kuchukua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. T

    Nikweli Uchumi wa Dunia umeyumba ila kama Taifa lazima tuzijuwe alama za nyakati na kuchukua hatua!!!

    Nikweli Uchumi wa Dunia umetikiswa na kushuka kutokana na vita vya wenzetu huko ulaya. Lakini Mimi napata tabu kidogo kama mtu ninaye elewa uchumi kama Taifa tunakosea na tunakoelekea uwenda kama Taifa tukajikuta kwenye giza Nene la uchumi kutokana na makosa. This is very simple formula gari...
  2. Lanlady

    Raisi samia: Nadhani hatuchukui hatua. Ni nani wanaotakiwa kuchukua hatua?

    Nini sababu za kutochukua hatua? Je, ni udhaifu wa serikali kuu, sheria au mazingira?
  3. Intelligence Justice

    Shirika la DDC Kuchukua Ardhi huko Mbopo, Kinondo na Mabwepande kutoka kwa Wananchi ni Uporaji

    Maeneo kadhaa huko Mbopo, Kinondo na sehemu fulani huko Mabwepande shirika la DDC linadaiwa kuvamia raia na kuyapora maeneo wakidai ni ya kwao. Nyumba zinavunjwa viwanja walivyonunua wananchi kwa taratibu kabisa na uwepo wa wajumbe wa maeneo husika lakini wanakuja kuwapora huu ni uvunjifu wa...
  4. John Gregory

    WanaYanga karibuni tumpigie kura chezaji la kimataifa Kahraba kuchukua player of the week CAFCL

    Link hii hapa, MAHMOUD KAHRABA VOTE Bonyeza hapo kwa Kahraba.
  5. S

    Ni kujidanganya kwa mashabiki wa Yanga na Simba kuwaza kuchukua kombe la Club Bingwa badala ya kombe la Shirikisho

    Sisemi mengi: Kwa uwekezaji tunaofanya kwa vilabu vyetu vya Yanga na Simba kulinganisha na miamba ya soka Afrika kwa upande wa vilabu, ni kujidanganga kuwaza kuchukua kombe la club bingwa barani Afrika badala ya kuwaza kwanza kuchukua kombe la shirikisho. Hata kuvuka hatua ya robo fainali kwa...
  6. comte

    Siasa za maandamano zinataka kuchukua nafasi ya uchaguzi

    Kenya, Afrika Kusini, Nigeria, na Tunisia kuna maandamano yanayoongozwa na wanasiasa walioshindwa katika uchaguzi. Hii inaashiria kuwa hatuna wanasiasa ambao wanakubali kushindwa katika uchaguzi;ikitokea wanashindwa wanahamia kwenye maandamano na kuhujumu utendaji wa serikali zilizoshinda na...
  7. Jaji Mfawidhi

    Tanganyika stars baada ya kuchukua kombe la challenge

    Timu ya Taifa baada ya kuchukua kombe la Challenge, Syllersaid Salimin Kahema Kangero MZIRAY aka Super Coach akiwa Kocha. ilikuwa 1994 sina hakika na mwaka. Rest in Peace SillaMziray, toto la Kipare lilisakata Kabumbu si hawa akina Fei mnawapa airtime tu. PICHANI Sylversaid Marehemu REGINALD...
  8. Abdalah Abdulrahman

    Kwa shangwe za wafuasi wa CHADEMA jana Rais Samia njia ni nyeupe 2025

    Siku ya jana inamwingiza tena kwenye historia ya Tanzania na Dunia Mama yetu kipenzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan kwa kudhihirisha ujasiri, utu na upendo wake kwa Watanzania wote kwa kile kitendo cha kuhudhuria kama Mgeni Rasmi sherehe za Siku ya Wanawake...
  9. M

    Laana ni kuchukua TZS Bilioni 3 ili mfanye siasa

    Namshukuru sana Lema kwa kuona tatizo la bodaboda na kuliongelea. Kimsingi jamaa yuko sahihi sema siasa zitaaribu hoja yake ya msingi. Bodaboda ni tatizo kubwa sana nchini, miaka 20 ijayo ilo tatizo litaonekana wazi, cha kufanya ni kukabiliana na tatizo kabla halijawa kubwa. Changamoto mbili...
  10. Thread

    Aliyesoma Biotechnology anaweza kuchukua masters zipi?

