kuchukua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mwamuzi wa Tanzania

    Jamii inayopenda kuchukua Sheria mkononi ni jamii maskini na yenye watu wenye roho mbaya

    Ukifika mtaa au mji wowote wadadisi jinsi wanavyowafanya wezi wadogo wadogo wa kuku, nguo, au vitu vingine. Ukiona wenyeji wako wanaanza kujisifu kuwa wao huua wezi hiyo jamii imejaa wajinga na wapumbavu na ina watu wenye roho mbaya a.k.a wachawi. Hakuna maendeleo kwa watu kama hao, kuwekana...
  2. Gentlemen_

    Mbinu za kuchukua namba ya Simu katika Mazingira Magumu

    Wazee wa kupambania Kombe Huwa mnatumia Njia gani kuomba/kuchukua namba za simu katika Mazingira MAGUMU na HATARISHI? Umafia: Part 1> Nilikuwa nipo katika Daladala watu wengi vibaya mno, nikatupia jicho pembeni nikaona KIFAA kimetulia kinachezea simu. Nikajiuliza hapa namba nabebaje? Kuangalia...
  3. GENTAMYCINE

    Kwanini Uwanja wa Mpira Dodoma ulikuwa uwe wa kuchukua Watu 100,000, lakini Samia anaujenga wa Watu 30,000 tu?

    Najua mtachukia ni nani kanipa Taarifa hii GENTAMYCINE, ila kamlaumuni Rais wa TFF Karia ambaye akifanyiwa Exclusive Interview na Azam Tv lilimchoropoka na akaliropoka hili na kama Kawaida yangu Bingwa na Mzee wa Kunyaka ya Muhimu tu Nikalinyaka na leo naliwasilisha. GENTAMYCINE naomba kujua ni...
  4. G

    Utabiri: Salim Kikeke kuingia Habari Maelezo na Msemaji Mkuu wa Serikali

    Jinsi upepo unavyovuma sio kwamba Habari Maelezo na Msemaji Mkuu wa Serikali anaandaliwa Kikeke. NB; Ni utabiri tu nisipigwe mawe. Leta utabiri wako Mwanabodi.
  5. Mwande na Mndewa

    Kwanini tunalipwa mgao wa shilingi inayoshuka thamani kutoka kwenye migodi yetu badala ya kuchukua dhahabu isiyoshuka thamani?

    Dhahabu ni pesa isiyoshuka thamani,tangu kuumbwa kwa dunia,dhahabu haijawahi tetereka katika soko la dunia,tukisubiri kugawana pesa baada ya hesabu wajanja watatangaza hasara,na kwa nini pesa na si dhahabu isiyoshuka thamani, tubadili sheria, tugawane Gold Bars(vitofali),Wazalendo wa nchi hii...
  6. G

    Kujichukua sheria mkononi

    Wakuu Salaam? Baada ya kujichukulia sheria mkononi tangia nikiwa form 3 mwaka 2009 hatimae mwaka huu nimefanikiwa kumaliza mwezi bila kujichukulia sheria mkononi. Njia niliyoitumia ni baada ya kusoma Uzi wa ndugu Mshana Jr kuwa ukiogea chumvi ya mawe kwa siku Saba mfululizo roho ya chafu ya...
  7. Jugado

    Mipango vs matumizi: Nimepanga kuchukua mkopo deni langu la benki likiisha ili nijenge ila kiasi ninachoweza kutopup kinanirusha roho!

    Deni langu la benki (salary loan) linaisha mwaka 2027! Likiisha naweza kukopa 60m. Sasa shida ni kwamba as of now naweza kutopup nikapata 17m. Hii hela inaninyima usingizi. Na nikitoup my life is done. Maana sioni pa kuchomokea. Nishapanga na wife nichukue mkopo siku deni likiisha. Wadau nipo...
  8. MSAGA SUMU

    Kumbe wanajeshi hawatanii, leo wamepita Soko la Mchafukoge kuchukua nguo zao

    Jeshi namba sita duniani kwa vifaa, bajeti, nidhamu, utiyari, misheni, rekodi nk leo limeanza utekelezaji wa kuchukua nguo zao mitaani. Majira ya asubuhi walikiwa soko la nguo mchafukuoga wakikusanya Mali zao, kwa bahati nzuri zoezi lilikuwa la amani japo wafanyabiashara walipata hasara maana...
  9. mwanamwana

    SI KWELI Mzee Mwinyi baada ya kujiuzulu Uwaziri, Abdalla Natepe alimzuia kuchukua mali zake kwenye makazi ya Waziri

    Mzee Mwinyi alijiuzulu Uwaziri Mambo ya Ndani mwaka 1977 na Nafasi yake kuchukuliwa na Mzee Natepe. Natepe alipoingia tu ofisini alimtaka Waziri Mzee Mwinyi kutoka katika nyumba ya Waziri arudi kwao Zanzibar ili yeye aweze kuishi hapo kama Waziri. Ilikuwa shida kidogo maana Mzee Mwinyi bado...
  10. K

    Nionavyo: RC Mbeya hakutakiwa kuchukua uamuzi Sasa wakati ripoti ya uchunguzi kuhusu ufisadi wa Mbeya haijatoka

    RC ambaye ni Mwenyekiti wa vikao vya RCC ameshindwa kuyaona yaliyokuwa yanaendelea mkoani Mbeya ,mpaka Rais aliseme hii inaonesha utendaji wake unatia mashaka. Baada ya Rais kujua juu ya ufisadi akaunda tume kuchunguza suala hilo na mpaka hapo hatukusikia RC akichukua hatua zozote Kwa wahusika...
  11. BARD AI

