kuchukua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nafaka

    Tiktok inatuhumiwa kuchukua 70% ya donations ambazo wanatumiwa wakimbizi

    Watoto ambao ni wakimbizi huko Syria wamekuwa wakitengeneza videos ambazo wanaziweka Tiktok kisha watu wanaweza kuwatumia vitu vinaitwa diamonds ambavyo wanaweza kuvibadili kuwa pesa na kuitoa. Lakini, Tiktok huchukua 70% ya hizo donations na pia agent ambapo wanaenda kutoa pesa nao wanawakata...
  2. Bujibuji Simba Nyamaume

    Je, kulikuwa na ulazima gani Tanzania kuchukua wimbo wa Afrika Kusini na kuufanya wimbo wa Taifa? Kwanini tusingetunga wa kwetu?

    Huenda ni uvivu tulionao ndio unasababisha umasikini wetu na tumebaki kutafuta visingizio visivyo na idadi. Suala nyeti kama wimbo wa taifa, ambao ndio kitambulisho chetu, iweje tuukwapue wimbo wa Afrika Kusini na kuufanya wetu? Je, kwanini hatukuufanya wimbo wa Tazama ramani utaona nchi...
  3. CM 1774858

    DODOMA: Halmashauri kuu ya CCM yaongeza muda wa kuchukua na kurejesha fomu kutokana na Utitiri wa Wagombea

  4. GENTAMYCINE

    Kwahiyo mnaamshwa baada ya Matukio ya Mauaji kutokea na siyo kuchukua Tahadhari mapema ili Kuyazuia?

    "Niwahakikishie wananchi sasa ulinzi upo wa kutosha na doria zipo, kama zilikuwa nne sasa hivi ziko 12 kwahiyo waweke ulinzi wa kutosha kwenye nyumba zao, hiki kilichojitokeza kimetuamsha," - Raia Nassor, Mwenyekiti wa Mtaa wa Mzimuni Kawe. Chanzo: EastAfricaTv Kwa Viongozi Majuha kama hawa na...
  5. Meneja Wa Makampuni

    Wizara ya Nishati, tunaomba TPDC waajiri watu waliosoma fani za mafuta kwa usawa

    Kwako Wizara ya Nishati, Rejea Tangazo la ajira za shirika letu la mafuta, TPDC. AJIRA MPYA - Shirika limetoa ajira nyingi za kutosha lakini kuna baadhi ya fani za mafuta hazijatajwa kwenye Tangazo hilo ilihali watu wa fani hizo wanaweza fanya kazi hizo. Tunazo fani nyingi za mafuta na gesi...
  6. Lady Whistledown

    Burundi: Rais amfuta kazi Waziri Mkuu, Waziri wa Usalama kuchukua nafasi yake

    Rais Evariste Ndayishimiye amewafuta kazi Waziri Mkuu Alain Bunyoni na Msaidizi wake Mkuu bila ya kutoa sababu za hatua hiyo baada ya hotuba ya kuonya kuhusu njama ya "mapinduzi" dhidi ya Serikali yake hivi karibuni Katika kikao cha dharura, Wabunge waliidhinisha Uteuzi wa Waziri wa Usalama...
  7. Lycaon pictus

    Kwanini watu wasipewe mkataba wa kuchezea timu ya taifa tu kama wanavyochezea vilabu?

    Ni wakati wa kufanya mambo kwa njia tofauti. Kwanini watu wasipewe mkataba wa kuchezea timu ya taifa tu kama wanavyochezea vilabu. Kazi yao iwe ni mpira kwa aajili ya timu ya taifa, wakilala wakiamka. Inaweza unda timu nzuri sana ya taifa. Chemistry itakuwa kubwa sana. Mpaka sasa kwa timu yetu...
  8. Mapondo Mapoka

    Ana mshahara wa 650000 anataka kuchukua mkopo

    Anaonba ushauri, anataka kuchukua mkopo wa mkubwa,je Kwa basic salary hiyo ya 650000 atapata kiasi gani? Anaonba ushauri na je, atabaki na shilingi ngapi take home kwa muda wa miaka 7? Asanteni.
  9. Vituka

    Je, ni Sahihi kwa Serikali kuchukua mashamba ya wananchi na kuwagawia Viongozi?

    Naomba kujua kwa wenye ufahamu wa masuala ya ardhi maana jambo hili kwa akili ya kawaida tu naona haliko sawa. Nafahamu kuwa serikali inaweza kuchukua maeneo ya wananchi kwa manufaa ya jamii nzima (for public interest) na sio kwa ajili ya kuwagawia viongozi. Naomba kupata msaada wa mawazo...
  10. M

    Shaka: Wakurugenzi acheni kuchukua 10% mnakwamisha miradi ya maendeleo, TAKUKURU fanyeni kazi yenu haraka

    == SHAKA HAMDU SHAKA AWATAKA WATUMISHI KOTE NCHINI KUFIKA KWA WANANCHI KUSIKILIZA KERO NA CHANGAMOTO MBALIMBALI. Na Mwandishi Wetu, Sikonge KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) Shaka Hamdu Shaka amewataka watumishi wa umma waliopewa dhamana ya kuwatumikia wananchi kwenda...
  11. M

    Ni jinsi gani ya kuchukua package kutoka DHL warehouse?

