Wanawake mkoani Katavi wametakiwa kujitokeza kugombea nafasi mbalimbali za uongozi katika uchaguzi Mkuu ikiwa ni moja ya kutimiza haki yao ya kikatiba ya kuchagua na kuchaguliwa ili kuleta usawa katika suala la uongozi kwenye jamii.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi...
WAJUMBE wa Kamati ya Siasa ya Halmashauri Kuu ya CCM Wilaya ya Dodoma mjini wamewataka wataalamu wanaosimamia mradi wa Hosteli ya Shule ya Sekondari Mbalawala mkoani humo kuhakikisha bweni hilo linakamilika kwa wakati na kwa ubora uliokusudiwa.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa...
Mbunge wa Jimbo la Geita, Joseph Musukuma, leo Machi 6, 2025, ameonesha magari 10 ya kubebea wagonjwa pamoja na moja kwa ajili ya Jeshi la Polisi, ambayo atawakabidhi wananchi wa jimbo lake ili kuboresha huduma za afya na usalama wa jamii.
Musukuma amesema magari hayo yatanufaisha wananchi wa...
Wakuu wa wilaya za mkoa wa Tabora wameiomba serikali kuwajengea nyumba za kuishi pamoja na ofisi zao, wakieleza kuwa kwa sasa wanatumia majengo chakavu na ya zamani. Baadhi ya majengo hayo hujaa maji pindi mvua zinaponyesha, hali inayodhoofisha mazingira yao ya kazi na kuonyesha kutokuwepo kwa...
Mratibu wa Kitaifa wa Umoja wa Wanawake Wanasiasa (Ulingo), Dk Ave- Maria Semakafu amesema anatamani wanasiasa wanaochipukia ndio wapate ubunge wa viti maalumu ili wazoefu waende majimbo wakashindane.
“Ningetamani kuona Gen-Z (wanasiasa wanaochipukia) waende kwenye viti maalumu, sisi watu...
Naam, saiti hali ni tofauti kabisa na wanachosema viongozi wa chadema wanaokaa mikocheni wakiota ndoto za alinacha, saiti inamkubali Samia kwa asilimia kubwa, na ni atazuia uchaguzi?tunasema, kauli ya no reform no election sio tunda la wanachama ngazi za chini(grass root) na itakuwa biggest...
Na wameshawaona CCM kuwa ni kichwa cha mwenda wazimu sababu imani ya wananchi mshajenga kwa hawa watu niliowataja.
Kuna kipindi joti alikuwa anatangaza Mr kuku ila kwa kuwa ni wasanii twende kazi.
Dotto magari alikwenda kwa manguruwe ila kwa vile hawa ndio product zenu twende kazi.
Mfumo...
Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Itikadi, Uenezi na Mafunzo, CPA Amos Makalla amesema kuwa chama hicho kipo tayari kwa mchakato wa kupata Katiba mpya ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Makalla ameyasema hayo siku ya Jumatano Machi 05, 2025 wakati akizungumza na...
Mweyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wilaya ya Kibiti, Juma Kassim Ndaruke ametoa rai kwa wa Umoja wa Wanawake wa chama hicho Wilayani Kibiti kusimama kidete na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan katika kutafuta kura za Urais kwenye kila eneo la Wilaya Kibiti...
Mbunge wa Nkasi Kaskazini kupitia tiketi ya CHADEMA, Aida Khenani apokelewa kwa kishindo Jimboni kwake akielekea kwenye maadhimisho ya siku ya Wanawake duniani ambako leo Machi 04, 2025 Wanawake wa chama hicho Nkasi Kaskazini wameadhimisha katika Kata ya Kirando mkoani Rukwa.
Kupata matukio na...
Mchungaji Kiboko ya Wachawi amesema kwamba Rais Samia atapita tena katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu katika nafsi ya urais.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar...
Serikali imeidhinisha matengenezo ya barabara za Mkoa wa Mara kwa jumla ya shilingi Bilioni 42.166 kwa mwaka wa fedha 2024-2025.
Kauli hii imetolewa na Mkuu wa Mkoa wa Mara Kanali Evans Mtambi katika kikao cha bodi ya barabara mkoani humo ambapo amewataka watumishi wa taasisi zinazohusika na...
Wakuu anayejua pigo la radi aje atuelezee linavyokuwa, ili tupate picha ya kitakachotokea hiyo October.
===
Mjumbe wa Baraza Kuu la Jumuiya ya Vijana ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Victor Makundi amesema ushindi wa chama hicho katika uchaguzi Mkuu wa Mwezi Oktoba mwaka huu utakua pigo la...
Mwenyekiti wa Wabunge wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mbunge wa Viti Maalum, Mariam Kisangi amesema, ziara waliyoifanya kwenye baadhi ya viwanda mkoani Pwani wakiambatana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji Prof. Kitila Mkumbo imewapa fursa ya kuona uwekezaji mkubwa unaofanyika mkoani...
Nawaona CCM na vibaraka wao wanapiga kelele sana kudai No Reform No Election haitafanikiwa kwa sababu vyovyote vile hakuna Watanzania watakaoweza kuwaunga mkono CHADEMA.
Kelele hizi zinapigwa ili kwanza kuwakebehi Chadema na kuendeleza Propaganda za kuwarubuni Watanzania ili waendelee kuwa...
Mjumbe wa Baraza kuu UVCCM Viti vitatu Bara Ndg. Shamira Mshangama katika ziara yake ya Mkoani Dodoma ametembelea na kukagua ujenzi wa nyumba ya Katibu na kuchangia tofali 500 na mifuko 10 ya simenti kwa Mwanyemba kwenye ujenzi wa nyumba hio ya katibu wa UVCCM mkoa wa Dodoma ambayo iko katika...
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira, amesema vyama ya ukombozi kusini mwa Afrika viendeshwe Kwa kuzingatia mahitaji ya wakati huu bila kusahahu shabaha ya kuanzishwa kwake.
Soma Pia: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar...
Mkuu wa Mkoa wa Arusha , ameahidi kutoa Bajaji mpya na runinga kwa Bi. Arafa Yusuph Matoke (74),ambaye ni miongoni mwa maelfu ya wanawake wanaoshiriki shamrashamra za kuelekea Kilele cha siku ya wanawake Machi 08, 2025.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025...
Mdau wa maendeleo mkoani Iringa Elia Kitomo amekabidhi mifuko 10 ya simenti katika shule ya Msingi Ibogo inayopo kijiji cha Magubike kata ya Nzihi ndani ya jimbo la Kalenga mkoani Iringa.
Kitomo ametekeleza ahadi hiyo aliyoitoa katika mahafali yaliyopita shuleni hapo akiwa mgeni rasmi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.