Hii ni Post ya kuomba UELEWA. Kuna Mahali nilikua nimekaa na Wadau zikaanza story hapa na pale, Kuna jamaa akasema Polisi hasa wa rank ndogo na hawa akina kajamba nani HAWANA ajira za kudumu Hadi ufikie Rank Fulani?
Akaendelea kufafanua kuwa hawa ni Wafanyakazi wa "Idara" na sio watumishi wa...
Ziara ya Kamati ya Bunge ya Bajeti mkoani Arusha kufuatilia utekelezaji wa miradi ya umwagiliaji kwenye mashamba ya utafiti- TARI na Mashamba ya Uzalishaji wa Mbegu- ASA.
Pia, Ziara ya Kamati ya Bunge ya Bajeti ilifika kwenye shamba la Mbegu Kilimi Nzega, Tabora kufuatilia utekelezaji za mradi...
••••••••••••••••••••••••••••••••••••••
Kuhusu changamoto ya Nishati Ya Umeme, Hapa nyumbani TANZANIA, na ufumbuzi wa kidumu, ili Tatizo hili liwe HISTORIA, NAOMBA KUSHAURI yafuatayo, kwa mpendwa wetu, Mheshimiwa Rais Dkt Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Kuwa;
1...
Nakumbusha tu kuwa,
Kipindi hiki cha Kiangazi kitumike kutambua vyanzo vya maji visivyo kauka.
Hii itaepusha kuwekeza fedha kwenye vyanzo vya maji vyenye maji ya msimu.
Nashauri pia kuwepo na uhamasishaji wa kuotesha miti ya maji kwenye vyanzo vya maji hata kwa zile chemchem Ndogo ndogo na...
Katika harakati zangu za mahusiano kuna nyakati inatokea napata demu kupitia wapambe, makuwadi, wapiga debe, a.k.a Chawa wa Kichwamoto.
Mara kadhaa huwa nikipata pisi yoyote kupitia chawa wangu au mpiga debe awe demu au men, nahisi kama nimefunga goli kwa offside.
Hivyo Nina kawaida ya...
Mkutano wa Jukwaa Kuu la Ushirikiano wa Kiuchumi wa Kimataifa la Group of Twenty (G20) limetoa baraka za kuupa Umoja wa Afrika Ujumbe wa Kudumu katika Jukwaa hilo ambapo sasa AU itakuwa na hadhi sawa na Umoja wa Ulaya (EU).
Kwa uamuzi huo, AU itakua na sauti kwenye Kura za Maamuzi yatakayogusa...
Lugha hizi ndizo tunazozielewa:
Hizi ndiyo zile lugha za watu zikiitwa lugha za Mungu. Beberu akiziita:
"Languages of the people."
Hizi humfanya adui macho kumtoka mithili ya mjusi alobanwa na mlango.
Kwamba ni mpigania haki? Mzalendo? Mwenye kukerwa na ghiliba za majizi?
"Ushindwe vipi...
Wasalaam TZ na Dunia,
Ndugu Alexander Mnyeti aachwe afanye kazi uwaziri ni haki yake.
Nchi hii imejaa mazuzu wanaodhani mtu fulani akiwakosea wao basi hafai Kwa wengine na jamii nzima. Alexander Mnyeti ana sifa kama za Watanzania wengine wote ambao ni watenda mema na mabaya kila siku...
1• Mwanamke elewa kwamba huwezi kumlazimisha mwanamme akupende hata umfanyie Nini ie, umpe hela etc, jua tu ataishia kukutumia tu then atakuacha.
2•. Mwanaume anayeonyesha kukupenda zaidi kuliko ww (ke) vile unavyompenda mheshim usimdharau Wala kumuudhi cheza nae kwa akili ili siku ukikwama...
STAMICO YAIELEZA KAMATI YA BUNGE LESENI INAZOMILIKI
Yaelekeza Mkakati wake wa kuendeleza Mgodi wa Makaa ya Mawe
Vituo vya Mfano Vyatajwa kuongeza tija, wataka viongezwe uwezo
Dodoma
Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) limeieleza Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini kuwa...
Husika na kichwa cha habari hapo juu.
TUNAOMBA serikali yetu sikivu ipige marufuku kujitolea ili vijana tupate ajira na pia kujitolea ni upendeleo nafasi hazipo wazi na mpaka uwe na connection.
Pia tunaomba ajira zote za kudumu kwenye mamlaka ya serikali ndogo (local government) wizara...
" Siasa ni sayansi ya sanaa na huenendana na nyakati. Ndiyo maana kwenye siasa hakuna adui wa kudumu na rafiki wa kudumu vilevile.
" Magufuli pamoja na mabaya yake lakini hakuwa mwizi na mgawa rasimali zetu kama Mkapa, Kikwete na huyu mwizi wa sasa.
" Magufuli kamwe asingekubali kuuza bandari...
Nsikuchoshe na Usinchoshe, tusichoshane!.
Hivyo ndivyo navyo weza kusema kwasababu ni kama viongozi waliopewa dhamana ya kuwatumikia watanzania na kuhakikisha mali na usalama wa maisha yao unalindwa kwa wivu mkubwa.
Hizi ajali zinazoendelea kuwamaliza watanzania na kuwaacha wengi wakiwa na...
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imezindua rasmi Ubalozi na Uwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa jijini
Vienna nchini Austria.
Akizungumza katika uzinduzi huo Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Dkt. Stergomena...
Nimekuwa na changamoto kubwa ya kujihisi hamu ya kufanya mapenzi kila wakati. Nimezunguka hosp nyingi duniani wataalam wanipunguzie hii hali imeshindikana. Madaktari wanasema ni kutokana na maisha, mwili wangu na vyakula na vinywaji navyotumia.
Wanasema ni tatizo la kutokuwa na stress katika...
Hello family,
Mods please tupeni fursa tuseme kweli, kweli inaponya.
Let speak the truth, the truth be told. Hakika nasema katika kweli hasira na chuki hasa katika mawanda ya ndoa si bure kuna chanzo, wengi wa wanaokataa ndoa na kuoa ni wahanga wa kuumizwa kihisia na kuharibiwa malengo hasa...
Habarini wana MMU,
Natumai ni wazima wa afya kabisa na wenye shida kidogo mungu awabariki warudi kwenye hali yao ya kawaida ya kiafya.
Hili jambo limekuwa likinitatiza sana. Na leo nimeamua niwashirikishe ndugu zangu labda tutapata wasaa zaidi wa kulifafanua hili jambo.
JE NI IPI SIRI YA...
Wadau nipo kwa niaba.
Kuna rafiki yangu wa karibu kanifata kutaka ushauri kwangu, yeye anamilki trector 1 pia shamba la kulima mpunga km heka 200 hiv, ni mwalimu serkalini mshahara wake basic 990000 take home ni kama 640000, anadai katka kaz zake za shamba kwa msimu anauwezo wa kuvuna gunia...
Tunapoikumbuka Aprili 26, ya mwaka 1964, tujikite zaidi katika kuepukana au kumaliza kabisa zinazoitwa kero za Muungano kwa kufanya mojawapo ya yafuatayo:
Mosi, tuwe na nchi moja na serikali moja, yaani Muungano kamili (complete union). Tuachane kabisa na Muungano huu wa kubanana, kufinyana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.