na umekuwa ukisababisha athari kubwa kwa maendeleo na ustawi wa taifa. Ili kukabiliana na changamoto hii, kuna haja ya kutafuta njia mpya na za ubunifu za kuzuia na kupunguza ufisadi. Moja ya njia muhimu inayoweza kutumika ni matumizi ya...
  8. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Martha Mariki Aitaka Wizara ya Mambo ya Ndani Kuboresha Makazi ya Polisi na Magereza

    MARTHA FESTO MARIKI AITAKA WIZARA YA MAMBO YA NDANI KUBORESHA MAKAZI YA POLISI NA MAGEREZA "Katika Mkoa wa Katavi katika Jeshi la Zimamoto tuna takribani zaidi ya miaka 12 hatuna gari la uhakika la Zimamoto. Mkoa unakua, Serikali imewekeza ikiwepo Bandari. Mkoa unapokea wafanyabiashara wengi...
  9. benzemah

    Mbunge wa Makete Amshukuru Rais Samia Kwa Fedha za Kuboresha Elimu na Taa za Barabarani Makete Mjini

    Kupitia ukurasa wake wa Instagram Mbunge wa Makete Festo Sanga ameandika ujumbu wa kumshukuru Rais Samia kwa kujibu kwa vitendo ombi la Wana-Makete la kuboresha zaidi miundombinu ya Elimu pamoja na barabara za mji wa Makete la kuwekewa taa zinazoongeza usalama na kuwezesha kuendelea kwa shughuli...
  10. Venus Star

    KOREA ya Kaskazini kuboresha uhusiano wake wa zamani na mataifa ya Afrika

    KOREA Kaskazini imesema siku ya ya Alhamisi kuwa inakusudia kuboresha uhusiano wake wa zamani na mataifa ya Afrika na kuapa kupanua uhusiano huo wa "urafiki na ushirikiano." "Tumejitolea kuziunga mkono kikamilifu nchi za Afrika katika juhudi zao za kufikia amani, utulivu na uadilifu wa kisiasa...
  11. H

    SoC03 Kuboresha huduma za afya katika hospitali za serikali

    Simulizi: Siku moja, nilipokea simu kutoka kwa kaka yangu na sauti iliyosikika ilikuwa ya wasiwasi kabla ya simu kukatika ghafla. Nilijaribu kupiga simu mara kadhaa, lakini hakuna aliyepokea. Baadaye, muuguzi kutoka hospitali moja ya serikali huko Sinza alipokea simu. Nilikwenda haraka na...
  12. Roving Journalist

    Eng: Rogatus Mativila akielezea Mkakati wa Serikali wa kuboresha mtandao wa Barabara nchini pamoja na kupendezesha miji yetu

    Mtendaji Mkuu wa TANROADS Eng: Rogatus Mativila akitoa taarifa fupi ya mradi huo amesema Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) ilitenga fedha kwa ajili ya kuboresha Barabara hiyo ikiwa ni sehemu ya Mkakati wa Serikali wa kuboresha mtandao wa...
  13. anonymous a

    SoC03 Vikwazo na Njia za Kuboresha Kilimo Tanzania

    Utangulizi Sekta ya kilimo ni uhai wa Taifa. Ni sekta muhimu sana nchini Tanzania, ambayo inachangia sehemu kubwa ya pato la taifa, ajira kwa wananchi wengi na usalama wa chakula. Hata hivyo, kama ilivyo kwa nchi nyingine, sekta hii inakabiliwa na changamoto nyingi ambazo zinahitaji...
  14. Stephano Mgendanyi

    Milioni 214.3 Kuboresha Miundombinu ya Barabara katika Kivutio cha Utalii cha Maporomoko ya Milima ya Uluguru

    YAWEKEZA MILIONI 214 KUBORESHA MIUNDOMBINU YA MAPOROMOKO YA ULUGURU Serikali imesema imewekeza fedha kiasi cha shilingi mil. 214.3 kuboresha miundombinu ya barabara katika kivutio cha utalii cha Maporomoko ya Milima ya Uluguru Mkoani Morogoro. Hayo yamesemwa leo bungeni jijini Dodoma na Naibu...
  15. D

    Hongereni sana NEMC kwa kuanza udhibiti kelele kwenye bar lakini fanyeni haya kuboresha zoezi

    Nawapa pongezi sana kwa mwanzo huu! NEMC Mkiamua mnaweza! Mmefanikiwa kufungia bar chache zinazopiga miziki mikubwa! Ni jambo jema sana! Naomba kushauri jambo moja ndugu zetu NEMC! Kuna msemo Wataalam wanasema "Good approach, Bring best Result" Hakika mmethubutu kuwaonya hawa watu wanakela...
  16. Analogia Malenga

    Marekani yaipa Zanzibar dola milioni 1.5 ili kuboresha huduma za afya

    Marekani imefadhili kiasi cha dola milioni 1.5 (TZS 3,441,000,000) kwa maabara ya afya ya umma huko Unguja nchini Tanzania ili kuboresha miundombinu yake na kuanzisha maabara mpya huko Pemba. Fedha hizi zitasaidia maabara hiyo kupima magonjwa ya mlipuko kama vile Ebola, monkeypox, homa ya...
  17. Aliko Musa

    Programu Tatu Ambazo Zitakusaidia Kuboresha Uwekezaji Kwenye Ardhi Na Majengo

    Habari rafiki, Naitwa Aliko Musa. Mimi ni mwandishi na mbobezi kwenye mambo ya uwekezaji kwenye ardhi na majengo. Nimeweka shabaha kwenye kuwezesha watu kujenga utajiri au kutunza fedha zao kupitia ardhi na majengo. Ninawafikia wateja wangu kwa njia kuu ya kuwashirikisha makala kupitia blogu...
  18. mngony

    Tunaweza kuboresha Podium zetu Ikulu ili kuongeza taswira na muonekano wa unadhifu?

    Huenda kuna maarifa mengine tusiyoyajua ila muonekano wa Podium au jukwaa za kuhutumia viongozi hauko katika muonekano nadhifu zaidi kutokana kuwa kuweka material ya bati, ambazo zimeonekana kuwa na michubuko na mabonde mabonde. Kwa utajiri wetu wa misitu na aina mbalimbali za miti tungeweza...
  19. chiembe

    Wizara ya mambo ya ndani ya nchi ianze kuboresha vigezo vya usajili wa taasisi za dini, hasa makanisa

    Sijui kama wizara Ina maono gani kuhusu usajili wa taasisi za dini, hasa makanisa. Kwa upande wangu naona ni muda muafaka Sasa kupitia upya vigezo vya usajili wa makanisa kabla hatujachelewa. Naona kabisa matapeli wote wa mjini wamevamia usajili wa makanisa. Nashauri kwamba kwa kuanzia Sasa...
  20. N

    Bilioni 550 kuboresha miundombinu Kigoma

    Kigoma ni kati ya mikoa iliyokua inasifika kwa ubovu wa barabara na hakukua na maendeleo yeyote ni kama ulisahaulika lakini Rais Samia Suluhu alipoingia madarakani amefanikiwa kupeleka miradi mingi iliyoibua fursa mbalimbali kwa wakazi wa kigoma. Sasa Rais Samia Suluhu anampango wa kuufanya...
Back
Top Bottom