Wakuu,
Chama cha ACT Wazalendo kimeshinda Uenyekiti wa kijiji kwenye vijiji vya Ligoma, Chikomo, Mbesa na Amani vilivyopo kwenye jimbo la Tunduru Kusini, mkoani Ruvuma.
Ikumbukwe kuwa uchaguzi wa Serikali za mitaa umefanyika jana tarehe 27 Novemba, 2024 Tanzania bara.
Kupata taarifa na...
Wakuu,
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeshinda nafasi zote 84 za Uenyekiti wa viijiji katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwenye Halmashauri ya Wilaya ya Bariadi mkoani Simiyu uliofanyika jana Novemba 27, 2024.
Msimamizi wa uchaguzi huo ngazi ya halmashauri Khalid Mbwana amesema uchaguzi...
Wakuu,
Hii ni Arusha wananchi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) waandamana kupinga matokeo wakidai haki yao jana usiku baada ya matokeo kutangazwa.
Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya...
Wakuu,
Waziri Mchengerwa akiwa anahojiwa na mtangazaji wa TBC, Dar, amesema kuwa yapo maeneo ambayo matokea yalishaanza kutangazwa kwani Wasimamizi Wasaidizi walishapewa maelekezo kwamba pale ambako wamemaliza wanapoendelea kuhesabu waendelee na pale ambako walishamaliza wataendelea kutangaza...
Wakuu,
Amesema Mchengerwa wakati anahojiwa na mwandishi wa TBC, kuwa kuna baadhi ya maeneo ambayo kumetoa sintofahamu mbalimbali, hasa maeneo ya Morogoro kuwa amewaambia watafanya uchaguzi kesho (Novemba 28, 2024) kwenye kata moja Ruaha ambako kulikuwa na changamoto kubwa upande wa karatasi...
Wakuu,
Uchaguzi wa Mwenyekiti wa Kitongoji cha Stand, Kata ya Mkwese, Wilayani Manyoni, Mkoani Singida umeahirishwa baada ya mgombea wa nafasi hiyo kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kuuawa kwa kupigwa risasi.
Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za...
Wakuu,
Mbona mambo yanazidi kukorogwa! Aliyeelewa hapa aniaeleweshe!
====
Wakati Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe akidai mgombea ujumbe wa chama chake Mtaa wa Ulongoni A, Modestus Timbisimilwa kuwa ameuawa kwa kupigwa risasi na Polisi, Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es...
Wakuu,
Huu uchaguzi ni balaa!
======
TAARIFA KWA UMMA
Jeshi la Polisi Mkoa wa Singida linamtafuta Joseph Shila, Katibu Mwenezi wa CCM Kata ya Mitunduruni, Wilaya ya Singida kwa tuhuma za kumjeruhi kwa kisu kwenye bega la kushoto Hamisi Nkua, (52) Katibu wa CHADEMA Wilaya ya Singida.
Kupata...
Wakuu,
Oneni huyu mpuuzi!
Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Katibu Tawala Mkoa wa Songwe Bi. Happiness Seneda...
Wakuu,
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wilaya ya Temeke, Dar es Salaam kimetangaza kususia uchaguzi wa serikali za mitaa 2024 unaoendelea sasa, kutokana na kile walichodai kuwa fomu za mawakala wao zimebadilishwa vituo hatua iliyopelekea mawakala hao kushindwa kuingia kwenye vyumba...
Wakuu,
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa Freeman Mbowe leo Novemba 27, 2024 amepiga kura katika Kituo cha Mfoni Kitongoji cha Muro Kijiji cha Nshara kilichopo Kata Mchame Kaskazini Jimbo la Hai mkoani Kilimanjaro, kuchagua viongozi wa Serikali za Mitaa.
Kupata...
Wakuu,
Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Nimepokea TAARIFA kutoka sehemu zote takribani Kanda ya Kaskazini...
Wakuu,
Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Kata ya Gongolamboto, Mtaa wa Ulongoni A, Mgombea nafasi ya ujumbe Modestus...
Wakuu,
Katibu Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo, Ado Shaibu amepiga kura katika kituo cha Gharani Wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma, kuchagua viongozi wa Serikali za Mitaa katika kata ya Mchangani.
Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 -...
Wakuu,
Habari zilizotufikia hivi punde ni kuwa baada ya Wananchi wa Mtaa Sinza B, Wilaya ya Ubungo Dar Es Salaam kulalamika kadhia wanayoipata kwa kutokubandikwa kwa majina yao nje ya kituo cha kupiga kura cha Shule ya Sekondari Mashujaa tayari wasimamizi wasaidizi wa uchaguzi wameanza...
Wakuu,
Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Waziri wa Ujenzi na Mbunge wa Jimbo la Karagwe, Innocent Bashungwa amepiga...
Wakuu,
Waziri wa Fedha na Mbunge wa Jimbo la Iramba Magharibi, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu (Mb), leo Novemba 27, 2024, ameungana na wananchi wa jimbo lake katika zoezi la kupiga kura kuwachagua viongozi wa Serikali za Mitaa, Vitongoji na Vijiji.
Kupata taarifa na matukio ya...
Salam,
Wakati zoezi la uchaguzi wa Serikali za mitaa likiwa linaendelea, kumeshuhudiwa vurugu katika kituo cha Shule ya Msingi Kibirizi, Manispaa ya Kigoma Ujiji hali iliyopelekea Jeshi la polisi kufika na kutuliza ghasia hiyo.
Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za...
Wakuu,
Ndio upigaji unaandaliwa?
Baadhi ya mitaa katika Manispaa ya Musoma mkoani Mara, wamelalamikia kutokuonekana na kusomeka vyema kwa majina yao katika orodha ya wapiga kura huku wakisema hali hiyo inachangia kuchelewesha zoezi la upigaji kura na watu kuendelea na majukumu yao.
Kupata...
Wakuu,
Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Waziri wa Afya na Mbunge wa Jimbo la Peramiho Mkoa wa Ruvuma Mhe. Jenista...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.