kueleka 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Cute Wife

    LGE2024 Mbeya: Spika Tulia ashiriki zoezi la kupiga kura

    Wakuu, Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) na Mbunge Jimbo la Mbeya Mjini, Dkt. Tulia Ackson leo tarehe 27 Novemba, 2024 ameshiriki zoezi la kupiga kura kuwachagua Viongozi wa Serikali za Mitaa. Kupata taarifa na matukio ya...
  2. Cute Wife

    LGE2024 Mwigulu: Tufanye uchaguzi wa amani na utulivu

    Wakuu, Mwigulu amewahimiza wananchi wa Mkoa wa Singida kushiriki kikamilifu katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika kesho, Novemba 27, 2024. Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya...
  3. Cute Wife

    LGE2024 Msimamizi Uchaguzi Arusha: CHADEMA walikosea, tukawaita kuwasaidia wakatugomea

    Wakuu, Msimamizi wa Uchaguzi Halmashauri ya wilaya ya Arusha Ndg. John Kayombo amesema mvutano uliopo miongoni mwao na Wanachama na Viongozi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Mkoa wa Arusha, unatokana na makosa ya kiutendaji yaliyofanywa na Chama hicho kwa kuandikisha mawakala...
  4. Cute Wife

    LGE2024 CCM kuhimiza wanachama wao kutawanyika baada ya kupiga kura ni taa nyekundu kwa wapinzani, kuna jambo linapangwa

    Wakuu, Hiyo siyo kawaida kwamba CCM wanajiamini sana na kuamini mawakala wao kuwa mambo yataenda vizuri. Kuja jambo linapangwa; 1. Mapolisi kuwa standby wapinzani wakifanya nywi kitatembezwa kipigo cha mbwa koko, halafu waje kusema wapinzani walileta vurugu wakati wameshindwa zoezi limeenda...
  5. Cute Wife

    LGE2024 Jokate: Rais Samia ameuthibitishia ulimwengu Tanzania ina Demokrasia imara, vyama vina wagombea na kampeni zimeisha kwa amani

    Wakuu, Mkuu wa UVCCM Taifa Jokate Mwegelo amesema Rais Samia ameuthibitishia Ulimwengu kwamba Tanzania ina demokrasia kwasababu hadi sasa hakuna machafuko yaliyotokea kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Vyama vingi vinashikiri ambapo amewataka pia Vijana ku kutothubutu kujiingiza katika...
  6. Cute Wife

    LGE2024 Eric Shigongo: Msifanye makosa mkaniletea mtu ambaye hatokani na CCM

    Wakuu, Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo amefunga kampeni za wagombea wa serikali za vijiji kwenye Kijiji cha Kanyala, Kata ya Bulyaheke na kuwaomba wananchi kuchagua viongozi wanaotokana na CCM ili iwe rahisi wananchi kupata maendeleo. Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi...
  7. Cute Wife

    LGE2024 Biteko aimba kilugha na wananchi, awaambia wana Geita wasiiangushe CCM

    Wakuu, Ndio maana Nyerere alikataa makabila makubwa kushika nafasi ya Urais, kuanza kutuimbia vilugha na kubaguana tu! ===== Naibu Waziri Mkuu Dkt. Doto Biteko amewataka wananchi wa Geita kujitokeza wa wingi kesho na kuchagua wagombea wa CCM. Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu...
  8. Cute Wife

    LGE2024 Siyame: Chagueni CHADEMA, CCM haijabadilika

    Wakuu, Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) jimbo la Momba, mkoani Songwe, kimehitimisha kampeni zake za uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwa kufanya mikutano katika kata za Bonde la Kamsamba wilayani Momba. Mtia nia wa ubunge jimbo hilo, Fanuel Siyame, amewataka wananchi kuwachagua...
  9. Cute Wife

    LGE2024 Mwanza: CCM wakatiza mbele ya mkutano wa ACT wakati mgombea akinadi sera zake

    Wakuu, Huu ni ukorofi kabisa, CCM kama inapumulia mashine vile afu wanajaribu kutanua mapafu :BearLaugh: Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa...
  10. Cute Wife

    LGE2024 Katibu Uenezi CCM Dodoma: Tuna tetesi wamejiandaa kulalamika na kususia matokeo

    Wakuu, Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Dodoma Jawadu Mohamed amesema baada ya vyama vya upinzani kushindwa kuteua wagombea wenye sifa katika baadhi ya maeneo, amedai zipo tetesi za vyama hivyo kujiandaa kususia na kulalamikia matokeo ya Uchaguzi wa Serikali za...
  11. Cute Wife