    Habari, jqmani mtu aliyesoma degree ya biotechnology anaweza kusoma masters zipi akiamua kuendelea?
  11. xxtycoon

    Usiku wa kisasi wa Arsenal na Hatua moja kuchukua kombe ligi kuu

    Ukiachana na timu zote kuwa vizuri hivi karibu, kwenye mechi ya leo itakuwa ngumu kidogo ila wanangu wa Arsenal tutashinda sababu tukifungwa tena ni dharau 😂😂 na hatuwezi kufungwa kwa sababu kombe tunalitaka na hatumtaki Manchester United kwenye top four 🔫 THE GUNNERS
  12. JF Member

    CHADEMA mnaweza kuchukua nchi 2025 ila kama mtafanyia kazi mambo yafuatayo

    CHADEMA kina nafasi kubwa sana ya kuchukua nchi iwapo tu itafanyia kazi mambo yafuatayo. 1. Mbowe aendelee kuwa Mwenyekiti. 2. Katibu mkuu awe Heche. 3. Mgombea Urais atoke CCM (Tulizeni kichwa hapa). 4. Kwenye Majukwaa sera zenu ziwe against awamu ya sita na sio awamu zilizopita. 5. Muwape...
  13. NetMaster

    Messi anaenda kuchukua Balon d'Or ya nane, ndiye mchezaji pekee wa kumrithi Pele

    Yes, perfect timing for Messi kuchukua Kombe la Dunia, hili kombe lina uzito kuliko UEFA Champions na ndio maana ni mara moja tu kila baada ya miaka minne, hakika Messi anaenda kuizoa Ballon d'Or. Kwa hakika messi anaenda kujiweka level sawa na za kina Pele kule juu kabisa. Huku chini wapo...
  14. BARD AI

    Serikali kuchukua hatua dhidi ya kampuni iliyochoma Vifaranga 50,000

    Sakata la mwekezaji wa shamba la kuku wa nyama na mayai mkoani Kilimanjaro, kuteketeza kwa moto vifaranga 50,000 vya kuku kwa madai ya kukosa soko, limechukua sura mpya, baada ya serikali kusema inakusudia kuchukua hatua dhidi ya kampuni hiyo. Mkurugenzi wa Idara ya Huduma za Mifugo, Prof...
  15. M

    Godfrey Nyange Kaburu kabla ya Kuchukua Fomu ya Uongozi Simba SC umewaomba Radhi wana Simba SC?

    Bahati nzuri Binafsi nakujua ndani nje tena mpaka Dhambi zako ZISIZOSAMEHEKA ulizowafanyia wana Simba SC mpaka ukakoswakoswa Kupigwa Risasi Uwanja wa Taifa na Marehemu Zakaria Hanspoppe baada ya Ismail Aden Rage Kuingilia kati na Kumsihi. Wewe ni Adui Mkubwa wa Simba SC.
  16. Mwachiluwi

    CHADEMA kama mnataka kuchukua nchi fanyeni marekebisho kuanzia mfumo wenu wa uongozi kwa ujumla

    Hellow, Hakuna chama cha upizani kina nguvu kama CHADEMA na kina watu wengi sana kuliko vingine vyama vya upinzani. Lakini pia kina watu makini sana ambao watu hao wamejawa na tamaa, yaani ni wabinafsi sana kuliko kawaida. CHADEMA kina miaka mingi sana tangu kianzishwe Tanzania, lakini Ofisi...
  17. Shujaa Mwendazake

    Israel yaibembeleza US kuchukua hatua za kijeshi dhidi ya Iran

    Mkuu wa jeshi la Israel amewaonya maafisa wa Marekani kwamba hivi karibuni Tehran inaweza kupata silaha za nyuklia Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi ya Israel (IDF) Aviv Kochavi ametoa wito kwa Marekani kubuni "mipango mipya ya uendeshaji" ya kulivalia njuga jeshi la Iran, akiwataka maafisa wa ngazi za...
  18. Carlos The Jackal

    Ni chama gani cha Upinzani kitakachoweza kuendesha vema nchi hii?

    Kama itakuja Kutokea, sio Kwa sababu Kuna Upinzani wenye wanasiasa Bora, La hashaaa!!. Itakua ni sababu Watanzania kutaka tu kuona Upinzani wataongozaje na kwa mantiki hiyo, DOLA, hautokaa kuliruhusu hili. (Upinzani wa Kusubiri vijitukio vidogodogo ndo usikike, Sahizi wanamjadili KIJANA...
  19. NetMaster

    Chama alichomo Trump kinaenda kuchukua House au senate ama vyote, Trump anaweza kupewa uspika wa Pelosi, Biden anaenda kuonja joto la impeachment

    Usiende google kucheki matokeo 😂😂 wala cnn , huko hakuna taarifa credible maana ni left wing main strem media, ni haohao walioaminisha umma mpaka dakika ya mwisho 2016 kwamba Trump kashindwa,,, Ukweli ni kwamba kwa sasa hali inavyoelekea Republicans wanaenda kuchukua moja ya mihimili ama miwili...
  20. 5

    Sasa ni zamu ya Urusi kuokoa raia wao katika mji wa Kharson, Ukrean inapania kuchukua jimbo la Kharson lilonyakuliwa na mavamizi

    Maelfu ya raia na maafisa walioteuliwa na Urusi wanahamishwa kutoka eneo la kusini mwa Ukraine la Kherson kabla ya mashambulizi ya Ukraine, anasema kiongozi wa eneo hilo aliyewekwa rasmi na Urusi. Vladimir Saldo alisema raia 50-60,000 wataondoka katika miji minne kwenye ukingo wa magharibi wa...
Back
Top Bottom