    Kuling'ang'ania suala DP World kuchukua Bandari ni dhahiri kuna Viongozi wamelipwa Fedha

    Licha ya makelele yote haya kwa Wananchi, Mashinikizo ya Wanasiasa na sasa Matamko ya Viongozi wa Dini kupinga suala la Dubai kuwekeza kwenye Bandari zetu inaonesha kabisa Kuna watu wamelipwa fedha nyingi wameahidiwa mgawo mkubwa sana endapo jambo hili litaanza utekelezaji nchini including namba...
  12. Robert Heriel Mtibeli

    Serikali isikubali mtafaruku wa Bandari kuchukua mkondo wa kidini, ni ngumu kuidhibiti

    SERIKALI ISIKUBALI MTAFARUKU WA BANDARI KUCHUKUA MKONDO WA KIDINI, NI NGUMU KUIDHIBITI. Anaandika, Robert Heriel. Mtibeli. Haya mambo yanayoendelea ndani ya nchi Kwa kweli hayavutii na kuna Wakati yanatia wasiwasi. Serikali inahitaji kutiiwa lakini nayo inaowajibu wa kusikiliza kile...
  13. U

    DP World kuchukua Eneo la Chuo Cha Polisi Kurasini

    Mambo ya mkataba yameanza utekelezaji haraka sana, huku mipango ikianza kufanyika Ili ndugu zetu DP world waanze kufanya kazi mara moja. Sijui mambo ya Mikataba, lakini DP world katika mkataba wao watachukua pia Eneo la Chuo Cha Polisi Kurasini Kinachosimamiwa na kamishna Msaidizi Mambo Sasa...
  14. BigTall

    KWELI WHO yatangaza anuai (Variant) mpya ya virusi vya COVID-19 inayoitwa EG.5, yazitaka Nchi kuchukua tahadhari

    Shirika la Afya Duniani (WHO) limetangaza anuai mpya ya COVID-19 iitwayo EG.5 - iliyopewa jina lisilo rasmi "Eris" huku likishauri kila nchi kuchukua hatua mahsusi za kufuatilia uwepo wake. Lakini shirika hilo linasema inaleta hatari ndogo kwa afya ya umma, bila ushahidi kwamba husababisha...
  15. Idugunde

    2025 hamuwezi kuchukua nchi ila sakata hili limewafanya mtikise

  16. S

    Hivi Azam lengo la ni kusajili wachezaji wazuri au lengo lao ni kuchukua wachezaji wa Yanga?kwanini hawatafuti wachezaji bora kutoka nje?

    Unawezaje kuwa tajiri halafu ukasubiri wachezaji wazuri kutoka timu za ndani ndio uwasajili badala ya kutumia hela zako kusaka wachezaji wa kimataifa moja kwa moja kutoka huko nje? Japo kuna wanaowsajili moja kwa moja kutoka nje ya nchi, lakini ni wazi wanangoja vilabu makini(na hapa Yanga)...
  17. MOONFISH

    Msaada: Aliyewahi kuchukua simu za mkopo kutoka Airtel

    Habari wakuu, Nimeona matangazo mengi sana kuhusu simu za mkopo nilikuwa nina mpango wa kumchukulia mtu aweze kutumia. Sasa swali langu kama kuna mtu yoyote alishawahii kuchukua na akawa analipa mdogo mdogo anipe ABC, simu nayotaka ni samsung A04e. Mfano ukachelewesha malipo siku mbili...
  18. GENTAMYCINE

    Jezi ya Simba SC itakayozinduliwa leo ni ya Kuchukua Vikombe vyote na siyo za Kuishia Fainali na Kulalamika kuhujumiwa

    Chanzo Taarifa: EFM Sports Headquarters Na kwa taarifa ambazo GENTAMYCINE nimehakikishiwa na Watu wa ndani Simba SC ni kwamba kuna Uwezekano baada ya Jezi Kuzinduliwa leo kati ya Saa 10 Jioni hadi Saa 1 Usiku kwa Uzuri wake zikanunuliwa kwa Kasi zote nchini na kuisha. Pia kuna uwezekano hata...
  19. B

    Njia nyepesi ya upinzani kuchukua nchi 2025, ni kuwatia wananchi HASIRA juu ya namna watesekavyo kwenye nchi yao

    Ki ukweli kila ukifikiria namna nchi hii ya TANGANYIKA inavyohujumiwa na kikundi kidogo kilichojitanabaisha kwamba ni chama tawala unatamani kuhama nchi. Wananchi tumechoka na mifumo mibovu iliyotengenezwa kwa ajili ya kulinda maslahi ya hicho kikundi kidogo huku majority ya wananchi wakiumizwa...
  20. Stephano Mgendanyi

    Mbunge wa Rorya awaasa Maafisa Uvuvi kuacha kuchukua mitumbwi ya wavuvi

    "Mheshimiwa Rais kwenye bajeti ya mwaka 2023-2024 amesema, Mfanyabiashara yeyote anayedaiwa kodi kwamba hajalipa TRA ni marufuku kumfungia biashara yake. Hii itumike kwa Wavuvi, Mvuvi ambaye hajalipa Shilingi 5,000 anahangaika kuvua apate Shilingi 5,000 akulipe hatuoni sababu ya kukamata chombo...
Back
Top Bottom