Mwenyekiti wa Jukwaa la Katiba Tanzania, Dk Ananilea Nkya amesema nafasi za ubunge wa Viti Maalum zilianzishwa kwa kipindi cha mpito kutokana na uwakilishi mdogo wa wanawake.
Dkt Nkya amesema hali imebadilika tangu kuanzishwa kwa mfumo wa vyama vingi mwaka 1992 (miaka 42), wanawake wametumia...
Wanabodi,
Kama kawa, kila nipatapo fursa, ni mwendo wa Kwa Maslahi ya Taifa kwa kwenda mbele, mada ya leo ni mada muendelezo wa wiki iliyopita kuhusu hizi chokochoko zinazoendelea za kuuchokoa huu muungano wetu adimu na adhimu kwa hoja za kibaguzi za Utanganyika na Uzanzibari, ambapo wiki...
Kenya imekuwa nchi ya kwanza kusini mwa jangwa la Sahara kuwa mshirka wa kuduma wa Marekani asiyefungamana na NATO.
Hivyo anaungana na nchi nyingine za Afrika zenye hadhi hiyo ambazo ni Misri, Morocco na Tunisia.
Kenya itanufaika kwa mengi kupita ushirikiano huo hasa masuala ya ulinzi...
Katika ripoti nyingi za waandishi wa habari na marejeo ya ripoti ya wizara ya makazi, kila mwaka kumekuwa na ongezeko la idadi ya maeneo kupata athari ya mafuriko kwa mvua za vuli na majira ya dharura (kulingana na mabadiliko ya hali ya hewa) na yale yaliozoeleka yakiathiriwa kwa wingi zaidi ya...
Kuna hili tukio lilitokea capetown, south Africa, dereva wa campuni SASKO alipovamiwa na kuuliwa na kundi la majambazi akiwa nawenzake wawili kwenye gari.
Nikirefer ilo tukio ni miongoni mwa matukio mengi yanayo tukumbuka kila kukicha richa ya kua vyombo vya usalama na haki kama TANPOL na...
☺️☺️☺️☺️☺️Let’s go☺️☺️☺️☺️☺️
1. Kwanza kabisa furaha unaweza ukaitengeneza wew mwenyew, ivo furaha ni chaguo. Unaweza kuchagua kuwa na furaha, hata unapokabiliwa na changamoto.😊
2. Furaha si kuhusu kuwa na kila kitu unachotaka. Ni kuhusu kutaka kile ulicho nacho.☺️
3. Furaha si kuhusu kuwa...
Jamani wanawake wa saizi imekua pasua kichwa ! yaan suala la kufunga vilago ni dakika sifuri
Uvumilivu -0
Utulivu-0
Tamaa -100%
Nipeni mbinu madhubuti ya kudumu na mwanamke?
MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Simiyu, Shemsa Mohammed amewataka viongozi wa ngazi zote kuhakikisha wanahamasisha Watu wenye Ulemavu na Wazee kujiandikisha katika uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura ili waweze kushiriki katika uchaguzi wa serikali za mitaa 2024 na...
Habari wanajamvi,
Natumaini kuwa tuko salama katika shughuli zetu siku ya leo. Hongera kwa kufanya sehemu yako katika kusukuma gurudumu la maisha na la taifa pia. Nchi hii inakutegemea (endelea kupigana, iko siku).
Leo nimeleta mada ambayo imekuwa ikinisumbua kichwa kwa muda mrefu. Endapo wewe...
Mshikaji wangu baada ya kunusurika kwenye ajali nyingi na misukosuko ya mahusiano ikabidi aanze kushirikisha watu Ili apate mke sahii wa kuoa.
Kwenye harakati hizo huku akiendelea kumuomba Mungu (Kwa mujibu wake), jamaa yake mmoja aliepo kigoma akamwambia Kuna Binti anamuona kanisani na...
Eneo la kudumu limeendelea kugubikwa na mipango mibovu baada ya jengo la kudumu la msikiti kuanza kujengwa sambamba na vibanda vya mihogo na kilevi.
Hakuna anayekataa watu kuswali, lakini wangeweza kutenga maeneo ambayo sio ya kudumu kama ilivyokuwa awali kuruhusu waislamu au wakristo...
KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA AFYA NA MASUALA YA UKIMWI WILAYANI CHATO.
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Afya na Masuala ya UKIMWI wakiongozwa na Mwenyekiti Mhe. Stanslaus Nyongo leo tarehe 16 Machi, 2024 wamezuru kaburi la aliyekuwa Rais wa awamu ya tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt...
KAMATI YA MIUNDOMBINU YASISITIZA WAKANDARASI WAZAWA KUPEWA KIPAUMBELE
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu imeisisitiza Serikali kutoa kipaumbele kwa Wakandarasi wazawa katika utekelezaji wa miradi na kuendelea kutafuta ufumbuzi wa changamoto za Wakandarasi hao ili kutoa fursa ya ushindani...
KAMATI YATAKA MAENEO YA VIWANJA VYA NDGE YAWE NA HATIMILIKI
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu, imeitaka Serikali kuhakikisha inasimamia upatikanaji wa hatimiliki za maeneo ya Viwanja vya Ndege vyote nchini ili kudhibiti uvamizi katika maeneo hayo na kupelekea ucheleweshaji wa utekelezaji...
Nimekwenda uwanjani na nimefurahi tumeingia robo fainali.
Lakini kiukwel bado naona kuna mapungufu katika timu yetu.
Leo tungecheza na wakubwa kama Al Ahly au Mamelod au Petro au Esperance mambo yangekuwa magumu.
Kwanini nasema hivi.
Timu bado inafanya sana makosa nyuma, makosa ya dhahiri...
Wadau hali ya kiuchumi ya watanzania inajulikana , wengi wetu vipato vinasua sua sio kwa jobless ama employee iwe public ama private entity.
Wakuu nimekuja hapa tupeane updates ni mkoa gani ama wapi hapa nchini kwetu unaweza wekeza kwenye zao la kudumu likakupa pesa kwa kipindi kirefu.
N.B...
wasalaam, inashangaza mpaka sasa serikali ccm na tume ya uchaguzi ya ccm hawana mpango wa kuandikisha wapiga kura wapya ktk daftari la kudumu la mpiga kura. ukiangalia kule upande wa pili visiwani Zanzibar.
wametoa utaratibu na wanaandikisha wapiga kura wapya. ikubukwe 2024 kuna uchaguzi wa...
✔️Yasema watanzania wanataka kuona Treni ya Kisasa inafanya kazi
✔️Vituo vya gesi kuboreshwa ili kuongeza uzalishaji
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti imesema Watanzania wanataka kuona Treni ya Kisasa (SGR) inaanza kufanya kazi kwa maslahi mapana ya nchi yetu.
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu...
Mara baada ya taarifa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke iliyotolewa na Mkurugenzi Elihuruma Mabelya ikielezea kuhusu Tume ya Utumishi wa Walimu (TSC), kumsimamisha kazi Katibu Mkuu wa Chama cha Walimu nchini (CWT), Mwalimu Josephat Maganga, ambaye alikuwa ni mwalimu wa shule ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.