Msema kweli ni mpenzi wa Mungu, mimi nimekuwa muumini sana wa kipaumbele cha chuchu Dodo, ila kwa hakika naomba nikiri niombe radhi nilikuwa nimepotea kimtizamo na kivigezo , Nyashi Ina mchango mkubwa sana kwenye mvuto na hisia za mizagamuo.
Sitaki niwachoshe itoshe kusema hivyo ntaendelea na...
Siri ya Mapenzi ya Kudumu: Je, Uko Tayari Kusamehe na Kuendelea? (Au Bado Umeshikilia Kaa la Moto?)
Leo tuna story kali kuhusu mapenzi. Yaani, ile siri ya kuwa na uhusiano unaodumu kama betri ya Nokia 3310 [Nokia Jeneza]. Mnaijua ile, hata ukiitupa ukutani inarudi ikiwa inawaka fresh tu!
Wengi...
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Maji na Mazingira Mhe. Jackson Kiswagwa (Mb) (wa tatu kushoto) akizungumza na wajumbe wa kamati wakati wa ziara ya kutembelea na kukagua utekelezaji wa miradi ya uboreshaji Usafi wa Mazingira Dar es Salaam yenye lengo la kuimarisha Usafi wa Mazingira na...
Kamati ya Kudumu ya Bunge inayosimamia Wizara ya Elimu na Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo imeridhika na utekelezaji wa Mradi wa Ujenzi wa Shule ya Shimbo iliyopo Kata ya Mkuza,Halmashauri ya Mji Kibaha
Mwenyekiti wa Kamati hiyo Mhe.Husna Sekiboko amesema Rais wa Jamhuri ya Muungano...
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii ikiongozwa na Mwenyekiti, Timotheo Mnzava (Mb) imempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa ajenda yake ya kukuza utalii ikiwemo katika miradi ya ujenzi wa kituo cha utalii kwa gharama ya shilingi...
wakuu,
Mimi nimeugua kuanzia 2021 hadi leo miaka minne. Nipo nahangaika.
Naumwa ugonjwa wenye tiba lakini wenye usugu wa dawa. Yaani kwa kifupi ni sikio la kufa.
Nadhan wapo wengine ambao wamepata magonjwa ya kudumu kama pressure, kisukari na ukimwi.
TUFARIJIANE
Mara kadhaa nimewahi kushiriki na naendelea kushiriki kutoa maoni ya kusuluhisha mgogoro mkongwe na mgumu mno wa Wayahudi na Wapalestina.
Kwa ujasiri mkubwa kabisa, nisisitize kuwa nakusudia na niko tayari kabisa kusuluhisha mgogoro huu kwa niaba ya Afrika na Waafrika wote, hata kama sina cheo...
Wakazi wa Mkoa wa Mwanza wakiwa katika vituo vya Kuboreshea Daftari la Kudumu la Wapiga Kura wakijiandisha na kuboresha taariza zao leo ambapo uboreshaji huo ulioanza Agosti 21, 2024 ukiendelea kwa mikoa ya Mwanza na Shinyanga. Mikoa hiyo inafanya zoezi hilo kwa siku saba kuanzia Agosti 21 hadi...
Kwa ajili ya shughuli zangu mbalimbali nimekuwa naweka 10,000/= na kupata kifurushi cha dakika 1,200 kwa mitandao yote na kwa mwezi mzima.
Leo nashangaa nilipokuwa nimejiandaa kujiunga kwa 10,000 kupata hizo dakika 1,200 nilizozoea nashangaa menu imekuja na chaguzi kadhaa mojawapo ikiwa ni ya...
Historia na Uteuzi
Hamad Masauni aliteuliwa kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani na Rais Samia Suluhu Hassan mnamo Januari 10, 2022. Kabla ya uteuzi wake, Masauni alikuwa na uzoefu wa muda mrefu katika siasa na uongozi, ambapo alishika nyadhifa mbalimbali ndani ya serikali na Chama cha Mapinduzi...
Ukifuatilia Takwimu, utasikia TRA wanadai idadi ya walipa kodi nchi hii ni ndogo sana licha ya nguvu nyingi zinazotumika ikiwemo masuala ya TaskForce, kuhakikisha watu wanadai receipts na matumizi ya EFD machines.
Kwa njia hizo, ni kweli kabisa idadi ya walipakodi itaendelea kuwa ndogo. Nini...
Tume huru ya Taifa ya Uchaguzi inazindua uboreshaji wa taarifa za wapiga kura na Uandikishaji wa wapiga kura wapya tarehe 20 July 2024.Viongozi wao wakuu akiwemo Mwenyekiti Jaji mstaafu ndugu Jacobs Mwambegele pamoja na Mkurugenzi wa Uchaguzi ndugu Kailima wamejitahidi sana kuhamasisha na kutoa...
Vijana wa kikundi cha Kusakizya wilayani Mpanda mkoani Katavi ambao ni wanufaika wa mikopo ya asilimia 10 inayotolewa na Serikali kupitia Halmashauri, wameeleza kuwa mkopo huo umewawezesha kupata ajira za kuduma kupitia mradi wa kusindika na kuuza mafuta ya alizeti.
Kwa mujibu Muhasibu wa...
Katika ulimwengu wa leo, mahusiano yanaweza kukumbwa na changamoto nyingi kutokana na mabadiliko ya kijamii, teknolojia, na mtindo wa maisha. Mada hii inahusu jinsi wanandoa au wapenzi wanaweza kuweka msingi imara kwa uhusiano wa kudumu. Hapa kuna maeneo muhimu ya kuzingatia:
1. Mawasiliano ya...
Jeshi la Polisi Nchini limesema linawatafuta watu waliokula njama kuandaa na kusambaza kwenye mitandao ya kijamii tangazo linalowataka Wafanyabiashara wote wa viunga vya Kariakoo kufunga biashara zao kuanzia Jumatatu ya Juni 24, 2024, bila ukomo, hadi pale changamoto zao za kibiashara...
Kwa safu ya mama aliyopo nayo wengi wao wamekuwa wakilalamikiwa bungeni na wananchi kiujumla kuhusu ufisadi na utendaji wao kwenye wizara.
Nilimsikia waziri January Makamba kuhusu balozi zetu zilizopo zimekuwa zikighalimu pesa kwa ajili ya kupangisha eneo kwa ajili ya balozi zetu.
Wazo la...
Naona mambo yameanza kunukia nukia kwa wale ambao tunasubiria kupata huu mchongo ni muda sasa wa kukaa kitaalamu na kwa password zaidi
Mungu atujalie sisi jobless tupate hii kazi angalau tupunguze machungu ya kusoma na kukaa mtaani bila kazi
Tarehe tano (5) mwezi juni kila mwaka, dunia huadhimisha siku ya mazingira ikiwa lengo lake ni kuleta pamoja mamilioni ya watu duniani kote na kuwashirikisha kwenye jitihada za kutunza na kuboresha Dunia kupitia mazingira yao. Tanzania kama ilivyo kwa nchi nyingine duniani huchukulia umuhimu...
Wanabodi,
Kama kawa, kila nipatapo fursa, huwapiga tuu watu darsa humu, leo naliendesha darasa nikitokea Tanga kwa waja leo, warudi leo. na ni darsa kuhusu muungano wa kweli. Swali ni Je Wajua Muungano wa Kweli, Ni Muungano wa Serikali Moja?. Wajua Karume, Alitaka Serikali Moja, Nyerere Ndiye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.