    LGE2024 Mbunge Gekul: Tuwalipe CCM kwa kura nyingi kesho

    Wakuu, Tunawalipa CCM kwani wanatudai nini? ==== Mbunge wa Jimbo la Babati mjini Mhe. Paulina Gekul amewataka Wananchi wa Jimbo hilo kuhakikisha wanarudisha shukrani kwa Chama cha Mapinduzi kwa kukipa kura nyingi za ushindi kesho Jumatano Novemba 27. Kupata taarifa na matukio ya kimkoa...
  12. Cute Wife

    LGE2024 Nchimbi: Ukiongea matusi wanaenda kusimuliana "Yule mwehu wetu ulimsikia leo". Wanakupigia makofi lakini kura wanakunyima

    Wakuu, Siku ya leo wakati wa kufunga kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Emmanuel Nchimbi, Katibu Mkuu wa CCM amegusia kuhusiana tabia ya baadhi ya wagombea kutumia matusi kuwasilisha hoja akimuita mgombea huyo Mwehu na Kichaa! Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali...
  13. Cute Wife

    LGE2024 Nchimbi: Tunasumbuliwa na maombi nchi jirani kujifunza Samia amefanyaje kueleta maendeleo nchini, kazi yake nzuri inajiuza

    Wakuu, Kumbe kuna watu wanapigana kupata nafasi ya kujua tanzanania tunaishije kama tupo Dubai na watu hamseni? Mna siri nyinyi :BearLaugh: :BearLaugh: :BearLaugh: :KEKWlaugh: Watanzania wanasema katika mikutano kasi ya maendeleo iliyopatikana katika miaka hii 4 hawajawahi kukutana nayo...
  14. Cute Wife

    LGE2024 Nchimbi: Upinzani acheni kugombana mnadharaulika, mtaacha kupigiwa kura mje kusema mmeibiwa

    Wakuu, Watanzania wanavipima vyama kwa haki kila inapofika uchaguzi nani katika hawa anaweza kutuongoza vizuri, na ndio maana marafiki zangu katika vyama vya upinzani napenda kuwashauri mara kwa mara kwamba punguzeni kugombana gombana, watanzania wakiona mnagombana gombana wanawadharau...
  15. Cute Wife

    LGE2024 Rais Samia: Dhamira ya Serikali ni kuona Uchaguzi unafanyika kwa Haki

    Wakuu, https://www.youtube.com/live/1BGbDsl2-Vw?si=VNit5q0r1ZwBNF1J Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 Ndugu Wananchi...
  16. Cute Wife

    LGE2024 Dar: Nchimbi afunga kampeni, asema wagombea 61% CCM watapigiwa kura ya ndio au hapana, wasibweteke

    Wakuu, https://www.youtube.com/live/qJT6TyKWZeo?si=5cw59AnMyAIstTsK CCM imeweza kuweka wagombea takriban 49,000 katika nafasi mbalimbali za uongozi, hii inamaanisha wanakwenda huku wapinzani wakiwa takriban 30,000, hii inamaanisha CCM inaenda kupigiwa kura ya ndio na hapana katika asilimia 61%...
  17. Cute Wife

    LGE2024 Kasesela: Mkishinda Uchaguzi msitamani wake za watu

    Wakuu, Wenyeviti na wagombea wa nafasi za uongozi katika uchaguzi wa serikali za mitaa nchini wametakiwa kuacha tabia zisizofaa ikiwemo ulevi, tamaa za wake za watu na matumizi mabaya ya madaraka baada ya kupata ridhaa. Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa...
  18. Cute Wife

    LGE2024 Ruvuma: Mgombea wa ACT akamatwa kwa tuhuma za uchochezi

    Wakuu, Mjumbe wa kamati ya uongozi ya chama cha ACT Wazalendo jimbo la Tunduru Kaskazini mkoani Ruvuma, ambaye pia ni mgombea wa uenyekiti wa chama hicho kwenye kitongoji cha Maholela, Mohamed Kapopo amekamatwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kutoa maneno ya uchochezi. Kupata taarifa na...
  19. Cute Wife

    Pre GE2025 Gambo atoa Milioni 2 kulipia kodi ya chama cha bodaboda, awanunulia pia TV wafuatilie matukio duniani

    Wakuu, Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini, Mrisho Mashaka Gambo, ameonesha kujali changamoto zinazowakabili waendesha bodaboda jijini Arusha kwa kuchangia shilingi milioni 2 kwa ajili ya kulipia kodi ya ofisi ya chama chao hadi kuanzia Februari hadi Disemba 2025. Hatua hiyo imekuja baada ya...
  20. Cute Wife

    LGE2024 Kampeni ya Usafi Arusha: Makonda aingia mtaani kushiriki usafi kwa kuzoa taka na kudeki barabara

    Wakuu, Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Makonda atinga mtaani na Kampeni ya Usafi mtaa kwa mtaa, atangaza kuanza kupigwa picha za watu wachafu mkoani humo na kutangazwa hadharani. Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya...
Back
Top Bottom