kuchukua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. MK254

    Kiongozi wa Wagner arudi Urusi kuchukua hela yake iliyotaifishwa, anatamba kibabe

    Ni dhihirisho tosha kwamba Putin ni mateka kwa mafia wa pale Klemrin, ikikumbukwa alivyobwatuka kwa hasira wakati wa uasi ambao ulisababisha vifo kwa marubani na uharibifu wa ndege kadhaa, uasi ambao ulitetemesha taifa, uasi ambao ulisababisha hadi Putin akaikimbia ikulu na kujficha, ila baadaye...
  2. GENTAMYCINE

    Azam FC sajilini hata akina Messi, Ronaldo, Mbappe na Haaland, ila hamuwezi Kuchukua Ubingwa wowote ule

    Mpaka mkichana na Kusajili Virusi wa Simba na Yanga huku pia mkiwa na Viongozi Waandamizi wenye Uyanga na Usimba mwingi. Ninawashangaa mno mnavyosajili.
  3. 5

    BBC: Marekani ilijua kuwa mkuu wa Wagner alikuwa akipanga kuchukua hatua kabla ya uasi wake

    Wakati maasi ya Prigozhin yalionekana kuipata Kremlin kwa ghafla mashirika ya kijasusi ya Marekani yalikuwa tayari yamepata ishara kwamba alikuwa akipanga kuchukua hatua na yalikuwa yamemjulisha Rais Biden pamoja na viongozi wakuu wa bunge mapema wiki hii, vyombo vya habari vya Marekani...
  4. R

    Ni njia ipi itasaidia kuiondoa CCM madaraka 2025 ? Na chama kipi kiandaliwe kuchukua dola ?

    Habari jf ,ni wazi kwamba tunahitaji mabadiliko nikiwa nna maana kuiondoa CCM madarakani ugumu unakuja ni njia zipi ? Na ni chama kipi ? Kiuhalisia kuendelea kuitegemea CHADEMA ni upotevu wa muda maana kina watu wengi walio pale kimkakati ukianzia Mwenyekiti . NCCR Mageuzi ni better option...
  5. Yesu Anakuja

    Sugu nafasi yako ya kuchukua jimbo la Mbeya ni hii

    Nipo Mbeya kwa wiki tatu sasa, mjadala kwenye daladala na masokoni ni DP WORLD, nothing more. Watu hawamwelewi mbunge wao. Sugu kama unataka kushinda jimbo lako, nafasi yako ndio hii, siwezi kukufundisha cha kufanya ila weka mikutano uwashitakie wananchi kwasababu wanahitaji kusikia toka kwa...
  6. A

    Wanafunzi wa vyuo vikuu vya Sudan wahamishiwa vyuo vikuu vya Tanzania. Hongera kwa Serikali ya Tanzania

    Hongera kwa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Hasa Rais wetu mpendwa kwa kupokea Wanafunzi wa Udaktari toka nchini Sudan. Ikumbukwe nchi ya Sudan ipo katika vita vya wenyewe kwa wenyenye. Mungu akawape utulivu, wepesi na waendelee vema na masomo yao katika Chuo cha Kikuu cha tiba...
  7. Father of All

    Kama wapinzani watasimama kidete, wanaweza kuchukua nchi 2025

    Kwa wanaojua namna CCM ilivyofilisika kulhali na ilivyoshinda kwa mbinde 2015 kwa kutumia sifa nzuri za John Pombe Magufuli kama mchapakazi wa kupigiwa mfano, itakuwaje mwakani tena baada ya kuuza bandari yetu? Je, CCM baada ya kuanza kubomoa mema ya Magufuli watatoboa kweli? Kwa uongozi huu...
  8. Jackal

    Baada ya UN kushindwa kuchukua hatua dhidi ya Urusi hivi ndivyo mambo yalivyo huko Kyv, Ukraine

    USELESS: Kyiv residents left a message for the UN by tagging the organisation's vehicles that have been parked in the centre of Kyiv.
  9. Expensive life

    Hivi kweli wanayanga leo mlikuwa na Matumaini ya kuchukua Kombe kwenye ardhi ya Mwarabu?

    Wale jamaa wana kila mbinu za kuhakikisha kombe linabakia kwenye ardhi yao, week ikiyopita nikiandika hapa mkanibeza. Yale mafataki yalikuwa yanapigwa kwa vipindi maalumu siyo kama sisi tunavyoyapigaga hapa kiholela. Ratiba ya mafataki ilikuwa kama ifiatavyo; 1. Hotelini walipofikia Yanga. 2...
  10. Expensive life

    Niliandika hapa na ninaandika tena hakuna kisokolokwinyo chochote kinachoweza kuchukua kombe kwenye ardhi ya mwarabu.

