Kaka angu sheikh Kishki upo sahihi sana kuhusu sakata la huyu Bwana mdogo " Abdul Dunya" almaarufu " Shareef Firdaus".
Dogo ana karama sana ana nyota sana na anakubalika sana. Bora umpotezee tu.
Raia mitaani jijini Darusalama wanamkubali ile kinomanoma.
Kwa Raia mitaani, Kishki vs Shareef...
Iran, USA, Russia, Ujeruman, UK, Korea zote, Japan, mkono wa Myahudi upo!
Kazi za kubuni na kutengeneza, hao jamaa Mungu amewabariki
Imefika wakati kwamba, kila nchi ambayo inawayahudi walipewa nafasi serikalin
Nchi hiyo inakuwa hatari kwenye nyanja zote za kijeshi n.k
Sehemu hakuna...
Wakuu heshima yenu.
Nikiwa kama mtumiaji wa hicho kinywaji,nina malalamiko yangu kwa wahusika.
Toka siku tatu au nne zilizopita kumekua na uhaba mkubwa wa safari lager chupa kubwa hapa Dar.
Nimetembelea bar nyingi za maeneo ya mbezi mwisho,kimara,ubungo,manzese,mwenge,tabata na Kibamba hiyo bia...
N:B: Waajiriwa wa serikalini
Nakupa mfano mdogo tu, Nenda mitaa inayosifika kuwa na watu wanaoishi maisha standard, mfano kwa Iringa Nenda Gangi Longa, Mbeya nenda Forest, Dar nenda Mbezi, utarudi hapa na data kwamba almost 75% ya wanaoishi ni waajirwa, Hao 25 % waliobaki wanaweza kuwa...
Habari,
Kwa niaba ya ndugu yangu, wanauza eneo la shamba kubwa kwa uwekezaji wa kilimo.
1) Wapi? Ngalanga, njombe vijijini
2) Ukubwa? Ekari 100+
3) Umbali toka barabara kuu: 5km
4) Hali yake: halijalimwa mda kidogo
5) Bei?...600k kwa ekari 1 na linauzwa lote kwa pamoja sio kwa ekari moja...
Ngoja na mimi leo nibwabwaje. Hili jambo nimeanza kuligundua zamani sana. Unakuta mwekezaji au serikali ya nje inakuja na kusema fanyeni hivi na vile tutawapa pesa za huo mradi. Motive ya hao wawekezaji ni ROI yao kwanza, wanazo pesa zimezagaazagaa wanazunguka dunia nzima kutafuta pa...
Wadau hamjamboni nyote?
Hezbollah yaanza kujibu mapigo kibabe
Taarifa kamili hapo chini:
Two Israeli reservists were killed and three others were wounded on Tuesday, as the Israeli military battled Hezbollah in Lebanon and the Iran-backed terror group fired dozens of projectiles at north...
miongoni mwa motivation kubwa za binadamu ambazo husababisha afanye kitu chochote kwa ujumla zinaitwa RICE
R= inasimama kama Reward ikimaanisha kitu unachopewa au aidiwa akifanya kitu, hivi ni kama vile pesa, gari, nyumba, mwanamke
I=inasimama kama Ideology, hii inahusishwa vitu unavyo...
Mechi ya 4 mfululizo. Admin usifute uzi, next time wapelekeng'ombe wenzao wametumia madume 5 ya ng'ombe, wao wametumia kondoo 2 na mbuzi 1.
Vilio vimetawala, kesho wakubwa hawaji.
Usiku mwema.
======
Updates:
Jini limeamua mchezo.
Kila panapotokea mkusanyiko wa watu,uwe kisiasa,wa kidini,wa mashirika au wafanyakazi wa serikali,ikifika jioni,topic kubwa ya maongezi ni kunyanduana,iwe ni wanandoa,iwe ni viongozi wa kidini ni kunyanduana tu,na kweli wananyanduana sana.Hebu na wewe niambie maoni yako
Hii ndio furaha yangu kubwa sana,na kusuluhisha migogoro ya wanandoa ni furaha yangu kubwa sana.Siangalii dini za wanandoa wanaooana au naowasuluhisha.Kama una mgogoro wa ndoa au unatamaninkuoa au kuolewa njoo tuongee
Taharuki ya Mvutano wa CHADEMA huko Ikungi Mkoani Singida kwa Makamu Mwenyekiti wa chama hicho Tundu Lissu. Chazo cha mzozo kinaelezwa kuwa ni mgongano ya kimaslahi miongoni mwa wananchama.
Chanzo cha Habari: habarimpyatv
Wasimamizi wa vituo vya kujiandikisha wapiga kura wanalipwa 350000, kwa mmoja ,kituo kimoja wakiwa wanne ni zaidi ya 1.2m ,kwa nchi nzima ni mabilion ya pesa !! Kwanini mnathamini mchakato na sio ajenda? Mkishawachagua hao viongozi wanaanza kujitolea hawana hata posho Wala mishahara ,ifike...
Wadau hamjamboni nyote?
Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:
BBCIsraeli strikes killed 51 on Sunday, Lebanese health ministry says published at 07:46 British Summer Time
07:46 BST
The Lebanese health ministry says 51 people were killed across the country on Sunday by Israeli air strikes...
“Tarehe 19 tunaenda kucheza mechi na mkubwa wetu ambae ametuzidi mwaka mmoja wa kuzaliwa na anatuzidi makombe🏆🏅 nane 8 ya ligi, hii ni mechi ambayo inabeba taswira ya soka letu la tanzania.
Ubunifu ndo bidhaa adimu zaidi kwa sasa duniani ambayo endapo utaitumia vizuri unaweza kujihakikishia una survive vizuri katika dunia hii ya ushindani mkubwa.
Kwa miaka mingi, Tanzania imekuwa ikisemwa kuwa na vivutio vingi ikiwemo rasilimali, mbuga, wanyama ila kwa bahati mbaya haijaweza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.