Mitandio ya cotton na Mpira plain inapatikana
Cotton bei ya rejareja sh 8000, bei ya jumla sh 7000 kuanzia mitatu.
Mpira plain imebaki miwili, bei yake kila moja sh 5000.
Mawasiliano 0784 829565
Siasa ni utamaduni wa kiutawala ambao kawaida jamii imekubaliana kutumia namna au njia fulani kujiongoza/kujitawala ,Mfumo wa demokrasia ni moja wapo ya njia ambazo jamii za kiafrika zimelazimishwa kuzitumia katika kujitawala.
Utamaduni huu umekuwa kaa la moto kwa viongozi wa kiserikali kwani...
Viongozi wa siasa wanapaswa kuwa makini na kauli wanazotoa wawapo majukwaani. Malumbano ya kisiasa hayapaswi kutawaliwa na jazba au mihemko kwa namna yoyote kwani kufanya hivyo kwaweza kuleta kutoelewana kwa pande mbili.
Kiongozi hawezi kuwa sawa kwa mfano kwa kuwaambia wengine kuwa wameota...
Ndugu zangu kulingana na hali zetu kiuchumi kuwa siyo nzuri, kuna mdau hapo chini amependekeza kushushwa kwa za kondom nchini, tunaziomba mamlaka husika zilifanyie kazi suala hili.
Habari za mapumziko!
Inasikitisha sana kuona sekta muhimu za kuleta maendeleo hazipewi kipaumbele Kwa maana ya kupewa rasilimali pesa kulingana na bajeti zilizopitishwa na Bunge, sekta muhimu kwenye nchi kama Ardhi, kilimo, Mifugo, uvuvi zina hali mbaya kifedha kutokana na kupelekewa bajeti...
Wengi tunajipa hopes kuwa hapa nyumbani lazima wakae.
Wengi tunajipa hopes kuwa kule kwao tulicheza kimkakati ndio maana tumeambulia sare
Wengi wetu tuna ushabiki sana kuliko uhalisia
Guys, wale waarabu sio kama Al Ahly ya Misri, ni wa kawaida sana, hilo sibishi.
Jana mechi ile haikuwa...
Wakati mwingine nafikiri Israel inaachilia makombora yasiyo na madhara ili inapolalamika inavamiwa jumuiya ya mataifa iwaelewe vizuri
Pia inaachia makombora yasiyo na madhara makubwa ili ikilipa kisasi mataifa mengine yaweze kuelewa nani mchokozi na mkorofi
Kwa Sasa Yemen na Lebanon ikipokea...
Habari za wakati huu...
Eneo linauzwa madale mivumoni...
Lipo karibu na shule ya atlas
Eneo limezungukwa na njia kubwa kabisa pande zote nne...
Eneo lipo tambalale kabisa...🔥
Eneo linafaa kwa projects kubwa kama shule,hospital na hata viwanja vya michezo au sports academy..
Pia kwa wale...
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
Waalimu mmepewa Siku tatu za kufanya mabadiliko katika akaunti zenu kuchagua mikoa àmbayo ntakuwa comfortable kufanya usaili WA mahojiano endapo mtafauku Written.
Choose wisely.
Unaweza ukajikuta umechagua Mkoa weñye wasailiwa wengi zaidi na hiyo kuzidisha...
Yafuatayo ni mafanikio ya Al Hilal ya sudan kwenye CAF CHAMPIONS LEAGUE. Kama kuna mtu timu yake ina mafanikio zaidi ya haya basi alete hapa
1966 - Semi-finals
1987 - Finalist
1988 - Quarter-finals
1990 - Quarter-finals
1992 - Finalist
2007 - Semi-finals
2009 - Semi-finals
2011 - Semi-finals...
Kadiri unavyokua na idadi kubwa ya wanawake kwenye circle yako iwe kimapenzi au kirafiki ndivyo unavyojiandalia maisha ya kuishia kwenye umasikini. For every 10 women you attract into your life only one genuine woman might respect and value you, other nine just want a piece of your success...
Katibu Mkuu wa CCM leo tarehe 13 Septemba 2024 aliitisha kukao cha dharura na waandishi (selected) wa habari kuelezea msimamo wa CCM kuelekea maandamano ya amani ya Wananchi kupitia CHADEMA.
Amekutaka chama cha CHADEMA kusitisha maandamano iliyoyaitisha. Pia ikiwataka vyama vikae mezani...
Ni vigumu sana binadamu kukwazana mpaka kufikia hatua ya kupigana hasa katika ulimwengu huu wa sayansi na teknolojia, sishangai Marekeani na washirika wake wanaweka vizuizi kuzalisha VILIPUZI kwa IRAQ, IRANI na mataifa mengine huku wao wakiendeleza kutengeneza mabomu haya.
Kawaida kila taasisi...
Bashe fanya kazi yako na timiza wajibu wako, unalipwa kuleta masuluhisho katika sekta ya kilimo. Acha kufokea raia kwamba watu wanakosoa tu bila kuletea masuluhisho kwa hiyo unawanyima huduma za serikali kwa mamlaka yako uliyo nayo.
Kwanza huna mamlaka ya kuwanyima huduma raia walipa kodi...
Kwanini Unahitaji Mastermind Group Ili Uweze Kupiga Hatua Kubwa Kwenye Uwekezaji Wa Ardhi au Majengo
Katika safari ya uwekezaji kwenye majengo, kuwa na Mastermind Group ni muhimu sana kwa sababu ya faida nyingi ambazo kundi hili linaweza kuleta.
Mastermind Group ni kundi la watu wenye malengo...
Nikitazama mwenendo wa mambo, hii ndio picha ninyoipata kutokana na haya matukio hasa kwa jinai yanavyotekelezwa.
Wanafanya ukatili mbaya na wa kutisha halafu wanaacha nafasi ya watu kushuhudia ukatili uliiofanywa kwenye mwili wa muathirika lengo ni kuamsha chuki na hasira na wanajua lawama...
Hili ni pendekezo langu kwenye Dira mpya ya Taifa.
Ninashauri viongozi wa idara na taasisi za Elimu nchini wawe na Elimu kubwa.
Mfano; unaweza kuta mwalimu anayefundisha ana PhD Ila anaongozwa na mtu mwenye degree au
Mwalimu mkuu ana diploma Ila anamuongoza Mwalimu mwenye degree hii haileti...
Hello wana jf
Natumai wote mko poa sana
Naulizia gani hivi hapa dar haina majina makubwa sana kama vile tandika, mbagala, kariakoo nk.
Lakini ina watu wengii na biashara zinafanyika kwa maana zinauzika
Nilikuwa mbagala na store yangu ya mchele ila kwa sasa nimenyoosha mikono ushindani...
Nipende kuipongeza serikali katika jitihada zake za kuboresha huduma za Usafifi wa Mabasi ya Mwendokasi Dar (DART).
Hivi karibuni DART wamefanya ukarabati wa vituo vya mwendo kasi kwa kuweka mifumo ya ukataji tiketi kwa kutumia Kadi ambapo kadi hiyo ni Kwaajili ya DART Tuu inauzwa Tsh 5000...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.