    Mwarabu hajawahi kuwa ndezi kwenye vitu serious, eti tunaenda kumfunga kwake 🤣🤣🤣
  11. Stephano Mgendanyi

    Serikali kuchukua hatua kutatua migogoro baina ya Hifadhi na Wananchi

    SERIKALI KUCHUKUA HATUA KUTATUA MIGOGORO BAINA YA HIFADHI NA WANANCHI "Serikali ina mpango gani wa kutatua changamoto kati ya wananchi na maeneo ya hifadhi za Taifa ikiwemo Jimbo la Momba" - Mhe. Condester Mundy Michael Sichalwe, Mbunge wa Jimbo la Momba "Serikali imekuwa inachukua hatua...
  12. Teko Modise

    Jeff Leah: Yanga itafungwa 3-0 na Marumo na nina uhakika haitofuzu Fainal wala kuchukua kombe

    Mchambuzi nguli mwenye kujua vizuri kiingereza Goeff Leah kutoka sports headquarters Efm amesema ana uhakika Marumo atashinda tena goli kuanzia 3-0 na Yanga hatofuzu na hivyo ndoto za ubingwa zitaishia hapo. Mimi kama mjumbe siuwawi, njooni mtoe ya moyoni, mtiririke na kuserereka
  13. TODAYS

    Aliyeamua kuchukua hii Route ya Johannesburg to Dar Es Salaam ni Mtanzania Kweli?

    Mkombe Luxury siijui hii kampuni ilikotokea ila nimeona tangazo lao kuanzia tarehe 20 mwezi huu wa May chombo inaanza kukata 4000 kilometers. Na njia itayopita ni kwenye nchi za Botswana, Msumbiji, Zimbabwe, Malawi na Zambia kupitia mpaka wa Tunduma na kuishia jijini Dar Es Salaam. Nauli yao...
  14. F

    Bernard Membe ukiacha kuchukua stahiki yako kama Mahakama ilivyoagiza, wewe sio rafiki wa Watanzania!

    Ni haki yako! Ulitukanwa sana na ukadhalilishwa mno! Tafadhali timiza hukumu halali ya Mahakama na chukua fidia dhidi ya udhalimu uliotendewa na Cyprian Musiba. Kumbuka kuwa sio wewe peke yako ulidhalilishwa na Musiba, wewe ni muwakilishi tu, tupo wengi tulioshindwa kwenda mahakamani kumshtaki...
  15. Ileje

    Kero moja ya Muungano ambayo Mwalimu alishindwa kuchukua hatua

  16. technically

    Utabiri Yanga kuchukua kombe la shirikisho mwaka huu

    Yanga itachukua kombe la shirikisho mwaka huu natabiri na itakutana fainal na Rabat. Yanga ndiye bingwa wa confederation cup. Simba atatoka morocco na fainal. Nusu ni Waydad vs mamelodi na kule ni Esperance de tunis vs Al Ahly. Watakutana wababe wa africa mamelodi na Al Ahly Mamelodi ndiye...
  17. MwananchiOG

    Hatimaye Simba wafanikiwa kuchukua kombe la kuifunga Yanga 😄

    Inafurahisha kuona vijana wanalunyasi wakishangilia mambo ambayo yanasikitisha! Kwao kuifunga Yanga ni ushindi na ubingwa tayari😄 Mpaka sasa Simba wana makombe mawili moja la kutinga robo fainali na mbili ni kuifunga Yanga.HONGERENI SANA WATANI
  18. B

    Rais Samia apongezwa kuchukua hatua ripoti ya CAG

    Mwandishi Wetu RAIS Samia Suluhu Hassan amemwagiwa sifa na wananchi na viongozi mbalimbali ndani na nje ya nchi kwa kuchukua hatua za haraka na madhubuti kushughulikia uzembe na ubadhirifu wa pesa za umma uliobainishwa kwenye ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG)...
  19. R

    Fahamu kwanini Rais kaelekeza viongozi waandamizi kupitia upya hoja za CAG na kuzijibu, ikiwemo kuchukua hatua

    Hatua za ukusanyaji taarifa, uchakataji, uandaaji na uwasilishaji wa ripoti ya CAG NI hizi zifuatazo; 1. CAG kila mwaka wa Fedha kupitia mpango kazi wake ufanya ukaguzi WA kawaida na ukaguzi maalumu katika taasisi za umma pamoja na mashirika ya umma. 2. Katika ukaguzi wa kawaida na hata...
  20. R

    NI sahihi Makatibu Wakuu wa sekta zilizovurunda kupewa tena nafasi kurekebisha makosa na kuchukua hatua watendaji waliopo chini yao?

    Nampongeza Mhe. Rais Kwa ukali anaouonyesha Kwa vitendo na kwakuzingatia ethics za utumishi na Mila zetu. Ila napata wasiwasi pale ambapo Makatibu wakuu waliochemsha wanapopewa nafasi yakujibu tena hoja; NI approach nzuri hasa Kwa wanaoamini kama Mimi kwamba report ya CAG imejaa Sana hoja za...
Back
Top Bottom