Mimi ni mwananchi mshamba tu ni juzi juzi tu hapa ndio nimetoka shamba.
Gharama ni kubwa sana na nguvu ni kubwa sana SERIKALI INATUMIA KUHAMASISHA WANANCHI KUJIANDIKISHA NA KUPIGA KURA.
Serikali inazirudishaje hizi gharama baada ya juhudi hizi? Kuna faida kiasi gani serikali inanufaika na hii...
- Japo kuna makumi ya watanzania wenzetu walotekwa na hawajulikani walipo, wako hai au wamekufa. Na reaction Kali ya hamaki na hasira ya raia wakati vitendo husika vikiendelea, Utulivu ulipo wa watanzania baada ya vitendo husika kukoma unatoa somo kubwa;
-kwamba, watanzania ni wastaatabu, wasio...
Oct, 11, 2024
"Tunalazimika kupunguza idadi ya wafanyakazi wetu ili kuendana na uhalisi wa hali yetu ya kifedha."
—Kelly Ortberg (Boeing CEO)
Wafanyakazi watakaopunguzwa ni 17,000 ambayo ni sawa na 10% ya wafanyakazi wote. Na hii itaathiri wafanyakazi katika ngazi zote kuanzia executives...
Rais Samia, kuwa makini na watumishi wa SGR, mfumo unagoma kukata ticket.
Process ya kukata ticket, inaenda mpaka unafikia hatua ya kuchagua seat, ukishachagua seat unapotaka kuelekea mbele kwa ajili ya malipo, mfumo unazunguka tu.
Ukisema uanze upya unakuta ile seat uliyokuwa umeichagua...
October 11, 2024
LATEST UPDATES ON WAFIW SAFA CONDITION FOLLOWING IDF AIRSTRIKE IN BEIRUT
Report: Hezbollah official Wafiq Safa in critical condition after airstrike in Beirut
Today, 1:55 pm
13
Sky News Arabia reports that Hezbollah’s Liason and Coordination Unit chief Wafiq Safa is in...
Imepita miaka mingi wilaya ya masasi imegubikwa na mambo ya hovyo hovyo na hayaondoki kila siku hujirudia na utadhani hakuna viongozi wanaopaswa kutatua kero hizo
1. Umeme, sidhani kama kuna wilaya ambayo inaongoza kwa kukatakata umeme kama masasi
2. Barabara zilizobomolewa kuacha bila...
Moja ya video iliyogusa hisia za watu ni hii ya binti huyu aliyejivunia kuvaa joho huku kando yake kuna Baba yake akiwa na furaha tele mwanae kuhitimu Chuo. Ingawa sifahamu kuhusu mama yake, ila inachukua dakika chache tu kugundua moyo wa binti huyu unazungumza nini?. Anaonyesha hamu kubwa ya...
Simba na Yanga ni vilabu vikongwe na vikubwa si Africa Mashariki tu bali Afrika kwa ujumla.
Yanga na Simba zina historia kubwa pengine kuliko vilabu vingi Africa, historia zao zimejengwa katika lengo lililofanya vilabu hivi kuazishwa miaka zaidi ya 63 iliyopita.
Vilabu hivi unaweza kuviita ni...
Kumekucha Wadau.
Leo asubuhi wakati nawahi kwenye Mitikasi yangu nimejikuta nimenasa katikati ya foleni ambayo hata kusogeza tu mguu ilikiwa shida na ni mchezo wa kila siku hasa kwenye barabara hii ya Mwai Kibaki.
Katika mji wa Dar es Salaam, foleni barabara ya Mwai Kibaki imekuwa ni kero...
Bunge limehoji kuhusu Sh7.4M ( dola 2000 ) & Shs400,000 ( dola 109) zilizotumiwa na Wizara ya Kilimo katika ununuzi wa kila mbuzi wa kigeni na wa kienyeji mtawalia,
Mbuzi 409 kati ya 850 waliosambazwa kwa wakulima walikufa ndani ya wiki ya kwanza .
Hayo yamebainishwa na Mwenyekiti wa Kamati ya...
Ndio, tukiweka ujinga ujinga mwingi pembeni pale mashariki ya kati zinaongea akili kubwa tu. Hebu fikiria Iran inarusha kombora linavuka Iraq na Siria na kutua Israel tena mjini kabisa. Hata kama halijaua mtu lakini fikiria watu waliokaa mpaka wakaja na hiyo silaha! Wenzetu wanatumia akili...
Watu wengi wanalaumu matajiri kutofundisha vizazi vyao namna ya kuendeleza utajiri wao hata pale wanavyoaga dunia bila kujiuliza sababu zinazosababisha hivyo.
Baada ya kutafakari nimeona UKOSEFU WA UADILIFU kwa mzazi na watoto wake inachangia pakubwa sana kwenye hilo. Matajiri wengi nchini...
Kujiuliza ni muhimu maana katika demokrasia ya vyama vingi lazima tujenge uvumilivu wa kuwasikiliza wanaotukosoa.
Ni wiki tu imepita na yaliingia magari ya ving'ora, magari ya washa washa na polisi defender kem kem kutoka sehemu zote za Tanzania.
Vijana wamekula posho kwa kusikmama kwenye...
Aiseeh!
Hii vita ya Israel Vs Hezbollah na haya mauaji ya safu ya UONGOZI wa Hezbollah ukisoma huko mitandaoni hasa mtandao X na Facebook utagundua Waarabu hawapendwi Dunia nzima.
Sio China, India, Pakistan, Ulaya ndio usiseme, Amerika na hata huku Afrika.
Sijajua tatizo ni nini. Hivi mchina...
Russia na China ni washirika wakubwa wa Irani. Wanajua intelejensia. Wanamwambia kila mara Irani atulize kipago Israel aachwe kama alivyo.
Vita ya 3 ya Dunia itaanzia Mashariki ya Kati. Israel Taifa kubwa ndilo litasababisha vita hiyo. Ni Taifa dogo kwa eneo na idadi ya watu lakini Kihistoria...
Mh. waziri wa maji tunawasilisha kwako barua ya kero na Usumbufu mkubwa wa upatikanaji wa maji mji mdogo wa Ushirombo, Wilaya ya Bukombe. Hii yote ni kukosekana kwa uwajibikaji kwa Mkurugenzi Mtendaji.
=======
Waziri wa Maji
Mh. JUMAA AWESO
S.L.P, 456 Dodoma
YAH: KUTORIDHIKA NA UTENDAJI KAZI...
Watu wa Mara = Wajita, Wajaluo, Wakuria, Wazanaki, n.k.
Ni kwanini wahamiaji wengi wa fursa ni wa mkoa wa Mara kuzidi mkoa wa karibu wa Shinyanga, na Kagera ?
Ni kipi kinawapa Hamasa watu Mara kuondoka mkoa wao kuja Mwanza ?
Ni kwanini wenyeji wa Mwanza wana uwakilishi mdogo kwenye fursa za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.