    Jamani mi ninataka msaada kidogo. Nilituma package kutoka UK through DHL, unfortunately package haikuchuliwa kwa wakati muafaka. Nimeongea nao wanasema ipo warehouse. So ni jinsi gani ya kuitoa hiyo package warehouse? Naombeni msaada wa mawazo.
  12. CIA mgumu

    Kilio cha madereva pale bandarini wanaosubiri kuchukua magari yaliyoingizwa nchini yakielekea nchi jirani

    Habarini wakubwa na wadogo humu ndani. Jamii forum ina kila aina ya watu humu ndani hivyo naomba leo kuwaletea kilio hiki watu wa pale bandarini naomba lifanyieni kazi hili jambo linatuabisha. Madereva wa gari za IT na hata mizigo ya kawaida wanapokuwa wanasubiri taratibu nyingine za utoaji...
  13. P

    SoC02 Biashara itakayobadilisha maisha yako baada ya kuchukua maamuzi ya kuifanya

    Vijana wengi wame kua wakitoa malalamiko mengi kuhusu kukosa ajira hasa kwa wale walio hitimu elimu zao za juu. Ukweli wa jambo hili ni asilimia zaidi ya 95% vijana kukosa ajira hasa kwa inchi kama Tanzania Ujasiriamali.. Nini maana ya Ujasiriamali? Ni kitendo cha kubuni bidhaa ya kipekee na...
  14. J

    Shaka Hamdu Shaka : Wanachama wa Chama cha Mapinduzi wanaohitaji Ubunge wa EALA "East African Legislative Assembly "sasa ruksa kuchukua fomu.

  15. sky soldier

    Hii sasa sifa, mkataba wa bilion nne na ushee kwa mwaka! Nyie Sport Pesa mnaifanya Yanga iende kuchukua vikombe vyote msimu ujao

    Hii sasa sifa, mkataba wa bilion nne na ushee kwa mwaka!! Nyie Sport Pesa mnawafanya Yanga waende kuchukua vikombe vyote msimu ujao. Ina maana ni mara tatu ya mkataba walio ingia Simba. Halafu hapo kuna yale mafungu ya bilioni 40 kutoka Azam sijui ni shilingi ngapi kwa mwaka nimesahau Kama...
  16. sky soldier

    Ukiachana na Yanga kuchukua Ubingwa wa Ligi Kuu ya NBC tunataka Ubingwa wa Graphics 🙌

    Hivi GRAPHICS wa YANGA SC hawezi fungua CHUO ili awape Darsa hawa wa vilabu Vidogo? Nimecheka hapa naona watu wanasema kaiba ile sehemu ya kutembea na funguo, niwatoe ushamba tu kwamba Kile kitu kinaruhusiwa kabisa katika fani ya graphics na ni sehemu ya sheria za "Fair use policies" katika...
  17. JanguKamaJangu

    Serikali yasitisha matumizi ya Fomu ya 2C inayotumika kuchukua dawa maduka ya nje

    Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu ametangaza kuanzia leo Julai 1, 2022 Serikali imesitisha rasmi matumizi ya fomu ya 2C katika Hospitali zote za umma zinazotumia Bima ya Afya mara baada ya kuonekana kuna udanganyifu mkubwa unafanyika. Fomu ya 2C ni karatasi inayoandikwa dawa nakupatiwa mgonjwa...
  18. escrow one

    Uchaguzi CCM: Marufuku kuchukua fomu kama huna Cheti cha Taaluma

    Siku chache baada ya kuripotiwa sakata la kukatwa ovyo kwa Majina ya wagombea ndani ya CCM bila kufuata utaratibu huko Ilala mapya yaibuka. Inaelezwa kwamba Makatibu wote wa Mikoa na Wilaya "wamepewa Maagizo" na Katibu Mkuu Chongolo kuhakikisha kila anayegombea anaambatanisha Kopi za Vyeti...
  19. R

    Itengenezwe Sheria ya kuruhusu kuweza kuchukua Mafao kila baada ya Miaka 10, itasaidia sana

    Habari wana JF, Nimewaza sana hivi haiwezekani ukawepo utaraatibu wa kuchukua Mafao kila baada ya miaka 10 kwa anaetaka? Sababu: 1. Itakuwa kama motisha kila unapofikisha miaka 10 kazini 2. Itasaidia kupunguza ugumu wa Maisha kidogo, mara kila baada ya miaka 10 kazini unapata booster 3. Sio...
  20. Ritz

    CHADEMA hawana ushawishi kwa Watanzania kuchukua Dola, ni ndoto na kujidanganya

    Wanaukumbi. Ni mtu mwenye mawazo finyu na upeo mdogo pekee anaweza kufikiria CHADEMA wana uwezo wa kuongoza taifa. Ni sawa na kulinganisha kifo na Usingizi. CCM ni chama chenye nguvu Ukanda wa Africa Mashariki, Kati hadi Kusini. Ufipa ni chama chenye nguvu Machame na maeneo ya Moshi, Hadi...
Back
Top Bottom